Atar sana apa najivunza mama ndy mto wa pekeee kwenye hii dunia amekuwa beg kwa bega na mwanae mweshim sama mama yako kama bado yupo hai angekuwa nrafk huyo angesha mtupa love you wa mama wote duniani 🙏🙏🙏🙏
Warudishe kila kitu juu hujui wameplan aje after kutengenezwa wiiii ile kiburi huyu dem alikua nayo wacha tu ...kwanza achukue mtoi aende akae nae DNA ikingojwa
Ikiwa time alikua normal alikua na kiburi wacha akae hivyo hadi warudishe kila kitu juuu ukikubariana na hao aggrey kitakuramba baadae wacha akae hivyo hadi hiyo 1 week iishe
Natamani Michel abaki hivyo kusudi iwe fundisho kwa Binadamu wengine hasa kwa Wasichana Wanazindi umalaya pia Na Kujiona .vipi sasa Dan anaendeleyaje Mbuzi huyp
Let's hit 1k likes❤❤
Naezapata namba ya uyu doctor
Aggrey ukikubali hio week kitakuramba,plz kumbuka ata mama alikua na kiburi,plz plz plz aggrey usiamiini hao watu plz,
Walai labda n yy wataenda kumuroga sasa😢
Scan hio title mjue ka ni original au ni Ile ya river road😊
Woow giid lesson atlest amepata vitu zake sasa..... Na trish story na Johns alimaliza aje
Hata mm nilikuwa naulixia Silvia na John walimalizaje
Pia mm nilikua najiuliza hilo swali
Ata Mimi nilikuwa najiuliza maswali
Ndio nashangaa Trish amezip
@@DianahMururi Trish pia ako na story leo kwa channel yake
Levyne pliz don't remember when a snake sheds it's skin it doesn't become a worm it becomes a bigger snake chunga aggrey unaeza rogwa akh
Hawa watu siwaoni vizuri,,musikubali arudi normal kama hamujapata vitu zenyu
Ak tena wanamhurumia aje sasa😢😢😢😢 ebu fikirieni guys 😢
Atoe zote msimtengeneze ulizeni kwanza dactari unapimwa
Aggrey don't try to take those things plz akupee everything ndio arudishue sawa
Teach them a lesson....arudishe kila kitu ndo akue sawa
Please levyne mkaze kamba kabisaa.mkikubali kumtengeneza Michelle kitawaramba sana.Atawarndea kwa daktari pia.
Wacha alete vitu vyote passport, title etc be4 atengegweshe
Is that tittle valid, you need to be so keen coz I don't trust Mitchel and Dan things
Levyne be careful with Michelle na mamake
Hapo naona mnacheza kazene kamba walete kila kitu pamoja ata iyi tittle usichukuwe
Hawa watakumaliza agrey don't try to do anything that you will regret
Tit for tat is a fair game usimtengeneze till warudishe everything Nani ako na furaha kama Mimi saizi anasema Dan alimgeuka 😅😅😅😅😅😅😅😅
Levy don't 4get huyu mama vyenye alikuwa
Aggrey usikubali adi umepew vitu zako. Hao n magaidi wote adi hy mama usikubali aggrey
Watafute wakiwa hivyo😊😊😊😊
Wajifunzi wamezoea kula vya watu na mimi ninge jua huyo mtaramu na mimi nilifanyiwa kulubuniwa na mdada x
Aggie don't agreed with them first they give you ur belongs,atherwise you will lost everything
Agreey toka apo ungekufa uyo mama aende ashughulikie mtoto wake
We aggrey ukikubali kumtengeneza kabla ujapata vitu zako zote kitakuramba
Atar sana apa najivunza mama ndy mto wa pekeee kwenye hii dunia amekuwa beg kwa bega na mwanae mweshim sama mama yako kama bado yupo hai angekuwa nrafk huyo angesha mtupa love you wa mama wote duniani 🙏🙏🙏🙏
Levynee agree atauliwa kama siku bado
akulipe kila kitu kwanza dio umutegeneze, usikubali
Levyine mupewe kila kitu ndio mumwachilie kila kitu
Wuiiiiii 😭 aggrey no kitakuramba walae hungekubali 😢
Usikubali ata kidogo enda na title dead uwaache Ivo remember mum Ako na kiburi
Ata uyo Dan abaki tu ivyo hakuna msamaha
Watoe Kila kitu kwanza ndio arudishwe vizuri,,
Abaki hivo hadi akupee kilakitu
Hadi mbuzi ikae hivyo😊😊😊😊😊
Usikubali bro vitu zako kwanza halafu akuwe sawa
Agrey safi sana Michelle na mamake Wana kiburi sana akili iwa sogee
Waaah very good kama amekufa Sisi kama team strong tuna sema good
Nooo wapeane kila kitu
Levin mmechezwa.uyo dem akiwa sawa atatafta daktarinwake pia
am happy for ❤❤❤🎉🎉for Aggrey and team strong gulf see thanks my lord 🙏 😊 ❤️ for Aggrey 🤲🙏🙏🙏
❤
hakuna cha week moja akae hvo hiyo week hadi arundishe kila kitu
Hawa wanawachora ongea na doc qwanza mjuwe wako na nia gani
Aggrey Habana waja hakae hivo😢😢
Eeee alikua nakiburi sana san akwende na uko malaya mbwa yy usimusaidie plz plz plz plzzzzzzzzzzz
Leyvne usikubali please juu uliponea chupuchupu please 🙏🙏🙏🙏🙏 chunga sana
Msijaribu kurudisha uyu mjinga walai mtageukwa,msiwaskize
Sialijiona yeye cake na Dan abaki mbuzi alipe gharama za doctor na amlipe aggrey alikua anataka kumuua
😊😊
Plz adreey usikubali kitakuramba
Aggrey kumbuka dan alikuwa akuue ndio usidai anything mungu akakuokoa usikupali cozy waliku kimoja hadi sahii musikupali
Walipanga kukuua don't trust them pliz .they have another plan
Usimsamee wamlipe fitu zake zote juu mwanzo alikua na kiburi sana
Kitawaramba wacha arundize kila kitu
Hihapa is a lesson for others.
Asiporudisha ni miguu ya ngombe
Thank God you got your title
Hakuna vitu zote ziregeshwe hakuna msamaha ngoja mpaka waregeshe ndio Mitchell akuwe sw
Becareful check the title careful ..don't let them play games with you.. tell them do bring everything..
Don't to change this girl kitakuramba
Yiyi someni msg paspot aidi ndo muende bilahivyo kitawaramba
Inakaa huyo mama ni mjanja so be careful Agreey
Nendeni pamoja Pali ameweka hizo vitu basi
Eeeeehhhh kumbe ukikula vya wenyewe unapatikana mashakani
Warudishe kila kitu juu hujui wameplan aje after kutengenezwa wiiii ile kiburi huyu dem alikua nayo wacha tu ...kwanza achukue mtoi aende akae nae DNA ikingojwa
This is the best lesson to learn from betraying your friends
Aggry take all your belongings and don't forget your child and run away
Mm naomba on ya daktari plz
Mishel lazima atii
Hakuna kitu kama hiyo Aggrey usijaribu huyo mama anakupima
Musamaa gani,kwani walipo kundinga kisu walikuwa Na roho ya utu ?
Michelle angeleta document zote kwanza.
Alipe Kila kitu ndo arudishwe vizuri hii kiburi iko na Hawa watu don't try to trust them
Please help 🙏 one week is not long....
Jeso hakuna cha baadaye aggrey and Levine no with capital letters 😢😢huyu Mitchell ako na umaringo na kiburi sana don't forget u will regret wslai
But please asije wageuka uliza dakitari sana please
don't believe those idiots until wakupee kila kitu juu umeteseka sana bro don't forgive them haezi rudisha
Please amesoma lesson naomba mumusamehee mwajie mungu
Its great a lesson learnt
Aggrey ukikubali tu hivo umeisha wakupee kila kitu mmalizane
Hawa watu n waogo please don't trust them kitawaramba 😢wait mbaka wawapee vitu zote zenye n za angry
Hio n ujaja yao watoe zote buana.... kuna venye wanataka kufanya man aggrey usijaribu
Levyne msikubali plzzzzzz
Aggrey kila kitu wakupee ndo dactari amurudishe saw
Wasije wakakuganya alfu wakuletew majambazi wKuue chunga sana
Aggrey mitchell ake hvo hadi atoe ata nusu basi la c hvo akae hvo n Kiburi zao n mamake
Hii mambo imekaa San ...juu ya kiburi Aggrey usikubali subiri huo mda watakuea
Angalia hiyo title isiwe ni diplacate aki
Mahututi ad she's still talking 😮😮
Arundishe kila kitu
Ambia😅 michell atoe kitamba tumuhone 😅😅😅
Hiyo title deed ni original kweli
Levyne uliona aggrey akinyongua mwanso usikupali kabisa
Usiwarudishe wasijefanya kma Dan
Mpaka saa hii ako na kiburi
Hiyo haiwesekani,,,bro mtachezwa vipaya sana,msikubali hiyo story yao tafadhali,,hiyo ndio kitu washapanga😢😢
Ikiwa time alikua normal alikua na kiburi wacha akae hivyo hadi warudishe kila kitu juuu ukikubariana na hao aggrey kitakuramba baadae wacha akae hivyo hadi hiyo 1 week iishe
Huyu Mitchell haja kufa ameona Aibu venye amerudisha vitu vya wenyewe sisi tungoje tu daktari atakuja kurundisha normal tutamuona kakiongea hapa🐵🐵🐵🐵🐒🐒🐒🐒🐒🐒
😊😊
Uangalie hiyo tittle deed kama ni original, usikubali arudishe everything Kwanza@@levynetv.
Akuna ja badae warudishe vitu xake zote
Natamani Michel abaki hivyo kusudi iwe fundisho kwa Binadamu wengine hasa kwa Wasichana Wanazindi umalaya pia Na Kujiona .vipi sasa Dan anaendeleyaje Mbuzi huyp
😊😊
Dan mbuzi😊😊😊😊
Hawa wako na plan zao huenda wataenda jwa waganga ata....siwezi waamini
Usikubali Aggrey warudishe vitu kwanza
Na siwalisema wameuza shamba😮au ilikua mpango Dan akuue
Hiyo title deed muagaliye sana
Scan hyo kitu ujue kama ni original