KAULI YA KWANZA YA MWIJAKU BAADA YA JUMA LOKOLE KUVAMIA DUA YA KAJALA NA HARMONIZE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
    #binatv
    #DIAMOND PLATNUM
    #ALIKIBA
    #HARMONIZE
    @MANARA
    #MILLARD AYO
    #SIMULIZE NA SAUTI
    #MBENGOTV
    #BONGO TOUCH
    #PTV TANZANIA
    @NANDY
    #ZUCHU
    #MBOSSO
    #ZUCHU NA DIAMOND
    #RICK MEDIA
    #TREND VIDEO
    #BONGO 5
    #BONGO 24
    #S500
    #SHOW YA DIAMOND
    #SHOW YA HARMONIZE
    #SHOW YA MBOSSO
    #SHOW YA ZUCHU
    #MANARA TV
    #BABA LEVO
    #MWIJAKU
    #DOTTO MAGARI
    #H BABA
    #EFM
    #CLOUDTV
    #UMBEA WA MJINI
    #BONGO TRENG
    #WEMA SEPETU
    #MAJABU YA DIAMOND
    #WASAFI
    #MBINGO TV
    #MIDDSIMBA
    #UDAKU

КОМЕНТАРІ • 63

  • @hadijasalim7769
    @hadijasalim7769 16 хвилин тому

    Inalilah WA Inalilah rajiun mumekosa kazi

  • @jayclassic_ke
    @jayclassic_ke 4 години тому +4

    Mwandishi huyo si professional kabisa

  • @Shani-xs4td
    @Shani-xs4td 46 хвилин тому +2

    Mwijaku nahilo para😂😂

  • @Nezzyg
    @Nezzyg Годину тому +2

    Look at Stan when mwijaku talk about juma lokole😂😂

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 4 години тому +8

    Ntapenda wakirudiana na kajala na amo💯💯🤸🤸🤸🤸🤸💖

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 Годину тому +2

    Hizo pesa ungewapa watoto yatima au watu wasio jiweza msingekosa fungu kwa Mungu

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 години тому +4

    Inalillahi waina ilayhi rajioun

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 години тому +2

    Eti Dua ya zinaa. Mtihani

  • @VeronicaPasko
    @VeronicaPasko 59 хвилин тому +1

    Hira stan na mwijaku mungu anawaona😂😂😂😂😂😂

  • @mussanjit512
    @mussanjit512 2 години тому +2

    Aloo mnyoa stani bakola 😅😅 ajazingatia engo akamatwe alak 😅😅

  • @abdulmsuya8542
    @abdulmsuya8542 3 години тому +3

    Diamond, atakufunga acha majigambo!

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 години тому +3

    Ngoja nikimbie IG nimsikie Juma anasemaje😂😂

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 48 хвилин тому +2

    Kajala naye mpumbavu kama harmonize.

  • @amidazubeda1320
    @amidazubeda1320 2 години тому +3

    Heshimuni Mange kashasema Kajara na Hamo wanaongea sana tu na wanatamaniana kurudiana tukatukana..😢

  • @NaylaOMAN
    @NaylaOMAN 3 години тому +3

    Mijitu inapenda sifaa hii Aya msha tafuta Kiki basi Tena hamn kazi ya kufanya

  • @jimpazclimpaz1794
    @jimpazclimpaz1794 Годину тому +1

    Wasengee hawa

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 5 годин тому +4

    Watu wazima hovyooo

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 5 годин тому +3

    Yaani waandishi wa hovyo kweli...

  • @MoreenBenard
    @MoreenBenard 2 години тому +3

    Hamuoni aibu mbwa nyinyi😂😂

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 Годину тому

      Wote matahira 😂😂😂 kuna mmoja kashonwa ubongo ana tabu sana

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 3 години тому +2

    Kuna kitu kinaendelea hapo sizan kama nikajala na hamo

  • @MelissaMhina-g9u
    @MelissaMhina-g9u 4 години тому +2

    KAJALA ANAHITAJI MAOMBI JAMANI ANATIA AIBU FAMILY HATA KAMA NI TAMAA YA PESA THIS IS TOO MUCH. LAANA YA MUME WAKE INAMSUMBUA

  • @CatherineKabelege
    @CatherineKabelege 3 години тому +1

    Awa vipi jamani

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 46 хвилин тому +1

    Kwa hiyo Kajala mlishamsoma kila anapoona bango anakubari. Maana hata ile ya mwanzo aliwekewa bango akalegea. ANAUTINDIO WA UBONGO

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 4 години тому +2

    Juma lokole ni musenge amekoseya kwa diamant na zuchu ana kuja kwa kajala na harmonazi we Juma musenge

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 4 години тому +2

    Kwanikunaurazim gani uyo kajara na konde kwani wanawake wengine awapo acheni jinga

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 3 години тому +2

    Kila mtu na mtuwe jmn famuwez juwa

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 5 годин тому +5

    Mazinge ashakuwa tapeli anajidhalilisha sana huu ni msiba inna lillah wa inna ilaihi rajuuni

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 4 години тому +2

    Pumbavuu

  • @NahyaHassan-m3k
    @NahyaHassan-m3k 4 години тому +2

    Kajal akilud harmo juma ataumbuk mapak hayo yanaendelea ujue Kajal kalidhia

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 5 годин тому +3

    Juma kashatolewa marinnda 😅😅😅😂😂😂

  • @MariyimJumanin
    @MariyimJumanin 5 годин тому +2

    Juma ni shoga

  • @MariyimJumanin
    @MariyimJumanin 5 годин тому +2

    Mshenz kabisa juma lokole

  • @fatumahapesamohamedfatumah4633
    @fatumahapesamohamedfatumah4633 5 годин тому +2

    Juma c kwahasira hizi.Atawaendea kwa mganga waachane.

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 4 години тому +2

    Uyu dd mwandish ni mchepuko wajuma

  • @imanwilliam4073
    @imanwilliam4073 56 хвилин тому +1

    Ila mwijaku anachoka sana

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 5 годин тому +3

    😂😂wee zinaa amwachie mwambino😂

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 5 годин тому +1

    Mwijaku 😂😂😂

  • @SalmaAdamu-s2m
    @SalmaAdamu-s2m 3 години тому +1

    Mbn Kama hamna malii

  • @vvianRichard
    @vvianRichard 5 годин тому +1

    Ilaa ayaa ayamajamaaa majingaa

  • @ManziSelemani-r6x
    @ManziSelemani-r6x 5 годин тому +3

    Shekh mchumia tumbo

  • @FrancisVitus-h2b
    @FrancisVitus-h2b 5 годин тому +7

    Juma ww umevamia shuuliy yawatu ungemwambia kajala aende polis aje napolisi awakamate sio ww kuvamia

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 4 години тому +1

    You guys have nothing to give us,we need new songs

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 5 годин тому

    😅😅😅😅

  • @LeilaWasasa
    @LeilaWasasa 4 години тому +1

    Punguza shobo mwijaku njaa itakuwa mbwa wewe

  • @InnocentBirdNest-nl4eg
    @InnocentBirdNest-nl4eg 5 годин тому

    😂😂😂

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 4 години тому

    Kwa hiyo harmonize akiwa mkristo atakuwa amekufuru kiukweli nyie waislam ni wayahudi mno

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu 4 години тому +1

      Sio kukufuru tu atakua kafiri hasa

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Годину тому +1

      ​@@Saidimkwizummh wewe mpare!! Sawa malaika mkamilifu, unajidanganya Ndugu yangu, Kama YESU mwenyewe alikataa kuitwa mwema itakuwa wew.. Katika Umati wa mkutano watu wakamwita mwalimu mwema tufanye Nini Ili tuurithi ufalme wa Mungu ? ( Tuingie peponi) Yesu akasema kwanini mnaniita mwema kabla sijawajibu swali lenu 😊.. Maandiko matakatifu yanasema hakuna alotakasika Wala alomwema ila Mwenyezi Mungu pekee! Na sababu hio tutaokolewa kwa Neema yake tu... Twende kazi 😊😊

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu 38 хвилин тому

      @annasolomon9855 muislam ukishakataa uislam unakua kafiri na kafiri ni mtu yeyote anayeikataa haki

  • @sadikkazimoto7466
    @sadikkazimoto7466 Годину тому

    Wajinga tu wanatuzingua

  • @ramadhanifakikombo4010
    @ramadhanifakikombo4010 37 хвилин тому

    Ona zaidi ua-cam.com/video/1WTQ4hPMjcc/v-deo.htmlsi=jRe2MOczxKoPd91g

  • @johaali9959
    @johaali9959 3 години тому +1

    𝑚𝑢𝑖𝑠𝑙𝑚 𝑔𝑎𝑛𝑖 𝑢𝑛𝑎𝑒𝑡𝑎𝑘 𝑤𝑎𝑡 𝑤𝑎𝑧𝑖𝑛 𝑤𝑤 𝑠𝑖𝑛𝑑𝑖𝑜 𝑚𝑗𝑖𝑛𝑔 𝑔𝑎𝑛 𝑢𝑖𝑠𝑙𝑚 𝑔𝑎𝑛𝑖 𝑢𝑙𝑖𝑜 𝑛𝑎𝑜 𝑡𝑢𝑝𝑖𝑠ℎ 𝑠𝑖𝑠𝑖😂😂😂

  • @ClaraLucas-f9m
    @ClaraLucas-f9m 3 години тому +1

    😂😂😂

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 34 хвилини тому

    😂😂😂