@rehemasaburi9026 yeah Ayolizer and kamixlizer ni mtu mmoja yaani Ile tag ya Ayolizer inaonesha yeye ndo ameproduce then Ile ya kamixlizer inaonesha yeye ndo amefanya mixing and mastering.
@@ZakariaSalehe-r4t cjui kwann kanikwaza halafu angejua yeye na mbosso wana tone fulani zinaendana hawa siku wakitulia vichwa wakaamuwa kutunga ngoma moja kali itaenda sana
Najua niko mbali sna lkni nakutakutakia maisha mema na simba nakupenda sana mwanangu mungu akupe maisha marefu ni mm mwanaisha gagaga niko mombasa kisauni ❤
Zuchu sikia kwa mimi. I love this song and is my no.1 song on the list the way u have vocalize it eshie like it should echo into my inner heart forever ..i love all mother's ❤❤❤
Wanao muombeya zuchu maisha marefu tujuwane kwa likes
Tuna mpenda❤
Tup Kam Wote
Shes is the best❤❤❤in my girlie era
😊@@CindyKine
Thanks
Hii ni siku ya tatu nkiskiza huu wimbo siku mzima😭kweli Diamond hakubahatisha hapa🙌❤️💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Thanks 🎉
@FaridaQueen76😅
@@slimmysammy263😅
Hii nyimbo naipenda sana sina bebe lakini naiskiliza kuliko ata wenye mabebe naombeni like zenuu
Pole In shaa Allah utapata bebe.😂😂
Thanks
@CikeTanzania😅
Twafanana
Upo Kama mimi
Hii ngoma kali kushinda zote ❤❤from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤
Thanks
Naungana na wewe 100% toka nianze sikiliza nyimbo za zuchu hii siichoki na nasikiliza muda wote❤❤❤
ZUCHU is just a golden female artist in 🇹🇿 TANZANIA her lyrics 100%
Melody 100% everything is fine we are so lucky to have her 🎉
Definitely we are so proud of her
We are so proud of having Grace matata she is dope 🇹🇿 🎉
Thanks
🎉
@Halleberryist❤BEST
Ohhhh my fan zuchu nakupenda sana wewe ndo mama wa mziki hapa Tanzania 🇹🇿 hakuna mwingine ❤
Kuna watu wanabisha😅😅
Thanks ❤
Zuchu mkali jamani hii album si itaniuaa😂❤ likes kwa zuchu kutoka tz🎉🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪
Thanks ❤
Aki zuchu she makes me go crazy ❤
Na sauti inaua kabisa.😊😊😊
Utakayesoma hii comment mungu akupe maisha marefu 🤲💯💢💫💢💯🤲💫💢💫💢💫💫✍💥💥🤝🤝🤝💥✍💫💢🤲💯
🙏🙏🙏🙏
Amina
Nimechoka kuona comment Yako kila nyimbo umekoment iv iv😅
Amen
same too@@AlexJumanne-ls5gm
💪💪💪 Ayolizer and kamixlizer huyo jamaa mwanangu sikio la mziki amebarikiwa nalo
ni mtu mmojaa hapo kafanya kama producer afu aki mix ndo anasema kamix lizer
@rehemasaburi9026 yeah Ayolizer and kamixlizer ni mtu mmoja yaani Ile tag ya Ayolizer inaonesha yeye ndo ameproduce then Ile ya kamixlizer inaonesha yeye ndo amefanya mixing and mastering.
Huy jamaa ni fund mno hakun kam yeye bongo kw upande wa kumix
@@shanatatrigger6537 kumbuka kuna jamaa hatari pia kwa kumix anaitwa the mix killer
hakuna fundi yeyote hapo hiyo beat ni ya wimbo wa SIMI duduke huyo producer hana ubunifu hata
Nakumbuka Kipindi unatoa wimbo wa nisamehe, nilikuwa dm ukanijubu🔥nilifurahi saaana!! Ila now ndo hivo aijibiwi😭😭sio mbaya furahia Mafanikio Zuh
Pole 😢😢😂
Huyu Zuchu ❤ nipeni like zenu guy's
Hatukupi😒
Tunakupa like zote tena nyingi sana 👍👍👍
Kama una pumua na unasikiliza mziki mzuri gonga like apaaa
❤❤❤🎉
Mama hii nyimbo kiboko.. ongera sana
Thanks ❤
Hili Song ni Motoo🔥🔥. Laizer ni Fundi sana.
Ebu wanao kubali zuchu mikono juu🙌🙌🇧🇮
This Queen gives me goose bumps my god. Beautiful ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇺🇸
Hii sasa ingepata mbosso aweke verse yake hapo katikati,,aah ingetesa saana❤lkn bado n nooma
ingekuwa taaabu aisee
Kabisa❤
Ingekuwa balaa la mwaka watoe tu remix na mbosso
Kwann kwanza hajamshirikisha mbosso kwanye song hata moja
@@ZakariaSalehe-r4t cjui kwann kanikwaza halafu angejua yeye na mbosso wana tone fulani zinaendana hawa siku wakitulia vichwa wakaamuwa kutunga ngoma moja kali itaenda sana
Mwaka huu mtatuua na hzi nyimbo ampoii
Thanks ❤
Tunafurahi kwa song lyrics nzuri ili tumalize mwaka salama,mungu atubariki sote tumalize mwaka vizuri 🙏
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉nimeangalia albm nzima hii ngoma noma😊
Nami ndi vyo sister ❤❤❤❤
Zuchu ataniua roho nakwambia na ❤s ana
❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi pia 😂
Oh
Alie mkubali mwizi gonga like apa 😂
yan kaiba beat ya watu kabisa hii ni beat ya SIMI wimbo wa DUDUKE
Hata kma mekuwa wa mwsho like zenu wkuu nawapenda ote ❤❤..ngoma imepoa pyaar song
Thanks ❤
Mashaallah Zuchu unajua unajua tena❤❤❤Likes zake tuanguke nazo hapa❤❤
Tunampenda Queen Zuhura Othman ❤❤❤❤ much love from Comoros🇰🇲 and Maurituis 🇲🇺❤️❤️❤️
Bila kusikiliza hii nyimbo sipati usingzi
tupo. wengi. kak.
Hahaha 😂❤ nakubali @@BakariNassoro-o7k
Thanks ❤
Tuwaonesha wa tz sisi ndo watu tunao penda nziki yao kwa kulike wapi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wa kwanza kutoka Kenya nipe like
Kwa bongo mpinzani wa mbosso nazani ni zuchu tu
uko sahihi
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wa kongomani muko wapi tujuwane kwa like zenu APA kama una mupenda zuchu 🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪
Wakwanza kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Boss aprendeiro a onde essa lingua?
Daah!! Ila dj lizer ninoma kwakutengeneza bongo fleva ✌️🎶🎶🎶🎶🇧🇮🇧🇮🇧🇮
niatari Huu wimbo twende mbele 👍👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤❤❤❤
Mimi wakwanza nipe like yako zuchu 😢
Hii ndio best of the year🎉🎉 From Nigeria kama umekubal likes ming🎉❤
Dudukeeee Dudukeee
Kabinti kanaimba bana
Simi is her bestie kama hujui sababu ya mabwana zao alafu hakuna kama hiyo ama wewe kiziwi
@AshaHadhidha-hj3oo umejieleza sana utafikiri wewe ni Zuchu 😄😄😄😄😄😄😄😄😄 umeenda deep sana mwanakwetu kausha sikiliza mziki tu mengine yapite
@@ChrissJoel-t1c😂😂😅
Ila hiyo bit ni ya duduke
BWANA YESU ASIFIWEE
AMEN 🙏🏾 ❤❤🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾😊
Looo zuchu wewe Mashallah
Ninakupenda sanaaa dada zuchu Allah akujaalie na akufanyie weps kwa kila jambo lako na katika safari yako ya maisha❤❤❤
Jaman zuchu huu wimbo ulitulia Sana aisee💓💓💓😊
Aisee zuchu unatuponya kuwabembeleza mabby zetu hii nyimbo ni noumaaa❤
Huu ndo bora kuliko zote
Najua niko mbali sna lkni nakutakutakia maisha mema na simba nakupenda sana mwanangu mungu akupe maisha marefu ni mm mwanaisha gagaga niko mombasa kisauni ❤
Duduke( by simi) beat heard here, who feels the same way???
No one,now go away weirdo
Most definitely. I thought I was the only one
Hmm apana hazifanan
True true, duduke at the background
@@Salumu-wm5lt Listen carefully plz
Nishapata goma la kusikiliza kwa earphones😂🔥 Its masterpiece
Hahaha
Mie nimependa nyimbo zote ❤❤❤❤
hogera zuchu unafanya vizur sana
Jamanii zuchuuu ❤❤❤❤❤❤ mpaka sijiwezii
Uyu mwaka tunahanza utawa tajiri namba moja Tanzanie kuwanawake
1st Kenyan SI mnipee likes hapa na pale 😢😢😢
تحياتي للجميع من السودان 💚
Nice music zuchu kajaliwa Masha Allah Mungu akulinde
Nimeipenda album nzima❤❤❤
Zuchu Ni Mmoja TU 🔥💯🎶🎵
Wakwanza much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi
Pozze ✊🏿 pozze ✊🏿 pozze ✊🏿 pozze ✊🏿 pozze ✊🏿😂😂
Tupo ss awaaaa😂😂
Kitu ambacho nilikuwa nasubiria kwahamu🎉🎉
ngoma Kali sana🙏🙏🙏
Huu wimbo mmeiba beat ya simi Duduke wa nigeria
Nipe lyrics za duduke ndo niamini
Sina chakuongea nyimbo naipenda sna lazima Kila siku niiskilize❤❤❤❤ nakukubali sna zuchu
Ipo vizur hazwa uwe kwenye penzi jipya weee
Am really falling in love with this song.moto kama pasi❤❤
Love 💕 zuchu nakupenda sana goma nikali kinoma sikupingi ❤ dada angu nakufatilia sana kipenz mungu akupe siku zakuishi miaka mia❤
Zuchu niwa moto moto like
Tulio irudia mwizi mara mingi tujuane🤣🤣🤸🤸🤸🤸
Zuchu sikia kwa mimi. I love this song and is my no.1 song on the list the way u have vocalize it eshie like it should echo into my inner heart forever ..i love all mother's ❤❤❤
Nime waiiih tena mm zuchu mnipe bas zawad na mm
Hii nyimbo wallahi😢😢😢
humu umetisha sana zuchu
Msg sent kwa wanao .... simalizi ila konzi zitafanya kazi🎉🎉❤❤
Namuangalia mtoto wa mamamkwe usoni nashindwa kumtazama mbona jamani 🥰🥰nyiee au basi ila zuchu kheri wafe wapemba kumi ubaki hai ww 😅😅nakupenda mno
😂😂😂
😂😂😂😂
Nyimbo nitam mpaka nalia
Duduke😮
Zuchu umekua Kama sio bangi kwangu basi ni ela kudadek zako kwann mm nikupende Ivo ,, ❤❤
Mwanga wajua la jion likiwa linazama liwe kwenu
Sauti asali asali mbichi inapendeza kuisikia
Salam nyingi kutoka dareslam
❤❤❤❤❤❤❤ Kama wa mpenda zuchu like na pia mnipitieni guys
Todo el album a volumen pleno , saludos desde Colombia , puro amor por Zuchu ! 😍😍
Lizer Kwenye beat Mnyamaa....Nimekubali♥️♥️♥️....Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwaiyi nyimbo umepatiya
Zuchou nakupendaAllah akupe umurimurefu Inshaallah
Sichoki kuiskiliza ❤❤❤
Love you zuchu mama simba la masimba one na zombie
And finally she won 🎉the best woman singer in 2024 from Tanzania...
Zuchu hii nyimbo umeweza baby 🎉❤
Zuchu nyimbohi nzulisana umeweza sana nikiwakwangu naipiga sana
Mm sio mpenzi wa nyimbo za bongo ila hii nyimbo ni super 👌
Nasikiliza hii nyimbo nikiwa mtungi mwingi mnoo, 😅 aah zuchu i love youuu❤
Perfect soundtrack. Keep going Zuchu.
Wimbo mzuri,Hii song manzoni kick imepiga vibaya
Laaa yani zuchu unahimba adi tunalewa
SAUTI MAMA aihh🙌🏾🙌🏾🙌🏾😩❤️👌
Tunaomba remix hii na mbosso🎉
hahaha mpumzishe mbosso tutakuwa hatusikilizi nyimbo nyingine 😂😂
Zuchu wangu nakupenda sister❤❤❤🎉
Angekaa na RECHO AU LEI SIIIII
Ila mwizi 🙌🔥
kama umenotice beat ya duduke gonga like
Like zang waburundi❤❤
Zuchu ni moto wa kuotea mbalii
ZUHURA, Much Love ,nakupenda Bure❤🎉
Awwe mwizi imenikuna kunako🤣😍😍🤦