Aliacha Enzi _ Jangwani Harmony Voice, Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Wimbo huu ni tafakari ya upendo wa kina na dhabihu ya Yesu Kristo, kulingana na Isaya 53:5,6 na Yohana 3:16, Unasisitiza jinsi Yesu alivyokuwa tayari kuacha enzi yake mbinguni na kuja duniani, akiwa na upendo usio na kifani kwa wanadamu ili kutuokoa kutokana na dhambi na kutupa uzima wa milele.
    -----------------------------------------------------
    Team ya Utayarishaji.
    Kwaya: Jangwani Harmony Voice: Sumbawanga
    Video Production : HD STUDIOS TZ
    Audio Production : HD STUDIOS TZ
    Music Instrumental: Shalom Amani
    Song Composer: Daud Edwin Christopher

КОМЕНТАРІ • 21