LIVE : Mwana FA na Harmonize Walivyokutanishwa na Ommy Dimpoz kwenye

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • The Choir Master ,Mwana FA yupo live muda huu kuweka maneno kuhusu Ngoma yake na Harmonize #CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #XXL

КОМЕНТАРІ • 80

  • @shuaibjuma8464
    @shuaibjuma8464 Рік тому +4

    Mwana fa is kind of a Tate fan💪🏾❤💯

  • @hadidjahadidj1356
    @hadidjahadidj1356 Рік тому +14

    🙌🙌🙌🙌Mmetumaliza Yani Ommy dimp kakushauri vizuri jeshi ndo kiboko yao🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @alibinali_
    @alibinali_ Рік тому +8

    Mwana FA mueshimiwa
    Msani ninae mpenda kutokea nikiwa shule maneno yake yanatia hasira upambane kwenye maisha

  • @AbdulHamid-ol9pq
    @AbdulHamid-ol9pq Рік тому +21

    Ngoma ya kumalizia mwaka ni moto sana

  • @karimhemed9261
    @karimhemed9261 Рік тому +11

    I can't stop watching Fa's interviews.. Ni Darasa Tosha 🙌🏾

  • @evancetarimo1310
    @evancetarimo1310 Рік тому +4

    Ni ngoma ambayo asee fa kaka umefanya vizuri sana big up sana broo

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 Рік тому +12

    Interview yamwaka🔥💪
    Ngoma kama Album
    🎶MWANA FA+KondGang🐘🔥🔥💪🐘🐘🦣🦣🦣🎶🎶🎶🌏🌏🌏🔥💪

    • @hassanedwardchivatsi8970
      @hassanedwardchivatsi8970 Рік тому

      Una akili sasa Kaka hii ni Album sio single 😂😂😂. Wanatakiwa wajifunze kutokea kwa FA na TEMBO

    • @bigdaddy_faustinjumong4427
      @bigdaddy_faustinjumong4427 Рік тому

      @@hassanedwardchivatsi8970 ukweli hii nijiwe lililo hiva, kama mkaa Badoo upo watupe lingine jiwe.

  • @mojo50ful
    @mojo50ful Рік тому +2

    Regardless of your status, bro you're full of wisdom.always wish you the best

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Рік тому +1

    Ngoma yenye akili bro nakuelewa sana mbunge wangu tanga moja muheza district one love najivunia ww bro May Allah blessed you

  • @albertbombo1148
    @albertbombo1148 Рік тому +2

    Kila interviews za F A huwa ni hot 🔥 saaaana,shule kila siku,,,anajua sana huyu jamaa

  • @prosperndelwa4560
    @prosperndelwa4560 Рік тому +4

    Fa the legend kwny game..muziki wake unaishi anayemini hivo agonge like za kutosha..
    ngoma zake ni darasa.

  • @gmasternjau4583
    @gmasternjau4583 Рік тому +3

    Hii ngoma ni hatari 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @saidimakubi4793
    @saidimakubi4793 Рік тому +5

    Ommy dimpoz katoa ushauri mzuri

  • @aliamissengamba3930
    @aliamissengamba3930 Рік тому +1

    Mwana FA kaenda shule Kweli. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Big love.

  • @choloali456
    @choloali456 Рік тому +1

    Toka natoka sijawahi mfano wa nyinyi kukosea, ukibisha unabisha ubishi tu moyoni mwako unajua, roho inakuuma demu wako anavyonishabikia.. fa noma Sana

  • @dannymziwanda6944
    @dannymziwanda6944 Рік тому +4

    Goma la dunia

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 Рік тому +4

    JESHIII 🔥🔥🔥🔥

  • @ramlaamiri5601
    @ramlaamiri5601 Рік тому +1

    Ni kweli ht mm natumia sana mistar ya fa ktk captain zng

  • @mishikitendo4441
    @mishikitendo4441 Рік тому +3

    Kazi nzuri

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Рік тому +2

    Ngoma ya moto kwl kwl🔥🔥💥. Ila chid benz mbna kma kandibua tayari au kesharudia ugali wa escoba!!

  • @batchuda
    @batchuda Рік тому +1

    kweli bhan mpen section XXL

  • @eddierwega2012
    @eddierwega2012 Рік тому +3

    It's a beautiful song, big up to the both of the singers

  • @saidimakubi4793
    @saidimakubi4793 Рік тому +3

    konde ni kiboko yaoo,🔥🔥🔥🔥

  • @nimbonaalexandre1159
    @nimbonaalexandre1159 Рік тому +2

    Bg up sana😍🇧🇮🇧🇮🇧🇮🤔🤔kond jeshi😍😍

  • @paulsamweli2349
    @paulsamweli2349 Рік тому +2

    I got more inspiration from this man he is more than enough hip-hop artists.. Yoooo appreciate @mwanafa. 🙏🙏

  • @mohameddikaluka3162
    @mohameddikaluka3162 Рік тому

    FA. FA.FA..aka mh.Mbunge after.waziri ajae.🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @niyongendakosamuel858
    @niyongendakosamuel858 Рік тому +1

    FA MUNGU AMUWEKE SANA AISE MANA KIPAJI CHAKE KIKUBWA SANAAAA HALFU NGOMA ZAKE NI ELIM TOSHA

  • @alodiarutta3309
    @alodiarutta3309 Рік тому +2

    unajua sana Man

  • @muddysharo7699
    @muddysharo7699 Рік тому +1

    ngoma kali san

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 Рік тому

    Kazi Kaz baba mwana F A konde boy jeshi big up sana

  • @jafariabdallah7669
    @jafariabdallah7669 Рік тому +2

    Ngoma kali

  • @nelsonms5108
    @nelsonms5108 Рік тому +3

    Mimi mcongo, uyu jamaa nimemkubali sana tangu enzi ziiiile, jama ana akili sana.
    #Tunawapenda ndugu zetu wa Tanzania 🇹🇿.

  • @ibrahimmakaveli7350
    @ibrahimmakaveli7350 Рік тому

    Big up san mmetisha san hapo mjengoni ila hii #sio kwa ubaya

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 Рік тому

    Huyu F A uwaga anikwaza sana kutokutoa Ngoma kila mda maana ninavyopenda ngoma zake nibalaa

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 Рік тому +1

    Ngoma kali saaana hiii

  • @AbdulHamid-ol9pq
    @AbdulHamid-ol9pq Рік тому +1

    Mwana f.a Baba

  • @angejeanboscohakizimana2402

    Napenda MWANA FA

  • @ashatanzanian7559
    @ashatanzanian7559 Рік тому

    Kaka zangu niwambie mm ni shabiki wa FA nampenda sana naomba mfikishieni ujumbe mwambie apunguwe ule uwembamba wako mm ndo napenda kuliko unene asinenepe adi kitambi apendezi😁

  • @SamirBSam
    @SamirBSam Рік тому +1

    KAMANDA MWANA F.A

  • @zawadikininga5706
    @zawadikininga5706 Рік тому

    Nice

  • @yaterbm6850
    @yaterbm6850 Рік тому

    Kiukweli Mwana FA kwenye HipHop ya bongo Mimi Nampa namba Moja, sababu mistari yake inaeleweka na inamaana zaidi moja katika uhalisia wa MAISHA, tofauti na Wengne wanaimba ngumu hadi MTU utafute kamusi...!! Hongera Muheshimiwa kiongozi

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 Рік тому

    Ngoma kali sana

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Рік тому

    Kweli

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Рік тому

    Unasauti zuri bro

  • @lucasmsogoti3435
    @lucasmsogoti3435 Рік тому

    Mwana fa ni balaa lingine

  • @kiomyyahya6516
    @kiomyyahya6516 Рік тому

    Jamaa nimtu mbaya sana

  • @zumomubarak5407
    @zumomubarak5407 Рік тому

    Ikiwa umekaa na hauingizi chochote 'hiyo ndo inaitwa kupoteza muda 'lakini ikiwa unaingiza hata miamoja au zaidi ya iyo 'hapo ndo inaitwa uvumilivu kwamba ipo day utaiingiza elfukumi .

  • @mrishojumaamrisho3212
    @mrishojumaamrisho3212 Рік тому

    FA akili mingi kaka be blessed

  • @richyke4447
    @richyke4447 Рік тому +1

    Uyu msanii ana uwezo mkubwa sana

  • @chidydullah1714
    @chidydullah1714 Рік тому +1

    Kuna wakati uvumilivu unaonekana km ni kupoteza muda

  • @ahmedyusuph4503
    @ahmedyusuph4503 Рік тому +1

    Ujawai kosea kaka

  • @shabanibakari9576
    @shabanibakari9576 Рік тому

    I'm

  • @octave8873
    @octave8873 Рік тому

    That is why i call him KAKA Sababu ana ni inspire sanaaaaaaaa

  • @sengeremaxleo9295
    @sengeremaxleo9295 Рік тому

    😁😁😁 sema huyuuu turupaturupaaaaa hatareeee sanaaaaa

  • @shedrackdaudi3403
    @shedrackdaudi3403 Рік тому

    Jamaa akil ming san

  • @lungusii
    @lungusii Рік тому

    AKISHAA KUWA WAZIRI KURUDI KWENYE UBUNGE ITAKUWA MBALI SANA!!

  • @masizitony9800
    @masizitony9800 Рік тому +1

    🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣♥️♥️♥️♥️

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 Рік тому

    Mwana FA... wewe ni akili kubwa Mungu akuzidishie kheri

  • @evancetarimo1310
    @evancetarimo1310 Рік тому

    Umechanichambulia vizuri mpaka nikafurahi kaka😂😂😂

  • @amosiemanueli5904
    @amosiemanueli5904 Рік тому

    Nakukubal sana toka ingekuwa vip nilipe buku kila pmzi

  • @sayeedfellah4706
    @sayeedfellah4706 Рік тому +1

    Chidibenz kama kasharusha vitu zake

  • @silaayo7153
    @silaayo7153 Рік тому

    jamani da chid adi zambi yan Maisha yana badirika

  • @aloycesimon4143
    @aloycesimon4143 Рік тому

    Falsafa Akili Mingi Sana Mwamba

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 Рік тому +1

    Chid ana akili Sana huyu

  • @stanleystephan8316
    @stanleystephan8316 Рік тому

    F a na kindergarten wameuwa

  • @guerschometungano7120
    @guerschometungano7120 Рік тому

    Wanatangulia kunga ila sipotezi mapambano 🥱💪🔥 Falsafa Baba👊🤣🙌

  • @ashurahatibu5069
    @ashurahatibu5069 Рік тому

    Tanga hakutoki mafalaaaa

  • @Manswabu
    @Manswabu Рік тому

    Hhhhhhh

  • @sultanfarouq3378
    @sultanfarouq3378 Рік тому +1

    Mwana falsafa hekima nyingi busara kibao

  • @omardaud9109
    @omardaud9109 Рік тому

    FA SCOBAR.AK.A JAMES 0007 MWENYE A.K.A ZA KUTOSHA