JINSI YA KUPIKA BIRIANI/ Mahitaji/Mapishi na Zamaradi TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • #Mapishi #ZamaradiTV

КОМЕНТАРІ • 44

  • @neylicious_mollel5194
    @neylicious_mollel5194 4 роки тому +4

    .......so kwmba haiwezekn kupik biriani na mchl wa kawaida inawezekn sana tu na inakua tamu hatri..sema tu lbda ule muonekn wa mchele hautakua pow coz pishori unakua mrfu afu unachambuk vizur...ila yote na yote ni upishi wako tu ila mchele wa kawaida unawezekn sana tu...ukisem haiwezekn kun sehm zingne basmt hauptkn na mtu anaanglia kipnd anatmn kupik birian anakusikia unasem mchel wa kawaid hauwezkn unamktisha tamaa...mpishi mzur lazim awe na option...ila unapik vizur chef keep it up...

  • @neylicious_mollel5194
    @neylicious_mollel5194 4 роки тому +11

    ....alaf da zama mbona anaye shuti hashut kweny sufuria tuone jmni ye anashut tu mpishii ndo nini..tunatakiwa tuone chakul ndni ya sufuria kinavokua...mnatutesa jmni watazamaji sie...

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 4 роки тому +2

    Mashallah, tapima leo kupika Biriani 👌👌👌

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 4 роки тому +4

    Hata Michele was kawaida unaweza upika ukipata grade one, na mtamusana

  • @luqmannassir5279
    @luqmannassir5279 Рік тому +1

    manke sijaelew ivo vitu ulivo weka

  • @worldlyricssongs6141
    @worldlyricssongs6141 4 роки тому +2

    Chef himself

  • @tedysimon5400
    @tedysimon5400 4 роки тому +1

    Niceeee

  • @cchuwa6980
    @cchuwa6980 2 роки тому

    Unagonga sufuria sana mpishi

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 роки тому

    Shukran chef 👨‍🍳 fundi wa jiko fundi wa taifa 😘😘😘😘

  • @sporahsende9738
    @sporahsende9738 2 роки тому

    Chef nimekuelewa

  • @doricebilauri5081
    @doricebilauri5081 11 місяців тому

    Kwaio iyo ndo birian..

  • @salumungohu5413
    @salumungohu5413 Рік тому

    Je unaweza ukapalilia kwa juu na makaa ya moto

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 4 роки тому +1

    Mimi ninachojua biliani ni losti ndio inaitwa biliani ila uwo wali ni raisi kupika so why upike walitupu kaka bila kutuonyesha mchuzi wake

  • @a.856
    @a.856 4 роки тому

    Thanks

  • @hidayakisensi2747
    @hidayakisensi2747 3 роки тому +1

    Nan mwingine kaona mfuniko wa sufuria hauna mshikio cheaf anaungua mkono

  • @doncandy8919
    @doncandy8919 2 роки тому

    👏👏👏👏👏

  • @bihawarashid1511
    @bihawarashid1511 Рік тому

    Naomba kuliza ainagani ya mchele unaopika biriani au unaitwaje huo mchele

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 роки тому

    Kwaiyo hiyo ndio biyani👀👀

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 4 роки тому

    Sem hpo unakoroga kam mboga mweeeee ila hii birian ni rahis nshaipenda

  • @issakepa4159
    @issakepa4159 4 роки тому

    Mbona Amepika tu wali peke yake tunaomba aonyehe jinsi ya kupika kuku au nyama kulia huo wali wa biryan

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 роки тому +1

    Ungekuwa unatuonesha jamanivitu kama hivoNdani ya Sufuria unatuonesha inakuwaje na pia Hiyo rangiwenngine tutaweka rangiza Mikeka tuoneshe chupayake Nilitamani kuonandani ya sufuriajamani aweew navoipenda bilianiNaje kama sina Nazi naweka nini jamanii

    • @halimamusa2797
      @halimamusa2797 4 роки тому

      kennedy wanjara 🤣🤣🤣eti rangi ya mkeka

    • @babymansouth1164
      @babymansouth1164 4 роки тому

      @@halimamusa2797 😂😂😂Waanikweli

  • @noelamussa9412
    @noelamussa9412 4 роки тому

    Uko vizuri, lakini camera ipo sehemu moja napenda kuona ndani ya sufuria au pale unapochanganya rangi vile ukipindua inakuwa

  • @juhudikilimo8480
    @juhudikilimo8480 3 роки тому

    Iv unatakiwa ukauke kabisa

  • @rosembowe8779
    @rosembowe8779 2 роки тому

    Mimi najua biriani ni mchuzi ,mbona hapo ni wali tupu

  • @luqmannassir5279
    @luqmannassir5279 Рік тому

    ayo madude uloweka km ya rngi yakijani ni kit gn

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 3 роки тому

    Zamarad mwambie kuna huyu Nasma Farms LTD kaz yake kulima alafu yeye atakua anapika au kaesha oa jàmàñ

  • @hawahawa8166
    @hawahawa8166 4 роки тому +1

    Hakuna mpishi hapo

  • @juhudikilimo8480
    @juhudikilimo8480 3 роки тому

    Pia ukichuja maji Kam Hun tuwi la nazi utatumia nn au

  • @doreenakoth2089
    @doreenakoth2089 4 роки тому

    Huyo mtu wa camera ana shida gani😂

    • @afrikkanmukbang9734
      @afrikkanmukbang9734 4 роки тому

      Yaaani... Hata baada ya chakula kupakuliwa, anatuonesha mpishi tuuuu😂

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 4 роки тому

    Wali wa nazi huo sio biriani

  • @jocelyneinarukundo3655
    @jocelyneinarukundo3655 4 роки тому

    can anyone tell me :mudalasini, hiriki, in english pls?

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 роки тому

      Cardamom is iliki

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 роки тому

      Cinnamon is mdalasin

    • @angelbwija9547
      @angelbwija9547 4 роки тому +1

      Mudalasini =CINNAMON
      Hiriki=CARDAMOM in English 👍

    • @jocelyneinarukundo3655
      @jocelyneinarukundo3655 4 роки тому +1

      @@angelbwija9547 thank u dear

    • @Ammarah0688
      @Ammarah0688 Рік тому

      Jina la baba lenyew gumu sa ushindwe kujua kiswahili nyarukundo ni wa wasukuma

  • @luqmannassir5279
    @luqmannassir5279 Рік тому

    manke sijaelew ivo vitu ulivo weka