Jinsi ya KuHakiki cheti za kuzaliwa eRITA, verify cheti cha kuzaliwa
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Hatua kwa hatua jinsi ya ku verify cheti cha kuzaliwa eRITA
verify birth certificate eRITA
link:-
erita.rita.go....
jinsi ya KuHakiki cheti cha kuzaliwa eRITA
Habari kaka mm nimefata hatua zote ila sehem ya attach picha haijaja na nimelipia imekubali
Thanks bro
Mm nimeletewa control namba kabla ya kuattach cheti nifanyeje na pesa nishalipa😢
Samahani bro Huwa nafatilia sana kazi zako UA-cam nilikuwa naomba msaada nimefanya application ya birth verification code tokea tar 26 mwezi wa SITA Hadi saiv Bado hazijatoka
Mheshimiwa, nitumie mawasiliano yako ya telegram Kuna tangazo na tunaweza kulijadili.
Whatsapp +255682339972
Mim nimefata process zote lakini application code haijatoka nafanyeje jaman msaada
Umeshapata?
@@MaujanjaZone mimi bado kaka leo wik ya 2
Vp kuhusu mtu mwenye copy ya cheti