😮😮😮😮m nacheka Mitchell vyenye ako eti ni mama ameimbiwa mtoi gaii kueni rada na hio ng'ombe Mitchell 😢levyne pia jaribu kuchukua mda usome comment zetu saii hamgekua apo surely 😢😢
Mpango yote Mitchell anajua sasa plan yake yote ni kumaliza huyu aggrey ndivyo wawache na hii story be careful aki ama huyu Mitchell ameee miguu ya ngamia sasa
Huyu Mitchell mpeeni miguu ya ng'ombe akona ukora sana hakuna kitu hajui yeye tuh do akona hizo plans zote ,,hakuna mwigine coz dan ni mbuzi hakuna kitu anajua hapo
Nothing will happen to you team levyne ,, you're protected by the blood of Jesus,but toeni Mitchell apo ndie ako na hio deal coz anajua mtoto n wa aggrey
Yani Michel ndiye chazo ya kila kitu hapo Angeli Mpatiya Agry kila kitu chake huko kote hamgelifika huko kwenye Mapori yan8 Mpeni huyu Michel hazabu ya Matiti makubwa na kutoka Damu sehemu zake za siri pia awe chizi wakula kuongota barbarani
Mimi niliwambia kwa Mungu hakuna lisilo wezekana, ni Daktari mgani Huyu mwenye anageuza wengine kua Mbuzi kama sio Mchawi? Hata huyo Dan Ningekua hapo Angerudi Sawa Kwa Jina la Yesu 🙏
Iyo dani unamuteteya hujuwi alivyo fanyiya mwenziye haki yani wewe unateteya magayidi Wauwaji Wamekula mali y'a aggry nakutaka kumuuwa live wewe ni mcawi kama wawo
Mimi sio Mchawi na ninalitangaza Jina la Yesu, Ivo Tu na sio Eti niko Side Ya Dan, na niliuliza swali Ni Daktari Mgani ambaye anageuza wengina Kua Mbuzi ama kukula manyasi kama sio Uchawi?
Hi Fam❤ remember to Subscribe, comment and share..Lets hit 1k likes for this video..
Thanks
Lord protect you and cover you with precious blood from any plan of the evil
😢😢
Just levy rudisha mitshell mahmaid ama mbuzi izi vitu zote n zake 😢😢😢@@levynetv.
Mitchell anatumia mapepo anataka kuuwa aggrey asindaiwe doo so Mitchell anajua kila kitu that is happening mrudishe mamaid sasa ako na ukora mingi
😢😢
True ndiyo asipata haki yake😢
@@Moruridorine hiyo ni ukweli
Perfect said 🫶
😢😢😢😢 afanywe ajikute akikiri kila kitu amefanya
lyvn na Agrey kma hamtarudisha huyu dem kua wazmu mnahatarsha maisha yenu nyie juu hawa wanajua kila kitu sasa bila kua nao mbali mtafnywa vbya😔
😢😢😢
Mitchell anajua Kila kitu murudisheni akuwe mbuzi jike kama Dani akule nyasi
❤❤
Mbuzi jike kndo ya dume ama sio maryam
Michael knows everything yeye ndio amepanga kila kitu kaeni radah saa mkitoka apo mmpee adabu Kali kama dan
❤❤❤😢
😮😮😮😮m nacheka Mitchell vyenye ako eti ni mama ameimbiwa mtoi gaii kueni rada na hio ng'ombe Mitchell 😢levyne pia jaribu kuchukua mda usome comment zetu saii hamgekua apo surely 😢😢
😢😢❤
Uyoo mwanamke anawacheza sana
😢😢😢
Mungu awasaidie Levine Angrrey Michelle anajua everything hope doctor ako salama
❤❤😢
May the Lord protect you 🙏
❤❤😢
We levyne huyo Mitchell atawamaliza take care plz Agrey plz stay away from Mitchell akuua
Aaah kumbe Kuna mapepo ukweli 🤔🤔🤔
❤❤
May the lord protect u bro and ur brother agrey nothing without God
❤❤
Mitchell knows everything that is happening juu anajua mtoto maybe sio wa Aggrey
❤❤😢
Mitchell knows everything what is going on.why did you just pass in Forest may God protect that baby
❤❤😢
Levyen uyo dem anajua kila kitu mrudishe akue vile alikua kama samaki akuna kumhurumia sasa kama asemi kila kitu
😢😢😢❤
❤❤😢
I think ilikuwa njama aggry aende akatolewe kafara bt mungu nae ni nani wakamugeuka wakachukua mtoi
❤❤
Mitchel Is behind everything
❤❤
Mnanichelewesha kupikia wageni pilau ebu wekeni uyu dem mbuzi na mnipee bei yake ninunue next week niko nawageni jamani
❤❤
Duuh kumbe kenya kuna uchawi ivo
❤❤
Sijui munasumbuka nn Mitchell anajua kila kitu mbona mumutoe Kwa Ile hali
❤😢
Hio ndege n pepo
❤❤
Huyo Mitchell arudi Marmaid anasumbua it's like she has hidden agenda
😢😢😢
Mpeni masai iyo dawa ashike.
❤❤😢
Urudisheni Mitchell ata akue ng'ombe ju yy anajua chenye anafanya
❤❤
Aggrey be very keen na huyo dem,rem rsto ya Samson ed Delilah,wachana hta na hio D.N.A mebi huyo mtoto c wako
😢😢
Mungu hanachua tu❤❤❤🎉
Michel gem ulianza mwennyewe
❤❤
Huyu dem na dan watawamaliza musipo chunga
❤❤
My brother wacha kupea uyu msichana time fanya ile kitu tena
❤❤😢
Na aggrey akue makini na uyo dem kabisa
😢😢
Acha tu uyu dem arudi vile alikuwa all else you will waste time doing nothing
❤❤
Venye huyu dem alitaka one week alikua na sababu zake
❤❤
Levyne shida yenyu amsikiangi
❤❤
Vile tu niliona hao watu wamejifunga na kitambaa ya red" I knew they are devil worshippers
Levyne naomba utengeneze iyo mtu iwe mbuzi mbili sasa wana wachezeaje akili gai 😅😅kisha mniuzie izo mbuzi Niko na shere uku 😢😢😢😢😢 mishenzi
😂😂😂😂😂𝗮𝘁𝗮 𝗮𝗸𝗼 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗳𝘂𝘁𝗮
😢😢😢
Accept that girl, and the most important thing, know God, the creator of heaven and earth
Aka kamàthe kanajua kila kitu
Hawo alitumwa ba ndugu yake dan
❤❤
Levyn placa kma hyo mnastahili maombi hta kma uko na dakitali
❤❤
Mitchell arudi vile alikua please please levyne
😢😢😢❤
Mpango yote Mitchell anajua sasa plan yake yote ni kumaliza huyu aggrey ndivyo wawache na hii story be careful aki ama huyu Mitchell ameee miguu ya ngamia sasa
😢😢😢
😂😂😂 mguu ya ngamia
Mungu ako na nyinyi
❤❤
Mmeacha Aggrey wapi🙆 na huo msitu mmesema sio mzuri
Yule angry msichukuweni kule kwenye hule msitu 😢😢😢😢
❤❤
Xijaelewa ximitchell amekufa ai
Mitchell anajuwa kila kitu yeye ndio amepanga
❤❤😢
Mbona alitibiwa yawa
Huyu sasa akuwe mbuzi bt kichwa ikuwe tu yake kabisaa juu ametesa huyu kijana sana
❤❤😢
Huyu Mitchell mpeeni miguu ya ng'ombe akona ukora sana hakuna kitu hajui yeye tuh do akona hizo plans zote ,,hakuna mwigine coz dan ni mbuzi hakuna kitu anajua hapo
😢😢😢
Sasa aka kasichana nini kanajifanya kma hajui chochote
❤❤😢😢
Huyu sasa akuwe mbuzi bt kichwa ikuwe tu yake kabisaa
❤❤❤😢
Tulisema tu ilikua set-up
❤😢
Huyu Michel na Dan wote ni kitu kimoja ona Sasa anashindwa kuomba Msamahaa inabindi arundishwe nayeye ale Nyasi
❤❤
Kufikia saa hii Dan Amekua Mbuzi, Atakua vipi kitu kimoja na Mitchell?
Levyne mbona hamkujukuwa iyo sim ya uyo mwanamke surely ndio mjue kama ni yeye ako na iyo deal
😢😢❤
Huyu Mitchell ni nyoka
Mwanamke anawacheza
❤😢😢
Bro you are going to loose totally
❤❤
Daktari nenda uongeze nguvu zako nyingi ndio wasikushinde
😢😢😢
Mitchell awekwe mighu ya ngombe
Hyo awekwe mbuzi kma Dan
😢😢
Nothing will happen to you team levyne ,, you're protected by the blood of Jesus,but toeni Mitchell apo ndie ako na hio deal coz anajua mtoto n wa aggrey
❤❤
Mnaingia ndani ya msitu bila silaha na ndio ilifanya mnyanganywe mtoi
😢😢
@@levynetv.Wee jamaa fans tunakupea mawazo lkn uwajibu kwa emoji tu na Hakuna unayozingatia haya ngoja muendelele kuumia
Huyu Michael ni mchawi
😢😢😢
Mitchell in her mission
Wah 🙏🙏🙏n maombi tu aky
❤
Hii movie haiishi,
Na bado mtakufa nyote bkoz hamtaki kusikia funs nyinyi mnaenda kuponya mtu na hamjui malengo yake
😢😢
Yani Michel ndiye chazo ya kila kitu hapo Angeli Mpatiya Agry kila kitu chake huko kote hamgelifika huko kwenye Mapori yan8 Mpeni huyu Michel hazabu ya Matiti makubwa na kutoka Damu sehemu zake za siri pia awe chizi wakula kuongota barbarani
❤❤😢
Uyu Mitchell anajua kilakitu anajifanya tu anafanya uchawi yy na mamake alafu akija apo karibu yenu anajifanya hajui anataka usaidizi
😢😢😢
❤mwanamke anawacheza
😢😢😢
Kama hlijakupata usiongee vibaya siku ukiptikana htaita daktari mchawi
😢😢
Mitchell anadai kuuwa daktari ndio auwe agrey 😢😢😢😢
Masai hiyo Chuka yako 😂
❤❤
Daktari adhibu Mitchell tena
😢😢❤
Mimi niliwambia kwa Mungu hakuna lisilo wezekana, ni Daktari mgani Huyu mwenye anageuza wengine kua Mbuzi kama sio Mchawi? Hata huyo Dan Ningekua hapo Angerudi Sawa Kwa Jina la Yesu 🙏
Iyo dani unamuteteya hujuwi alivyo fanyiya mwenziye haki yani wewe unateteya magayidi
Wauwaji
Wamekula mali y'a aggry nakutaka kumuuwa live wewe ni mcawi kama wawo
Hujui ulisemalo, jasho la mtu surely 😢na mbona wasirudishe pia wao wanatumia majini
Mimi sio Mchawi na ninalitangaza Jina la Yesu, Ivo Tu na sio Eti niko Side Ya Dan, na niliuliza swali Ni Daktari Mgani ambaye anageuza wengina Kua Mbuzi ama kukula manyasi kama sio Uchawi?
me I told you guys that Micheal knew all those a snake is a snake guys never trust that woman at all
❤❤
Mitchell tulia hiyo c kazi rahisi usimulize daktari maswali Wacha daktari afanye kazi yake
❤❤😢
This is so serious
😢😢
Ghai hizi ni gani tena
😢😢
Mtu mgeni akiona uyu Michelle atadhani ni Mary Maria mother of jesus
😂😂😂😂
Yani mama mtoto Ina Manisha ana jua Kila kitu
😢😢
LEVYNE ,,,,my brother imagine mm nliwambia this girl Michelle ni shetani👹kapisha kinajua story ten kinajifanya mwanamuke umbwaaaaa wewe,,
😢😢😢❤
Ungesanitise huyu dem she might be fooling you guys
😢😢
Sijaona hiyo video ya kidnapped but what i know is that vile mlitengeneza uyo mitchel anataka kuwamaliza take care all please
Waah
😢😢
Michelle amee miguu za ngombe tu
❤❤😢
Hii ni msitu gani
God first
Michelle akii ni shetanii
😭😭
@@levynetv. Levyne hope umefikisha ujumbe kwa agry🤣🤣
Vitu zako lazima utapata,ka Sylvia alipata zake iyo nina wakika utapata,, trust me,,,but kuna kibarua kigumu sana
mganga anaitwa Dakari😂😂😂😂
You guys you talk much wth less information
𝐵𝑟𝑜𝑡ℎ𝑒𝑟 𝑎𝑔𝑔𝑟𝑒𝑦 𝑎𝑐ℎ𝑎𝑛𝑎 𝑛𝑎 ℎ𝑢𝑦𝑢 𝑚𝑡𝑜𝑖 𝑝𝑙𝑧 , 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑢𝑚𝑒 𝑢𝑤𝑎ℎ 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑧𝑎𝑎 𝑖𝑛𝑗𝑒 𝑛𝑎 𝑚𝑡𝑢 𝑎𝑛𝑎𝑎𝑐ℎ𝑖𝑎 𝑚𝑡𝑢 𝑤𝑎𝑡𝑜𝑖 , 𝑚𝑘𝑖𝑒𝑛𝑑𝑎 𝑑𝑛𝑎 𝑛𝑎 𝑢𝑔𝑒𝑡 𝑚𝑡𝑜𝑖 𝑠𝑖𝑜 𝑤𝑎𝑘𝑜 , 𝑢𝑡𝑎𝑝𝑎𝑡𝑤𝑎 𝑡𝑒𝑤 𝑛𝑎 𝑠𝑡𝑟𝑒𝑠𝑠 𝑧𝑎 𝑏𝑢𝑟𝑒
Rundishen mitchell akuwe mbuzi n yy ndo chanzo cha kila kitu
Chunguzeni simu ya mitchell tafadhali yeye ndo ako na plan
Mitchell anachua kila kitu awache kuwabeba maufala,anawabima bangi.