MKOBA WA MAMA Episode [ 24 ] {S2 } Tradition & Love story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 294

  • @AllyAbedi-c6j
    @AllyAbedi-c6j 19 днів тому +86

    Tulio kuwepo tangu season 1 tujuane ❤❤❤

  • @OfficialAggy-p1k
    @OfficialAggy-p1k 19 днів тому +52

    Jaman tujuane tuliosahau kuwa butua alikuwa chiz😂😂

    • @AmiriKiondo-zk1xy
      @AmiriKiondo-zk1xy 19 днів тому +1

      Tupo wote daaa ishakua kitambo🤣🤣fb unatumia jina gn

    • @SiajabuAbdalla
      @SiajabuAbdalla 19 днів тому +1

      Nimemsahau yey na kaka ake ilikua 😅

    • @mwanabibikangu4791
      @mwanabibikangu4791 18 днів тому +1

      Ntka tule mkewe waloachn

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 18 днів тому +1

      Ni kitambo, na mkewe matilda alafu kakake mwanji na mkewe mwasi alomtoeoka

    • @QUEENSUU-e7r
      @QUEENSUU-e7r 18 днів тому +2

      Tujuane wale walkuwa wamesahau kama mwaji alkuwa ndani 😂😂😂😂

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 18 днів тому +4

    Funga funga tuondoke..... Naomba ukapost haka kanyimbo nmekipenda sana... ❤

  • @luckylucky7153
    @luckylucky7153 19 днів тому +14

    Mungu atubariki tuone mwaka tukiwa wazima team mkomba wa mama

    • @ZuenaChabani
      @ZuenaChabani 19 днів тому

      Ningependa tuwe marafiki

    • @MesalimuSwaleh
      @MesalimuSwaleh 19 днів тому

      ​@@ZuenaChabani😂😂😂by fire by force

  • @EgyptWaqt
    @EgyptWaqt 19 днів тому +7

    Muhina ukatili na kufa unaogopaa mmh haya wa mwisho nishafika like jaman

  • @JamailAmour
    @JamailAmour 18 днів тому +33

    team vaito tujuane kwa like

  • @VasilinOmar-td7eg
    @VasilinOmar-td7eg 18 днів тому +3

    Team mkoba wa mama nawatakia mwaka mpya wènye mafanikio

  • @khadijaali4989
    @khadijaali4989 18 днів тому +3

    Vaitoo ni mfano wa kuigwa hongera sana 🎉🎉🎉

  • @SalomeMaswanyia
    @SalomeMaswanyia 18 днів тому +2

    😱hiv kwel tulikuwa na butua😂😂😂😂🙌sas mwanj yuko wap

  • @ZuwenaGérardTambweGérard-g7n
    @ZuwenaGérardTambweGérard-g7n 17 днів тому +1

    Asante sana mganga vaito vzr sanaa ❤

  • @CândidoDeJudith-j8i
    @CândidoDeJudith-j8i 18 днів тому +2

    Siamini jamani kama ni Butua huyu, bado wengine jamani kama mbwela, mwanji, chili, mwasi, etc. Happy new year.🍻🍺🍷

  • @magariabdallah8066
    @magariabdallah8066 18 днів тому +3

    Hiiii VAITO mbona kama mafuta ya kwa mwamposa ayooo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SalmaMakilika
    @SalmaMakilika 19 днів тому +16

    VAITOO WARAMBEE WOOTEE WENYE ROHOO CHAFU

  • @ZawadiUshindiasaf
    @ZawadiUshindiasaf 18 днів тому +6

    Walio hapa na kwa dunia tu like

  • @TheophileNiyonkuru-g1s
    @TheophileNiyonkuru-g1s 18 днів тому +2

    Kwa sasa nakubali usiwamini Mtu n'a mgaga katusaliti

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 18 днів тому +4

    Muhina ww wakubadilika kweli au n hayo machozi yako ya unafiki tu ety unaogopa kufa vile uliua watu wengi mpaka wenye hawana atia😢😢 maskini hawa tofa amekuponza ona sasa unavyoenda kutarilika 😢😢

  • @James-u8n6r
    @James-u8n6r 18 днів тому +2

    😂😂😂vaito anataka kumlamba hadi Mwalimu wake😂😂😂😂 hatali sana 🎉

  • @maryammakata7849
    @maryammakata7849 19 днів тому +4

    Haina haja.ya kulia tofa alikua anakutuma ❤

  • @jacklinevictor2401
    @jacklinevictor2401 8 днів тому +1

    ❤ halima hongera kwa moyo wako

  • @CléverOkundji-m1s
    @CléverOkundji-m1s 18 днів тому +3

    kaka TANU na kukubali saana juu haucheleweshe movie 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @SalmaMakilika
    @SalmaMakilika 19 днів тому +7

    Muhina alinitoa ktk pozi lakuangalia hii movie,alizidi kwakweli tabia mbaya

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 19 днів тому +9

    wakwanza leo shemeji tanu asanteeeee mrs vaito hapa😂😂😂😂😂 0:28

  • @J74251
    @J74251 19 днів тому +3

    Tanu i salute you bro kwa mwendo kama huu pongezi sana🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 19 днів тому +4

    hyu muuza genge huyiy bora kiparaaa huyu ni mmbea umbea wake wamoto siyo wakujificha fichakm kipara heeeeee hingera muuza genge😂😂😂😂 a unanifurahisha hatareeee

  • @dapheenndege7191
    @dapheenndege7191 18 днів тому +2

    Vaito kanyaga, maliza hadi mwalimu pia😂😂😂😂🎉muhina ameliskia Hilo Jina akaogopa kurudi kijijini

  • @SalmaMakilika
    @SalmaMakilika 19 днів тому +5

    Leo halima nimempenda kawa jasili

  • @UmarSaid-c8k
    @UmarSaid-c8k 19 днів тому +4

    Hawaa much love my dear dadaa kipenzi cha wengi mungu akuweke na akuzidishie ujasiri wa kazi unayo ifanya wwe na team yako yote ,nawatakia mwazo mpya mambo ari mpya ,nawakaribisha nyote siku ya kesho na kuendelea yyote atakaefika mombasa plz naomba tujuane ili mradhi n ndungu kutoka Tanzania...yan TZ kazi tuh na tunasonga mbele ....

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 19 днів тому +6

    Yan muhina anamuona vaito katili akati yy ndo kiboko yao

  • @MwanashaSuleimanTabwara
    @MwanashaSuleimanTabwara 19 днів тому +8

    Nilisema mhina akipona awezi tubia lazima atarudia kule mwanzoni

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 18 днів тому +2

    🤣🤣🤣muhina katiri kumbe naweye unaofu yakufa kwanini unauwa weziho vaito nimamba🎉🎉🎉❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 19 днів тому +4

    Mama Tofa acaroho yakikatili kwanza Tofa sio mwanao wa kumuza wevipi

  • @zuwenakizere4687
    @zuwenakizere4687 19 днів тому +4

    Asant sana dogo anakwenda kwa jina la vaito🎉🎉🎉😅 nakupendaga mkk🎉🎉❤

  • @JescaDenis-d2r
    @JescaDenis-d2r 18 днів тому +2

    Muhina ni mnafki jaman kheeee😂😂😂😂

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 19 днів тому +4

    halima nar kwelii akamuulize mamaake hivi anapewa majibu sahihi kweli kwann usingemchana tyuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 19 днів тому +4

    Mume fanya vizuli sana kwaku poste kwa zalula, nilikua na stress nyingi sana.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🫶🏻

  • @piereenail1051
    @piereenail1051 18 днів тому +3

    Sasa mwanaume unaliajeeee kisa mapenzi

  • @G_M22
    @G_M22 18 днів тому +2

    Kwasasa anaesabsha bando langu nisilifikirie n mtandu, vaito, muhina😂😂

  • @bhponlinetv5000
    @bhponlinetv5000 19 днів тому +5

    Wa kwanza mimi jamani likes nyingi sana kwa Tanu+

  • @rubyrung8808
    @rubyrung8808 19 днів тому +14

    Shedafa umbea karithi kwa kipara maana balaa tupu😂❤❤

  • @AlineIradukunda-bs6mt
    @AlineIradukunda-bs6mt 19 днів тому +3

    ❤❤❤Butuwa kapona 🎉🎉baito

  • @InfoMwamba
    @InfoMwamba 19 днів тому +2

    Mambo makali kwa Tanu
    1. Unapanga vizuri
    2. Unatowa kwa wakati
    3. Unatupa dakika za kueneya big 🆙 kaka iyo nzuri endelea inaonekana unajuwa kazi kazi kazi

  • @AlhajiJumanne-g5e
    @AlhajiJumanne-g5e 18 днів тому +2

    Vaito asife jamn ameichangamsha hii movie

  • @Katuni862
    @Katuni862 18 днів тому +2

    Butuwa nguv z kiume zipo😅😅nawakubal

  • @marcuzyomar728
    @marcuzyomar728 18 днів тому +1

    😂😂,Muhina bhana,,,eti nikifa watoto wangu watakuaje,,,kwani ulivyo kuepo,unawafanyia kitu gani,!?😅😅,,Wewe kufa bhana ,halima atawaleaaa😅😅

  • @PingaBombwe
    @PingaBombwe 18 днів тому +6

    Naomba duwaa mganga VAITO aende mjini🤤🤤🤤😜

  • @MaombiZihalirwa
    @MaombiZihalirwa 19 днів тому +2

    Alima mungu amuzidishiye uwezo sababu ananifurahisha sana

  • @SimaojorgeManuel
    @SimaojorgeManuel 19 днів тому +2

    nakubar sana hii movie 🇲🇿🇲🇿👍❤

  • @MohdKidabe-e9q
    @MohdKidabe-e9q 18 днів тому +1

    We muhina unavotwambia umebadilik sisi wezio ata hatukuamini ujue😅

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 19 днів тому +8

    asante vaitoooi😂😂😂😂wewe mkomboziiii qa kijiji hongeara sana kipenzi unachana tyyuu ukweli wazi ,,,,,asante sana vaito baby,,,,, ITTO BABY ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😂😂unjuwa bwana hongera zako

  • @Norah-dee
    @Norah-dee 19 днів тому +10

    Muhina ukatili wote kumbe anaogopa kufa atafanywa shwaaaa 😂😂😂

  • @bakarimtaita244
    @bakarimtaita244 18 днів тому +2

    Mhina kwisha jeuri yko,mpk kutikisa mdomo umesahau sikuhizi

  • @Garmahtv
    @Garmahtv 19 днів тому +3

    Mwalimu nae auaeweeeee😅😅😅😅😅vaitoooooooo

  • @zipporahzilpahmungohe9763
    @zipporahzilpahmungohe9763 18 днів тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂Vaito safisha kijiji 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @LeopoldBigirimana-f4g
    @LeopoldBigirimana-f4g 18 днів тому +2

    Vaito anataka amufyeke na mwarimu wake

  • @EjideSilas
    @EjideSilas 18 днів тому +1

    Aaah bn kuwa jangiri buana hamna movie tamu bila yakua na jambazi

  • @RukiyaAbdillahi
    @RukiyaAbdillahi 18 днів тому +1

    Mwalimu anachooo

  • @AnesiaElias
    @AnesiaElias 18 днів тому +1

    Mambo ndo haya sasa asante kaka tanu

  • @anifamickidard4555
    @anifamickidard4555 19 днів тому +2

    Asante Sana Kwa muendelezo ❤❤

  • @BulongoKambale-ym7by
    @BulongoKambale-ym7by 19 днів тому +4

    Mimi wa kwanza toka Congo Goma

  • @BeatusMbilinyi
    @BeatusMbilinyi 19 днів тому +3

    Vaitooo anataka kuua mwalimu moto umewaka😅

  • @جونفيرالبروندي
    @جونفيرالبروندي 18 днів тому +1

    Uyujama kwa umbea kama juma lokole😂😊

  • @Dodridge5
    @Dodridge5 18 днів тому +1

    Mhina unapenda kulia sana😂😂😂

  • @EdwardMolell
    @EdwardMolell 19 днів тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mauwa Kwa halima

  • @AzariaShija
    @AzariaShija 18 днів тому +1

    Dahh mwina anajua kuigiza kinoma yan😂😂😂😂

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 18 днів тому +1

    Ila shedafa 😂😂 kaanza na umbea kamalizia na salamu😊

  • @LeopoldBigirimana-f4g
    @LeopoldBigirimana-f4g 18 днів тому +1

    Happy new to everyone,nadhani Mhina amebadirika vya ukweli kwa sasa

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 19 днів тому +2

    hivi ni kweli nimewahi🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Joseph-u4g5z
    @Joseph-u4g5z 18 днів тому +1

    Hila muhina kwakujitetea naba moja

  • @SamirThabit-pt5mx
    @SamirThabit-pt5mx 19 днів тому +2

    Good job

  • @EshaomarmfaumeMfaume
    @EshaomarmfaumeMfaume 18 днів тому +1

    Mhina anaogopa kufa kuuwa wenzake aaah 😅😅

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 18 днів тому +2

    Vaito ni kiboko yao 😅

  • @swabramulanga2851
    @swabramulanga2851 19 днів тому +2

    Halima anakitafuta nn kwa tofa 😂😂😂❤

  • @SaymonLKashindyeKashindye
    @SaymonLKashindyeKashindye 18 днів тому +2

    🎉🎉🎉🎉

  • @AmanaK-u7z
    @AmanaK-u7z 18 днів тому +1

    This is two much tanu yaani bado wamtongoza mtoto wa watu, amkweli waume hawaishiwi na maneno😂😂

    • @AmanaK-u7z
      @AmanaK-u7z 17 днів тому

      Aki mniwie radhi I mean mwina not tanu am sorry

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 19 днів тому +2

    😂😂😂.uhina hatukuamini tena hubadiliki😂

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 18 днів тому +1

    Tuone mwali mu na mwanafuzi❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @AlmasHussein-d8m
    @AlmasHussein-d8m 19 днів тому +3

    🎉🎉🎉 afadhli umaliz kabla ya mwaka kaka

  • @MpokoAmiri
    @MpokoAmiri 19 днів тому +3

    Dada halima naye mpka kieleweke

  • @AmiriKiondo-zk1xy
    @AmiriKiondo-zk1xy 19 днів тому +2

    Hamna kadem kenye roho nzuri humu nikaoe...kama yupo aniambie fb anatumia jina gani nimfate..😜

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 18 днів тому +2

    😁😁😁🤣vaito nikiboko

  • @mussamohd4414
    @mussamohd4414 18 днів тому +1

    Tena kweli mm nilikuw nimesahau kama butua katiwa uchiz na muhina

  • @SaudaMbuya
    @SaudaMbuya 18 днів тому +1

    Oyaaaa bonge la kazi hii imeenda

  • @JohnChibanhila-ld6vv
    @JohnChibanhila-ld6vv 19 днів тому +3

    Tanu ww kiboko,mashabiki ndo tunataka mwendo huu wa kuleta kazi bila kuchelewa🔥🔥,kama Bando tunalo leta kazi kiongozi🔥

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 19 днів тому

      Tena siyo kiboko tu ni hatari sasa mwambie anitumie namba nimpe hongera ya kumaliza mwaka na mkoba

    • @benjaminsospeter3524
      @benjaminsospeter3524 19 днів тому

      Na kama yeye hana bundle tumpe sis😅

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 19 днів тому

      @@benjaminsospeter3524 alafu acha zalau mtu mzito kama hyu wa bando ni wi,Fi mlipie Kwa mwezi

    • @JohnChibanhila-ld6vv
      @JohnChibanhila-ld6vv 18 днів тому

      @benjaminsospeter3524 kazi kazi alete kazi tu 🔥

    • @JohnChibanhila-ld6vv
      @JohnChibanhila-ld6vv 18 днів тому

      @@MonicaMkombwe kaz kaz haina kusubili

  • @PacifiqueLeontina
    @PacifiqueLeontina 18 днів тому +1

    Niatari sn vita ingaliki eko sn😢😢😢😢😢

  • @GasperMwaisa-rb1lf
    @GasperMwaisa-rb1lf 19 днів тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂vahto🎉🎉🎉🎉wanyoshe ao

  • @OmarAbubakar-wd7rr
    @OmarAbubakar-wd7rr 19 днів тому +3

    🎉🎉🎉🎉Salute

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 18 днів тому +1

    Hahahaaa vaito anataka kusafisha kijiji kila muovu aage duniya.

  • @BabuAli-w8p
    @BabuAli-w8p 19 днів тому +2

    Vaito eeeeee 🎉🎉🎉

  • @greydonalds4286
    @greydonalds4286 18 днів тому +2

    Oya Tanu eeh, hivi Mbwela toka ameaga kijijini kwamba anaenda mjini kuonana na mganga (Tofa) aliyemponya mwanaye bado tu hajafikaga mjini? Au alipotea?😂😂

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 19 днів тому +2

    😂😂😂😂😂Ila vaito anaongea kama mtoto 😂😂😂😂😂mie ananichekesha 😂

  • @AllyJackson-sd6kg
    @AllyJackson-sd6kg 19 днів тому +2

    Asiwe ana chelewesha

  • @salmasalum9946
    @salmasalum9946 18 днів тому +1

    Muhina kashamuweza mwenzie

  • @pascalhaule7457
    @pascalhaule7457 18 днів тому +1

    Vaito aangalii nyani usoni anapeleka moto tu

  • @Awoshy
    @Awoshy 18 днів тому +1

    Shedafa mbona unajiendeke na umbea lakini 😂😂😂🎉🎉

  • @TinaShimita
    @TinaShimita 19 днів тому +4

    Vaito ww kibongo😂😂

  • @roksales5553
    @roksales5553 19 днів тому +4

    Wapi likes zangu

  • @mohamedpesambili9460
    @mohamedpesambili9460 18 днів тому +2

    Vaitooo😂😂😂😂😂

  • @salmasalum9946
    @salmasalum9946 18 днів тому +1

    Muhina kwa machozi ya kinafki yuko vizur

  • @endasakdaycare
    @endasakdaycare 18 днів тому +1

    Walimu kazi anayo ametoa mi macho😅😅😅😅😅😅

  • @mwajumaseifu216
    @mwajumaseifu216 19 днів тому +2

    Leo sijachelewa sana 😂😂