DUBE ALIVYOONGOZA WACHEZAJI BAADA YA KUTUA DODOMA SALAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 59

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 18 днів тому +3

    Yanga yetu raha sana furaha mungu ibariki yanga 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @aminahussein4866
    @aminahussein4866 18 днів тому +5

    Yanii hii timu naipendaaaaa kuliko chochote haki ya mung nawapendaa SANAA HILI JESHI❤❤❤❤❤❤

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 18 днів тому +3

    Yanga naipenda sana hata mimi sijui anitongoze mwanaume wa makolo atapokea matusi hadi ya wazaziwake simba adui yangu sana mimi hakuna watu nisio wapenda kama simba wallahi mungu nijarie nipate mme mwema wa kufanana na wana nchi wapore hawana vurungu wasitarabu yanga mhhh🎉🎉🎉🎉

  • @radisokida894
    @radisokida894 18 днів тому +17

    Mungu ibariki timu yetu timu ya wananchi tupate ushindi wa goli 7 kwa 0 dube 3 azizi ki 2 pacome1 duke abuya 1

  • @selemaniselemani3398
    @selemaniselemani3398 18 днів тому +8

    Ongera kwa kufika salama dodoma na inshallah mungu hatujalie tuweze kuibuka na hushindi iyo siku ya j 5 yanga 3 dodoma 1

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 18 днів тому

      Tunataka magoli mengi kaka ili twende sawa na madunduka clean shit muhimu

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 18 днів тому +6

    Mungu Epusha Asadi Kwa Wachezaji Wa Yanga Na Uwatie Nguvu Uwape Ushindi Warudi Na Furaa Na C Uzuri. insha Allah

  • @HamisiRamadhani-l5c
    @HamisiRamadhani-l5c 18 днів тому +2

    Mungu mwema alama tatu nyengine muhimu ndani ya dodoma inshaallah

  • @KisaveliKatwez-p1q
    @KisaveliKatwez-p1q 18 днів тому +1

    Mungu wape nguvu vijana wako tuweze kupata alama 3 muhim kwako amn kinachoshindikn tunaomba mungu 💛💚💚💛💚💛💛

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 18 днів тому +2

    Watu kira kukicha wanatuombea mabayatuu wanini sasa sisi kira mtu apambane kivyao yanga yanguuuuuu naipenda sana

  • @BoniphaceWambura-j3t
    @BoniphaceWambura-j3t 18 днів тому +2

    Mungu isedie timunyetu ipate ushindi

  • @KapeLoBoY
    @KapeLoBoY 18 днів тому +2

    all the best my team

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 18 днів тому +5

    Kila la kheri inshaallah Allah awafanyie wepesi katika kazi zenu daima mbele nyuma mwiko kazi iyendelee

  • @SalumMusa-f5l
    @SalumMusa-f5l 18 днів тому +2

    Ihi ndomaana alisi ya wananchi mlipo tupo all the best my team🎉🎉🎉💛💛💛💚💚💚💚🖖

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 18 днів тому +3

    Mwenyez mungu azid kuwapa nguvu ishallaaah tutashinda tena

  • @nynyarugusumatukio255
    @nynyarugusumatukio255 18 днів тому +5

    Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe, mche BWANA ukajiepushe na uovu

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 18 днів тому +3

    Allahamdulillah mmefika salama.Mwenyezimungu axidi kuwalinda...pia nawaomba vijana msiwe mnakubali kushikwa2 kizembe mikono na kuombwa jezi hata picha kupiga hovyo2 pia muwe makini dunia hii ngumu sana naimani mtazingatia 🎉🎉🎉💛🙏

  • @chrissantkaunda9958
    @chrissantkaunda9958 18 днів тому +5

    Jeshi la kijani na njano 🔰🔰

  • @ShabaniDagila-d3r
    @ShabaniDagila-d3r 18 днів тому +1

    Mungu ibariki yanga

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 18 днів тому +1

    Naona mlipanda mchongoko safi

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 18 днів тому +1

    Mwenyezimungu atawalinda kila mwenyeubaya nanyie atafedheheka dua kwenu hatuachi kuwaombea msipate majeraha Amiin

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 18 днів тому +4

    Safi sana wachezaji wapo serious na wanautaka mchezo

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 18 днів тому +6

    Kila la kheri point 3 muhimu msimdharau mpinzani wenu pia wananchi wote mjitahidi kusoma Dua kwa wingi Kila mmoja naimani yake Kila mechi zetu kwani wenye fitina ni wengi msikibali kurudia Tena makosa

  • @AishajumaMuhamed-g4r
    @AishajumaMuhamed-g4r 18 днів тому +1

    Tunashukuru mungu kwa kuwafikisha salama

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 18 днів тому +1

    Yanga oyeeeeeeee dua tu kila hatua 💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @SuzanFelix-mo8fq
    @SuzanFelix-mo8fq 18 днів тому +1

    Huyu ki Aziz mbona mizigo mingi utafikilia amehama😂😂

  • @SelemanMagambo
    @SelemanMagambo 18 днів тому +1

    YANGA BINGWA 💚💚💚👈

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema 18 днів тому +1

    Ahsante Mungu, kwakuwafikisha salama.

  • @wazirihemed7340
    @wazirihemed7340 18 днів тому +1

    Mungu awajalie ushindi mnono

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 18 днів тому +2

    Ma bingwa❤🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤

  • @SuzanFelix-mo8fq
    @SuzanFelix-mo8fq 18 днів тому +1

    Jamani nimejitaidi kuangalia San mbona gorii kipa sijamuona 😮yule mdaka magorii

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 18 днів тому +2

    🎉🎉🎉viva yanga

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 днів тому +1

    Uyu mama wa pink kichwan anamtafta nan😂😂

  • @bahatimkemi4309
    @bahatimkemi4309 18 днів тому

    Mungu wangu awatangulie wapambanaji wetu

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 18 днів тому +1

    Kazi njema jeshi letu

  • @olivermwakyonya5683
    @olivermwakyonya5683 18 днів тому +1

    Tafuta Mungu kwanza mengine ni ziada

  • @JaphetMasalu-n9d
    @JaphetMasalu-n9d 18 днів тому +2

    Oyooo domus domus ndio tumefika

  • @MbarakaKomba-k9v
    @MbarakaKomba-k9v 18 днів тому +1

    Ongera kwa kusafiri salama

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 16 днів тому

    Mashabiki wanaipenda sana timu yao, chaajabu wanawaibia wachezaji 😅😅😅

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 17 днів тому

    All the best yanga

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 18 днів тому +2

    Gusa achia twende kileleni

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 18 днів тому +1

    💚💛🔰🔰

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 днів тому +1

    Ivi mmetumia masaa ma3 kama ss tunaokaaga ECONOMY

  • @EvaNdayishimiye-n5o
    @EvaNdayishimiye-n5o 18 днів тому +1

    Huyo mama anafurahi hadi raha jamani

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 18 днів тому +1

    Kila la kheri uko

  • @Allyhadiya
    @Allyhadiya 17 днів тому

    Inshaallah kesho

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 днів тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @BeatriceMsonge-jv1mz
    @BeatriceMsonge-jv1mz 18 днів тому +1

    💚💛☄️🔥

  • @obedi84
    @obedi84 18 днів тому

    Mkawape moto