Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Naimisi sana kwaya
Barikiwa dear, ni muda mrefu sana enzi hizo Mbeya.
àsante Sana ndugu yangu umejua kunifurahisha na hizi nyimbo.tupia na zile za wewe wajua au ewe roho mtakatifu waite wote
Kitambo sana sana nimetafuta nyimbo hizi. Ubarikiwe naomba uongeze zingina mi niko tayari kusabuscraib
Ubarikiwe kuhani wa Bwana,unaweza kutuma zingine
Naomba uongeze nyimbo zingine za kwaya hii kwenye you tube
Za wahenga nzuri, zinafurahisha
Nimekumbuka mbali Sana😭😭
Dah! Raha sana kusikiliza tena na tena. Tupieni zingine za wakati ule.
MUNGU AKUBARIKI SAAAANA. NIMEKUMBUKA KWETU ENZI HIZO HADI NIMETOKA MACHOZI. ....TUONGEZEE NYIMBO ZAIDI ZA HII KWAYA
Mkuu huna nyimbo nyingine za kwaya hii? Ongezea basi
Enzi hizo ilihit sana mpaka Leo napenda nimeingiza bando kwaajili yakutafuta ongeza zingine
Mie ninazo zote
@@mwaminikyando8349 msaada please nizipate