BREAKING NEWS: DR SULLE ATOA SIRI YA KUPATA UTAJIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #islaamic #drsulle #tanzania #health

КОМЕНТАРІ • 28

  • @ZawijiBijo-lg8jg
    @ZawijiBijo-lg8jg 5 місяців тому +6

    Nakuamini sana shekhe wangu

  • @user-hb6sg1sh1z
    @user-hb6sg1sh1z 5 місяців тому +3

    Mashallah ustaz

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 5 місяців тому +4

    Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh .Sheikh,ttunatoaa vp ?.

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 5 місяців тому +2

    Masha Allah🙏🙏🙏

  • @user-sz6qc5fh3q
    @user-sz6qc5fh3q 5 місяців тому

    Unajua unachokifanya na kukisema kuwa sio kweli ni uongo na kuwapeleka watu wa Mungu kuzimu ninakushuhudia leo acha kumtumikia shetani. Mpokee BWANA YESU LEO uokoke na hasira ya MUNGU inayokuja

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 5 місяців тому +3

    Sihsi yhliko military?.

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 5 місяців тому +2

    Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh..Hii ndio M.pesa ama mm nko Saudia lkn pesa yngu ni Kenya?

  • @josephvisenti7416
    @josephvisenti7416 4 місяці тому

    Hv hakuna dua ya kuombea watt wae na ufahamu mkubwa darasani

  • @SarahKibwana
    @SarahKibwana Місяць тому

    Dua hii ya fatar uljasadi inafanyika lini na inafanyika mkoa gani?

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 5 місяців тому +2

    Mwamposa wa Waislamu 😂😂😂

  • @user-qo2xd3hb8l
    @user-qo2xd3hb8l 5 місяців тому

    Hakuna dua ya kumuomba mungu shetani asifunguliwe Tena?

  • @BakariHussein-np9pr
    @BakariHussein-np9pr 2 місяці тому

    Mbn hujaja kigambn

  • @wabwangajatown9236
    @wabwangajatown9236 5 місяців тому

    Asalam alykum shekhe nina shida nawew shekhe umekuja kwenye ndoto zangu zaid ya mara tatu nataman nkutane nawewe nkueleze wew kama wewe

  • @user-sj1fj6uz1z
    @user-sj1fj6uz1z 5 місяців тому

    2:11 2:14 2:14 2:14 2:15 2:15

  • @user-sj1fj6uz1z
    @user-sj1fj6uz1z 5 місяців тому

    0:51

  • @Biziman-pu4kf
    @Biziman-pu4kf 5 місяців тому

    Nyinyi nimatapeli

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 5 місяців тому

    Yaani we mganga miti shamba Mwongo mkubwa!! Eti vitabu vya Mwenyezi Mungu vyote viliteremshwa Mwezi wa Ramadhan Adamu, Nuhu, Ibrahimu, Musa na manabii wote hawautambui mwezi Ramadhan wala mwe Ashuraa ambao ndiyo mwezi Wa Ramadhan kwa sasa

    • @nourdinpro
      @nourdinpro 5 місяців тому

      Hivi unafikiri ma nabbi wa kabla ya MUHAMAD walikuwa hawaswaumu

    • @nourdinpro
      @nourdinpro 5 місяців тому

      N'a jambo lingine elewa kwamba RAMADHANI ni mwezi kama miezi mingine,

    • @yassinmohamed-pp3pq
      @yassinmohamed-pp3pq 5 місяців тому +1

      Asante sana shekh allah akulipe kheri usichoke kutupa vitu vizuri

    • @mwanaikaomar8628
      @mwanaikaomar8628 5 місяців тому

      Kabisa sheikh umesema ukweli.Allah akulipe kila la heri.tunakuamini mnooooo

    • @mwanaikaomar8628
      @mwanaikaomar8628 5 місяців тому

      Endelea kutupa madini

  • @hasinaalrahbi6681
    @hasinaalrahbi6681 5 місяців тому

    Tatizo msg hujibu.

  • @Biziman-pu4kf
    @Biziman-pu4kf 5 місяців тому

    Wewe wataka pesa hauna lolotte wala dini haikuhusu