Nikumpiga refa vizuri kama yule wa kenya tatizo wanajua kuwa hataiweje simba hamna maamuzi, ila aangekuwa yanga na mawaziri wote wangeingilia kati simba hamuwezi kwakuwa nchi siyo yenu ni yanga na chama chake,
Hizo pesa anazonunulia timu kazitoa wapi? Yanga ni timu yao.. watawalipa marefa wao na kuwasafairisha bure kila siku! Simba tufikirie kuanzisha chama chetu cha siasa .. na tuwapigie kura wanasimba wenzetu pekee!
Watanzania tutaumia sana kwenye kodi zetu wakati wa magufuli haya yalikuwa hayapo
Nikumpiga refa vizuri kama yule wa kenya tatizo wanajua kuwa hataiweje simba hamna maamuzi, ila aangekuwa yanga na mawaziri wote wangeingilia kati simba hamuwezi kwakuwa nchi siyo yenu ni yanga na chama chake,
Hizo pesa anazonunulia timu kazitoa wapi? Yanga ni timu yao.. watawalipa marefa wao na kuwasafairisha bure kila siku! Simba tufikirie kuanzisha chama chetu cha siasa .. na tuwapigie kura wanasimba wenzetu pekee!
Wanasimba wasimsahau mpango siku akiwa mgombea wa uraisi.. tukumbuke kuwa mpango ni mtu wa yanga.. kura zetu hazimhusu!
Bora kuhamasisha kutoingia uwanjani, kwa timu za tff,kuliko kuhamasishana, kuvunja viti.viti havina makosa,wala uwanja..
Nyinyi ni wa kufungwa tu
Ni sawa, tutafungwa sana kwa style hiyo
@@davidwatson6821 nyinyi mtafungwa mpaka muiache timu bila mashabiki