𝐉𝐀𝐇𝐀𝐙𝐈 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Malkia Leyla Rashid Kwa Hilo Hujanikomoa (Official Video) produced Mzee Yusuph

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 338

  • @bintabou828
    @bintabou828 Рік тому +75

    Wale wa 2024 ambao bdo tunasikiliza kitu kizuri

  • @ericksonotieno5164
    @ericksonotieno5164 10 місяців тому +40

    Wapenzi wa taarab 2024

  • @ChidWabandari
    @ChidWabandari 17 днів тому +4

    Hila taarabu bhana basi tuu miaka hiyoo jahazi daah

  • @blezywatino1043
    @blezywatino1043 4 місяці тому +16

    Tunaoangalia 2024 tujuane kwa like hapa.

  • @HalimaKyasi
    @HalimaKyasi 7 місяців тому +1

    Saaafi😍😍

  • @dianadickison7877
    @dianadickison7877 10 місяців тому +66

    2024 bado naijoy na hii ngoma,gonga like kama unaelewa

    • @goodluckdavid7806
      @goodluckdavid7806 5 місяців тому +5

      Kabisa Diana. Hii Ngoma, Mimi nilikua Singapore 2013 ndio nilijua. To be honest, Mimi mgumu mpaka Sasa nimeshakua Buda. Ila wakati mwingine... Najiachia nayo.. hata Sasa nilikua natingisha kichwa.😊

    • @JafalyAbdalah
      @JafalyAbdalah 3 місяці тому +1

      K

  • @EthaJacqueline
    @EthaJacqueline 9 місяців тому +28

    Hii ngoma itaishi milele 2024 bado naiskiliza❤❤

  • @FredRobert-bn4lw
    @FredRobert-bn4lw Рік тому +20

    Kupata majaliwa huyo ulomchukua mbona anakunyanyasa huu msatari umenikumbusha mbali sana kwa ex wangu 💔💔💔💔

  • @fatumakweka5182
    @fatumakweka5182 6 місяців тому +10

    Mola kanivua dhara kanivuaaa mwengine kaniletea kanileteaa 2024

  • @Feeltyre
    @Feeltyre 8 місяців тому +4

    inapendeza kinyama nimeisikiliza 26 .3 .2024 j nne saa3:12 oya ngoma imeuwa sana

  • @jaggaeliona
    @jaggaeliona 5 днів тому +1

    Wao 100

  • @nassoromzinga8870
    @nassoromzinga8870 Рік тому +63

    2023 bado tunakula hii Ngoma gonga like

  • @athumanmwambire2417
    @athumanmwambire2417 Рік тому +18

    Mashallah 🥰 Hongera madam Leila I love you.mwambieni mzee Yusuf hapa alipata chombo mashallah 🥰

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 9 місяців тому +6

    Umepigaje apo 2024 nipo Moçambique Nampula faina

  • @farajamsigwa1304
    @farajamsigwa1304 2 роки тому +19

    Wimbo hauchuji jamani nimewamis mnoo😘🕺

  • @nathaali7216
    @nathaali7216 Рік тому +10

    Kwahilo hujanikomoa nimempata mmbora mwenye hadhina muruw Asante ukhut kw ujumb maridadi

  • @vanessamuthoni
    @vanessamuthoni 10 місяців тому +4

    2024 nko hapa good music ❤❤

  • @LeghudaleghudaLeghudaleghuda
    @LeghudaleghudaLeghudaleghuda 4 місяці тому +4

    hiingoma inanikumbusha machungu sanaa 😢😢😢 2024 😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @alfanifaraji
    @alfanifaraji Місяць тому +1

    Tukopamoja 2024🔥🥰

  • @michaelernest4814
    @michaelernest4814 13 днів тому

    Inanikumbusha kurasini,mti Moana,mnaenda Mbele,wengine nyuma hatarii

  • @adamkais290
    @adamkais290 2 роки тому +25

    Jaman kweli nikisikiliza hii nyimbo ninaipenda na inanikumbushaa mbali Sana enzi za kiduku

  • @uswegemwasanjala1465
    @uswegemwasanjala1465 11 місяців тому +4

    😅😅😅 sanaa dada unawwza leo 05 jan 2024 kweli nzuriiii

  • @winniegodfrey326
    @winniegodfrey326 Рік тому +6

    Kupata majaaliwa uyo ulomchukua ona anakunyanyasa😂😂😂😂2023 bado iko fire 🔥

  • @paulkanja3825
    @paulkanja3825 Рік тому +19

    Leila made the VIP Album thrive and that's when I came to love taarab .

  • @annachales9623
    @annachales9623 2 роки тому +11

    Nimekuachia na kwa sasa nimempata mbora mwenye hadhi na muruaaa

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому

      tenaaaaaaa👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻💃💃💃

  • @chalesallen8582
    @chalesallen8582 3 роки тому +15

    Taarabu imekufa kabisaa tz kwa sasa zimebakia za Miaka ileeee

  • @barakahamisi7999
    @barakahamisi7999 2 роки тому +6

    Nkisikiliza hii nakumbuka maisha ya shule kidato cha 5 na 6

  • @charlesmush8162
    @charlesmush8162 Рік тому +3

    Hii , taharabu ilinifanya nikanunua mziki mkubwa wa ndani ,Sonic kutoka kariakoo msimbaz mziki hevi wa laki 5, na jita ,I like this song ☑️🤙

  • @Irakozelailat
    @Irakozelailat 5 днів тому

    ❤❤❤bad n nzuriii🎉

  • @ZainabName
    @ZainabName Рік тому +5

    Mashaallah taarabu ni nzuri kuliko zote naomba iendelee kudumu sanaaa

  • @WilsonJohn-x8x
    @WilsonJohn-x8x 5 місяців тому +2

    Wilson au Baresa moja 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @NicholausMoshi
    @NicholausMoshi 13 днів тому

    Daah cwapingi rayla utauwa

  • @issaramadhani2
    @issaramadhani2 Рік тому +3

    Tujuane tunao sikiliza huu wimbo mwaka huu tarehe 22/7/2023

  • @lightnesssikawa1412
    @lightnesssikawa1412 10 місяців тому +28

    2024 gonga like hapa

  • @hamidahamadi
    @hamidahamadi Рік тому +3

    Aiseee miaka ya 2013 na 14 weeee kwenye harusi ya kaka na dada bwana weeee likaundwa bonge la duara acha kabisaa.

  • @priscamussa4672
    @priscamussa4672 4 місяці тому +2

    2024 bado taarabu moto❤

  • @redemptorkennedy1696
    @redemptorkennedy1696 5 місяців тому +2

    Navyoingia 2025 mashalaas❤❤❤

  • @ShufaaAusebio
    @ShufaaAusebio Місяць тому

    Mziki mzuri unadumu MILELE 🔥

  • @SalumuLwinde
    @SalumuLwinde 6 місяців тому +2

    Daaa watt wa 2000 watuache daaa nataman kulia inanikumbusha mbali

  • @hustlertv1694
    @hustlertv1694 3 роки тому +5

    Kifo cha Taarab....sijui tutatoa watribu kama hawa

  • @Junior25850
    @Junior25850 3 місяці тому

    Kuachua raha mashallah

  • @fatumakaniki4135
    @fatumakaniki4135 3 роки тому +20

    Jamaan naipenda sana hii taarab❤

  • @amosmichael8986
    @amosmichael8986 Рік тому +2

    Nakumbuka mbali sanaa aisee miaka imeenda taraarabu imemezwa na singel aisee😢😢😮

  • @kulthumnkiranya3172
    @kulthumnkiranya3172 2 роки тому +6

    Zilipendwaa

  • @WilsonJohn-x8x
    @WilsonJohn-x8x 5 місяців тому +1

    Wape wewwwww Mimi kama baresa naipenda sana🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @saidishabani2122
    @saidishabani2122 2 роки тому +8

    Atali sana hii ngoma naupenda mno

  • @mwahijaismaily538
    @mwahijaismaily538 3 роки тому +16

    Nimempata mbora mwenye hadhi na muruwa 🌹💋

  • @keykariabu701
    @keykariabu701 2 роки тому +7

    Na si ni Life ! Fungu lako hilo 😂

  • @abdulbakari4445
    @abdulbakari4445 3 роки тому +7

    Nice taarabu na ujumbe maridhawa kabisa

  • @KarimuMohamed-od6xl
    @KarimuMohamed-od6xl Місяць тому

    Noma sana 2024

  • @IgnasiaAllyKimbu
    @IgnasiaAllyKimbu 12 днів тому

    namkubari mmakonde mtani wangu

  • @JuliusMolongomarut-q3m
    @JuliusMolongomarut-q3m 3 місяці тому +1

    I love this one but I am lonely at times like this one 😔

  • @Atb300
    @Atb300 Рік тому +3

    Hii nyimbo imenikumbusha rfk angu Onoratha akicheza 😢 rip kipenzi 💔💔💔

  • @AndrewMalole
    @AndrewMalole 3 місяці тому +1

    Namapa Mozambique hapa wamakua wote wananengua duh

  • @FadeelaSharjah
    @FadeelaSharjah 3 місяці тому

    Bado mpya ❤

  • @eliasgunze4935
    @eliasgunze4935 6 місяців тому +1

    Nakumbuka lango la jiji dar

  • @RashidiZiyadi
    @RashidiZiyadi Місяць тому

    Hii tarabu 💯❤❤

  • @allymohammed7708
    @allymohammed7708 5 місяців тому +1

    Kitambo aisee wkt tupo M'nyamala B leo hii leo kkoo

  • @JuliusMolongomarut-q3m
    @JuliusMolongomarut-q3m 3 місяці тому

    I love ❤️ the way they are so beautiful and beautiful 😍

  • @phineaskatera1852
    @phineaskatera1852 2 роки тому +9

    Leyla well done

  • @JohnCosmas-t9d
    @JohnCosmas-t9d 2 місяці тому

    bado Mali hiyo❤❤

  • @augustmboe216
    @augustmboe216 Місяць тому

    mwenye nimeukubali

  • @NasoroDamani
    @NasoroDamani 5 місяців тому +1

    Daaah❤❤❤❤❤ hili Jimbo

  • @Devota-j8p
    @Devota-j8p Місяць тому

    Hizi ndo zilikuwa taarabu

  • @KalilimehboobKhan
    @KalilimehboobKhan 8 місяців тому

    😎😎😎 nawacheki wanao neng'eneka plz niko pale👈👈

  • @Nkurunzizagabriel123
    @Nkurunzizagabriel123 3 місяці тому

    Nan mwingin anaisikiliza 2024 tar 4

  • @dianaashuhundu6612
    @dianaashuhundu6612 Місяць тому

    Tamu kweli😊😊

  • @idumethomasbahebe
    @idumethomasbahebe 10 місяців тому

    Hatariiii kweli itaishi milelee.na inanikumbusha mbali sana

  • @nasramtuluma3949
    @nasramtuluma3949 Рік тому +9

    2023 bado tupo naoooo🥰

  • @maryaloyce5715
    @maryaloyce5715 2 роки тому +4

    Uzuri wa hizi taarabu wanavaa kiheshimaa sanaaa

  • @dukeorina4245
    @dukeorina4245 2 роки тому +7

    When I see Leyla Rashid-s picture ,I see no nonsense beautiful woman

  • @abdulbakari4445
    @abdulbakari4445 3 роки тому +7

    Ujumbe mzuri kwelikweli

  • @AliMohamed-xj9ww
    @AliMohamed-xj9ww Рік тому +2

    Wow wow nec song 👌👌 leilaa Rashida 🤣🤣🤣🤣👍👍👍😛😛😛

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 18 днів тому

    Isha mashauzi ilikuwa pis kali kumbe

  • @crispinmkaitana9044
    @crispinmkaitana9044 Рік тому +1

    Utu tuimbo atuchuji nakapendaga sana kukasikiliza

  • @najyaramadhan9943
    @najyaramadhan9943 2 роки тому +5

    Mashallah mungu akuzidishie ukhuti Leila

  • @sadaoman591
    @sadaoman591 2 роки тому +4

    Napenda sana

  • @ramlamwipi3706
    @ramlamwipi3706 2 роки тому +3

    Haaaa kwa hilo hujanikomoa👌

  • @suleimanahmed2464
    @suleimanahmed2464 14 днів тому

    2025 wapi kelele kwa malkia Leyla 🎉maua yake jomoni we huogopi 🙄

  • @RozimereKaloli
    @RozimereKaloli 5 місяців тому +4

    Nooma saana miaka 100 😅😅😅

  • @FaridaHaji-d2w
    @FaridaHaji-d2w 6 місяців тому +1

    Uko fire sanaaaaa

  • @AndrewMalole
    @AndrewMalole 3 місяці тому

    Duh wakati huo bhana

  • @MhinaBeatsTz
    @MhinaBeatsTz Рік тому +1

    Big up kwa wapiga vyombo 🔥 🔥

  • @majaliwakamala8216
    @majaliwakamala8216 2 роки тому +1

    huuu wimbo aiseee nakumbuka mbali sanaaaa tena mbali sanaaa jahazi mlikuwaga wa moto nilikuwaga sipendi taharabu ila kwa jahazi nilipenda sana .mm vinanda vyao tu vinaniuga hoi aisee

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 3 роки тому +8

    Wee mfalme mzee yusuph umenifurahisha saaaaana kwa kurusha nyimbo za malkia 😂 heheheyaaaa weee Leyla weeee 👌👌👌🌹🌹

    • @aminaibrahim4148
      @aminaibrahim4148 3 роки тому

      Ime niku mbusha mbali sana ❤️❤️❤️💋😍

  • @EunicemouriceMourice-qe3rw
    @EunicemouriceMourice-qe3rw 4 місяці тому

    This song does not fade kali

  • @comradejonasrwegoshoramwal5727
    @comradejonasrwegoshoramwal5727 3 роки тому +7

    Mambo ya Nyakati hayo

  • @HalimaJuma-w9k
    @HalimaJuma-w9k 5 місяців тому +1

    daah kitambo nlikua bdo shule

  • @FaridaHaji-d2w
    @FaridaHaji-d2w 6 місяців тому +1

    Wapi laylaaaa

  • @sadikjuma5519
    @sadikjuma5519 Рік тому +5

    VIP is one of the best JAHAZI MODERN TARAAB album's.... Huu wimbo ni Stahabu...Yaani itaendelea kuwepo. One of my favourite Leyla's song💯... Much love from 254🇰🇪❤️

  • @sharifasalum532
    @sharifasalum532 3 роки тому +6

    dada mzuri mashaallah

  • @maalimrajabu8942
    @maalimrajabu8942 Рік тому +5

    Kwa wale tunaoingalia mwaka huu 2023 like hapa kula chuma hicho

  • @RahmaIbrahm-jz3hp
    @RahmaIbrahm-jz3hp 4 місяці тому

    nizaidi ya sana er ❤❤❤ mtu na bahaati yake

  • @gideononyoni4549
    @gideononyoni4549 2 роки тому +3

    Nyimbo inaingia mpaka veins

  • @hidayaeggah1240
    @hidayaeggah1240 2 роки тому +9

    Anazidi kunipenda mtu na bahati yangu jamani ❤❤😍

    • @wardaomar3001
      @wardaomar3001 Рік тому

      Teynaaaa❤

    • @JumaCMbega
      @JumaCMbega 7 місяців тому

      Na hizo fitna ndio riziki yangu anazidi kuniganda raha zake ndio zangu

  • @mwanauluramarama8144
    @mwanauluramarama8144 2 роки тому +2

    Santhaaaa ma Leila

  • @AbeidySarum
    @AbeidySarum 5 місяців тому +2

    Kama Bado una enjoy na hii ngoma 2026 gonga like

  • @mmn7480
    @mmn7480 3 роки тому +89

    2022 mpooooo gonga like

  • @Travellingfamily01
    @Travellingfamily01 3 місяці тому

    Great music ❤

  • @girishonrwabona136
    @girishonrwabona136 Рік тому +1

    Daa hii taarabu nzur xana naenjoy xana kuisikia ongela Sana malkia Leyla kwa nyimbo nzur