Sheik Kipozeo-Peponi kuna Pombe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @robertlyimo4361
    @robertlyimo4361 5 років тому +3

    Mi Quran naisoma sana na naifahamu ingawa si Muislam ni kitabu kizuri sana nakipenda sana hata mimi natamani kwenda peponi

  • @vendedeline
    @vendedeline 9 років тому +10

    Inshallah mwenyezi mungu atujalie twende peopni shekhe!

  • @erickdonald7280
    @erickdonald7280 7 років тому +7

    YESU NDIE NJIA YA KWELI NA UZIMA HAKUNA AWEZAE KWENDA KWA MUNGU PASIPO YEYE...andoa mawazo ya kibinadamu Hakuna Yesu ndani yako hakuna mbingu...Okoka njo kwa Yesu..Period.

    • @aminamakame1417
      @aminamakame1417 7 років тому

      Eti Erick huyo yesu ndio nani anaishi wapi?

    • @TheTanzanitepure
      @TheTanzanitepure 7 років тому

      Erick Donald wewe unasema kuhusu nabii Essa p.b.u.h mbona waislamu wanamkubali kama mtume wa mungu sasa nyie ndio mnamatatizo hamumkubali mtume Muhammad p.b.u.h sasa nyie ndio muufate uislamu kwani waislamu wamemkubali mtume Essa p.b.u.h kabla ya miaka 1400

    • @khaalidal-esry2211
      @khaalidal-esry2211 7 років тому

      Erick Donald Na damu ya yesu Ni pombe. mungu atunusuri tusifate njia hiyo ya iblis. yaani mnamfanya yesu km dumu la pombe

    • @mlishomndolwa1222
      @mlishomndolwa1222 6 років тому

      Erick Donald mtazamowako

    • @christinamatrida6219
      @christinamatrida6219 6 років тому

      +Khaalid Al-esry Yesu ndio kweli yote acheni kudanganywa mnafikiri Mungu ni binadamu sio iyo ni Laana kuwazia ulevi Mbinguni

  • @bazilkisibo5811
    @bazilkisibo5811 6 років тому +1

    Shehk kipozeo nampenda sana kwa mawaidha yake

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 7 років тому +3

    mh jamani nampenda sana huyu sheikh,manake anakipaji cha kuongea na napenda sana mawaidha yake,mungu amzidishie sana.14.06.17.

  • @masudidadi5434
    @masudidadi5434 6 років тому +1

    Nakukuba sana shee

  • @royalpriestsmusic5685
    @royalpriestsmusic5685 Рік тому

    SAY MAJI YA UZIMA ACCORDING TO WORDS OF JESUS OBEY WORDS OF GOD NOT STORY FROM NO WHERE

  • @dadotuneya7173
    @dadotuneya7173 6 років тому

    Mwenyezi Mungu Amzidishie

  • @abaworkout1739
    @abaworkout1739 6 років тому +1

    amin shekhe kwa mawaiza mazur

    • @christinamatrida6219
      @christinamatrida6219 6 років тому

      Sio mawaidha hayo anakudanganya Usimuwazie Mungu kama binadamu huwezi kuta ivyo vitu Mbinguni

  • @christinamatrida6219
    @christinamatrida6219 6 років тому

    Yaan nyie mnaimani za uongo Sana mnawazia kula na unzinzi ulevi Ila siku inakuja utakuja kuona kama ivyo vitu utavikuta

  • @saidikapite6260
    @saidikapite6260 6 років тому +2

    ww jeremia ataulichoongea hakieleweki

  • @severinpeterkalekezi5240
    @severinpeterkalekezi5240 6 років тому +1

    pombe ni kinywaji chenye kilevi, Kila anywaye lazima alewe. Kama ya peponi haileweshi ingeandikwa kwamba haileweshi.

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 4 роки тому

      Marko 14 25 Yesu alikunywa mvinyo na akasema hatokunywa tena, mpaka peponi

    • @severinpeterkalekezi5240
      @severinpeterkalekezi5240 4 роки тому

      Nendeni kwenyewe pepo yenu ya walevi. Sisi hatuihitaji hiyo mito ya ulevi(ya kurusha akili).

  • @jonasjoe3623
    @jonasjoe3623 7 років тому +3

    hahahaha kuna pombe peponi!!!! mtafuteni Yesu sio Issa

    • @khaalidal-esry2211
      @khaalidal-esry2211 7 років тому

      Jonas Joe ili tupate pombe makanisani? eti divai ( pombe ya zabibu, mvinyo) Ni damu ya yesu.
      inna lillaah wainna ilaih rajiun

    • @ayoubshaibu5209
      @ayoubshaibu5209 7 років тому

      +Khaalid Al
      -esry

    • @mahatmamgenge
      @mahatmamgenge 7 років тому +1

      Jonas Joe
      Matthew 26:29
      29 But I say unto you, I will not drink henceforth of this fruit of the vine, until that day when I drink it new with you in my Father's kingdom.

    • @ulimbombonaulindi5088
      @ulimbombonaulindi5088 7 років тому

      Jonas Joe umesahau kwamba Yesu alikuwa mpika pombe?

  • @mwacitywakanay2101
    @mwacitywakanay2101 3 роки тому

    Mung akurehemuh

  • @noshadiakram1328
    @noshadiakram1328 6 років тому +1

    nakubaliiii

  • @JK-um6op
    @JK-um6op 4 роки тому

    Shehe mhuni wewe. Rufiji kabomoa. Tapeli mkubwa wewe.

  • @rosemmbaga6977
    @rosemmbaga6977 7 років тому +1

    we ninomaa

  • @aishamoka2920
    @aishamoka2920 9 років тому +2

    Mashaallah

    • @yusuphmashallahkhan7095
      @yusuphmashallahkhan7095 7 років тому

      Aisha Moka masha Allah Allah ampe umrimref

    • @bishopmmbando530
      @bishopmmbando530 6 років тому

      Aisha Moka lazima huko peponiii lazima mtoane ngeu...! Kama sio kumi Mia Mia!

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 6 років тому

    Quran na biblia kuna tofauti kubwa sana.

    • @jandpelectronics363
      @jandpelectronics363 6 років тому +1

      Biblia inasema mbinguni hakuna kula wala kunywa, kweli kuna tofauti sana na kumbe uislamu unaonyesha kuwa peponi watakuwa walevi daaah😳

    • @jandpelectronics363
      @jandpelectronics363 6 років тому +1

      Maana Biblia inaweka wazi kuwa watu wote watakuwa roho na roho hazili wala hazinywi jamani mbona tofauti kubwa sana?

    • @stevenhinjo9664
      @stevenhinjo9664 6 років тому

      J and P Electronics lazima kuwe na touti maana biblia ilianza muda hadi kipindi cha Yesu Quran ilikuja baadaye zaidi ya miaka 500 tangu Yesu kristo wakati inakuja torati zaburi na injili zilishakuja kitambo sana lazima kuwe na tofauti kubwa sana

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 6 років тому

      Tofautisha pepo(paradise) na mbingu (heaven), Adam alikuwa bustanini (peponi,Aden),huko ndipo watakapokwenda waislam wakweli kwa Baba yao Adam. Wasio waislam wanaenda huko mbinguni kusikoliwa kitu.

    • @stevenhinjo9664
      @stevenhinjo9664 6 років тому

      Uledi Mtumwa watu hawataenda peponi kwa majina ya dini Bali wenye kufanya matendo mema Mungu ndicho anahitaji lakini wale wanaojivunia jina lakini na huku wazinzi waongo wachawi wauaji wataenda na jina la dini yao motoni maana walidhani jina ndio ufahari

  • @shankokarlobigiz2897
    @shankokarlobigiz2897 3 роки тому

    Duuuuh ngoja nijipe mazoezi ya kunywa pombe maana peponi Kuna mito ya pombe hvy bila mazoezi ya kunywa pombe huko nitashindwa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @stanleykitme6105
    @stanleykitme6105 6 років тому

    acha uongo mbinguni hakuna kunnywa wars kura

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 6 років тому

      Stanley Kitme kuna mbingu(heaven) na pepo(paradise),Muwe mnatofautisha nyie wagalatia.

    • @hgfivcj1832
      @hgfivcj1832 Рік тому

      Mmh acha kubisha kama hujuwi acha wakusomeshe

  • @makisjeremiah288
    @makisjeremiah288 7 років тому +2

    LET ME ADVICE U MUSLIM.YESU ALITENGENEZA DIVAI{JUISI YA ZABIBU} KWA KIINGERZA INAITWA VINE NA SIO MVINYO(POMBE) KWA KIINGEREZA INAITWA WINE. PILI NAWASHAURI MCHUNGUZE HISTORIA YA UISLAM, NI NANI ALIOUNZISHA UISLAM, JE? NI MUHAMAD AU ROMAN CATHOLIC? JE MUHAMAD NI MTUME WA MUNGU AU ALITENGENEZWA NA ROMAN CATHOLIC ILI AWASAIDIE KUSHINDANA NA WAYAHUDI KUUPATA MJI WA JERUSALEM? NAOMBA UJIULIZE KWANINI UNAAMINI UNACHOKIAMINI? MWISHO JARIBU KUFUATILIA HISTORIA YA KILE UNACHOKIAMINI.

    • @TheTanzanitepure
      @TheTanzanitepure 7 років тому

      Makis jeremiah wewe mbumbumbu nakuonea huruma sana , jaribu kusilimu uone raha yake

    • @rashidijumaaorwaka6699
      @rashidijumaaorwaka6699 6 років тому

      pole sana kwa tuliosoma historia hatuangaiki na ww kwanza ujue roman catholic imeanzishwa na watawala wale wale baada ya utumwa kukomaa

    • @user-xj6xd1iz1z
      @user-xj6xd1iz1z 6 років тому

      Makis jeremiah
      na wewe inakuhusu nini

    • @munirahmed9254
      @munirahmed9254 6 років тому

      we bwege tu. kamuadvice mamako. na nnakupa pole sana kua mkristo. kuni ya motoni we

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 6 років тому

      Makis jeremiah We hujiekewi inaelekea we ni HKL , eti istoria we unajua istoria wewe we unajua Catholic ilitokea namna gani na nani alianzisha kanisa Catholic hebu kasome wewe!

  • @mrrukemo1843
    @mrrukemo1843 6 років тому

    😭