Shukran sheghe posti yako ni ya miaka mingi lkn inaendelea kutufundisha alhamdulilah nakwenda ktk ibada hii Allha akulipe kheri na akuzidishie wingi elimu ishalla
Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu sheikh wetu Allahumma salii wa saliim Ala sayyidina Muhammad wala Alihi wa Ass habihi wa jimain ♥️♥️♥️ Jazak Allahu kheri yaa sheikh Allah akulipe kwa Nia yako yarabby
Jee ktk twawaf ya mzunguko wa kwanza ukimaliza kusema lailahaillah wahdahu la sharika lahu jee naweza kuomba dua baadae nikaendelea na adhkar yangu au hio dua niombe ndani ya mzunguko wa 7?
Shukran sheghe posti yako ni ya miaka mingi lkn inaendelea kutufundisha alhamdulilah nakwenda ktk ibada hii Allha akulipe kheri na akuzidishie wingi elimu ishalla
Mashaalah shukran kutufundisha
Masha allah kwa darsa zuri sheikh,Allah akulipe kila lenye kher
Mashaallah shukurani sheikh
Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu sheikh wetu
Allahumma salii wa saliim Ala sayyidina Muhammad wala Alihi wa Ass habihi wa jimain ♥️♥️♥️
Jazak Allahu kheri yaa sheikh Allah akulipe kwa Nia yako yarabby
MashaAllah tabaraka Allah
ma sha Allah
Jazaka allaj khair
Shukran kwaelim hii shekhe
Jazakallah kheir shekh wetu
Mashallah
Shukran jazakallah kheir sheikh
Shukurani❤❤❤
Je Umrah ni siku ngapi!
Jee ktk twawaf ya mzunguko wa kwanza ukimaliza kusema lailahaillah wahdahu la sharika lahu jee naweza kuomba dua baadae nikaendelea na adhkar yangu au hio dua niombe ndani ya mzunguko wa 7?
Asalaam Aleykum
M
Sasa ukiwa na hedhi utafanyanini?
Hadi umalize hedhi yako ndyo ufnye umra ,hii n ibada Kam ya swala