UHARIBIFU BAADA YA VURUGU ZA EBITOKE, MENEJA KASEMA WALIPE ZAIDI YA MILIONI 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лис 2019

КОМЕНТАРІ • 148

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 4 роки тому +14

    Leo nimekupenda sana ebitoke umenikosha balaaaa huo moto sio wa nchi hii 😂😂😂

  • @zaikaisi6280
    @zaikaisi6280 4 роки тому +2

    Ebitoke ana nguvu angekuvimbixha sura wew dada

  • @elizabethndenga3671
    @elizabethndenga3671 4 роки тому +13

    Wawoooooooooooh mlela lako ilo upo nyonyooooo👌👌👌👌👌

  • @hawaathuman3391
    @hawaathuman3391 4 роки тому +14

    Dollar 500 si million huko.... ebooooo hapo si zmetoka nat tu 😂😂😂

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 роки тому +7

    Hilo limlela HalijielewI Kbsa

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 4 роки тому +4

    Mlela utaerewa tuu dunia inavyoenda😁😁

  • @josephinamatunda9345
    @josephinamatunda9345 4 роки тому +1

    Safii akalipe huyo mlela amemtapel sana ebitoke hela zake,akome kuzalilisha wanawake.

  • @sekelajohn1131
    @sekelajohn1131 4 роки тому +1

    Duu huo siyo ustaarabu hata kidogo ungeenda kufanya fujo nyumbani kwake, shule nayo inasaidia jamani.

  • @paymushi3529
    @paymushi3529 4 роки тому +1

    safi sana acha mlela alipe

  • @sylviaqatarqatar8361
    @sylviaqatarqatar8361 4 роки тому +1

    Ebitoke Leo vidio live sio cha uongo hongera.umua swahiba nywele ya mchina

  • @johndaudi4076
    @johndaudi4076 4 роки тому +13

    Alipe mlela uyo si umekula ela za ebi nyingi alipe apo

  • @dainagano3656
    @dainagano3656 4 роки тому +7

    Hemed anavoshangaa😂😂😂😂jmn

  • @epifaniasawaki3315
    @epifaniasawaki3315 4 роки тому +5

    Aya ss dola mia 500 mkanunue meza ya watu ss mastaaa mnamapya kila kukicha 😂😂😂😂😂😂😂

  • @kassimukipingu5343
    @kassimukipingu5343 4 роки тому +1

    Uyo mlela Kajua kwamba ana makosa kasimama wala haamulii chochote.

  • @nurudanford7068
    @nurudanford7068 4 роки тому

    Safii sana akome uyoo mbwaaa naalipe ivo vitu paka uyooo

  • @juliuspryoba1265
    @juliuspryoba1265 4 роки тому +5

    Acha tamaa meza hyo sio milioni miatano!

    • @mwannemkumbo1733
      @mwannemkumbo1733 4 роки тому +2

      Anawazim dola miatano nawakati misumal mia tano fundi Mia tano wamlipa tayar elfu moja dola miatano yann nyau ww mwambie mlela alipe asingekuwa yy ebi angekuja hapo

  • @erickemmanuel1593
    @erickemmanuel1593 4 роки тому +1

    Umalaya kazi

  • @richardcleophace4509
    @richardcleophace4509 4 роки тому +1

    Dem wa mlela anachezea kipigo kutoka ebi mlela kasimama tyu afu hapo uyo dem akitoka hapo mlela akimwambia baby pole nae atajibu asante baby🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mosesnyagala984
    @mosesnyagala984 4 роки тому +2

    yani ebitoke ungeenda na viwembe uanze na Yusuf mlela then demu

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 4 роки тому +2

    Ebutoke alipe hapo alikuwa anatafuta kiki

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 4 роки тому +1

    Sf sn alipe yy uyo mwanaume muharibufu sf sana ebitoke myue hasara kila ck

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 4 роки тому +9

    Mlela alipe yeye ndio alieyataka

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 роки тому

      @@kambishabani3296 sasa wew hujamsikia huy meneja alichosem mlipaji ni mlela si ebitok

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 4 роки тому +2

      @Kambi Shabani apo umenena ukweli mtupu.Kwanza kuzua vurugu na kumgombania mtu aliyekuacha ni kama kujidhalilisha na kujishusha hadhi na mwisho wa cku unaonekana uko desperate kula bata mpk kuku aone wivu

  • @suziejamila775
    @suziejamila775 4 роки тому +8

    hiyo umbwa mlela alipe na hiyo malaya yake ningekuwa ebotoke na muchoma na acid

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 4 роки тому

      @Suzie Jamila ya nn hayo yote MUNGU anamalipo yake.Mi nmejifunza kumuachia MUNGU mambo maana kulipa kisasi ni kama kujidhalilisha na kujishusha hadhi ila yupo MUNGU wakutulipia vizazi,mm mwenyewe nshamuona akinilipia.Malipo hua ni papa hapa duniani,akhera inakwenda hesabu tuuu

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 4 роки тому

      Yaan mawazo yko km ya kwngu💪💪.. ningemuonesha show mammaeeeee😏😏😢😔..
      Anacheza na mioyo na hisia mpuuz sana uyu

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 4 роки тому

    Safi sana alipo mpuunzi mlela

  • @upendodanieli8457
    @upendodanieli8457 4 роки тому

    Ebi hausiki huyo play boy ndio alipe na huyo mly wake 👆

  • @itongwamtebwa7255
    @itongwamtebwa7255 4 роки тому +1

    Garama inazidi nauli ya kwenda Marekani daaah

  • @fatumabhallo8518
    @fatumabhallo8518 4 роки тому +18

    Shenzi tp ukipenda kulelewa faida ndio hiyo mlela kibenteni,juma lokole uko wp?

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 роки тому +1

    Mlela upo meza ilohalibika dora 500 sawa na milion 1 na laki 3 sasa utakata mapumbu yako ili ulipe😏😏😏

    • @maryclaralema2577
      @maryclaralema2577 4 роки тому

      Jaklini Faustini amchune huyo alie nae ili alipe sababu kazoea kuchuna😀😀😀

  • @hassanjuma7934
    @hassanjuma7934 4 роки тому

    Ebitoke umejua kunifurahisha natamani nikutafutie mwalimu wa ngumi ili uzidi kuwa ngumi jiwe msuli nyau ,ili uzidi kutufundishia huyu mkoma saizi ya mwisho a.k.a wakulelewa

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 4 роки тому

    safi sana ndo alipe ss

  • @tababdulla2877
    @tababdulla2877 4 роки тому +1

    HAlina hata hya huyo mlela jitu zima hvyoo

  • @nemymtango4074
    @nemymtango4074 4 роки тому

    wale wa kusoma comments tujuane hapa😂😂Ebii hongera sana lazima wakomeshwe maplay boy😂😂

  • @stelakiula7979
    @stelakiula7979 4 роки тому

    Daaah maisha haya jamani duuuuuuh

  • @dwiny7841
    @dwiny7841 4 роки тому

    Yani wabongo nyoko kweli eti Dollar 500 hike kuwa Euro kwa Dollar 500 nikama Euro 454 🤣😂🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂😂🤣😂🤣😂@bossholland 😂😂🤣😂🤣😂😂

  • @paulbinezekiel8225
    @paulbinezekiel8225 4 роки тому +10

    Ety dola 500 wabongo kwa kuongeza zero

  • @linahchuwa4506
    @linahchuwa4506 4 роки тому +1

    Safi sana Mlela anatakiwa kulipa

    • @linahchuwa4506
      @linahchuwa4506 4 роки тому +1

      @@kambishabani3296 kama cyo Mlela hayo yote yangetoka wap

    • @linahchuwa4506
      @linahchuwa4506 4 роки тому

      @@kambishabani3296 huo ni ufujaji wa wa mwanamke

    • @aishaawadhimalokimaloki9953
      @aishaawadhimalokimaloki9953 4 роки тому

      @@kambishabani3296 kala vyawatu achaalipe

    • @linahchuwa4506
      @linahchuwa4506 4 роки тому

      @@kambishabani3296 apo kapata funzo, mwache amfundishe kwanza adabu

  • @salomeally6145
    @salomeally6145 4 роки тому

    Ebi we noma angevunjika uyo Dada na ayo maskonkiko yake

  • @kwezifundikira2072
    @kwezifundikira2072 4 роки тому +1

    hela za ebitoke zinarudi kihivyooo yan

  • @kamirogosasiri9097
    @kamirogosasiri9097 4 роки тому

    Kweli papa ume ongeya vizuri

  • @bobjjoel956
    @bobjjoel956 4 роки тому +1

    Hahaha hiii nikik bbn

  • @fatmarashim6353
    @fatmarashim6353 4 роки тому +1

    Mlela alipe bwege huyo mshamba wa mapenz😏

  • @jumayusuph8471
    @jumayusuph8471 4 роки тому +1

    Dola 500 ni milioni moja na laki 3😂😂😂😂 mlipe pumbavu

  • @abdillahkhalfan8186
    @abdillahkhalfan8186 4 роки тому +1

    Meza ile $5oo hiiii hatari

  • @yohnamarry6722
    @yohnamarry6722 4 роки тому

    Jmn lakooo utalipa mlela n kama mahari hiyo ya ebitoke

  • @husseinkalamba3567
    @husseinkalamba3567 4 роки тому +2

    Ndugu yangu nifundi walete aka chomee hapo wanampa teni tu

    • @007tzx2
      @007tzx2 4 роки тому +1

      Mlela alipe bilioni kabisa mpuuzi huyo anajifanya kijogoo msenzi yuooooooo

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 4 роки тому +1

    Wao dollar 500,ml 1 na lk 3?Au nimesikia vibaya mm

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 4 роки тому

    Huyo meneja nae ache tama hicho kimeza kimebanduka tu anataka milioni

  • @lovenessrichard1473
    @lovenessrichard1473 4 роки тому +4

    Ona sasa unatakiwa kulipa dola mia 500 kisa kumgombania mwanaume ambae hajakuoa angekuoa je sijui ingekuwaje😏

  • @nazleenabdirahman461
    @nazleenabdirahman461 4 роки тому

    Kwa kweli malipo n hapa hapa duniani

  • @yohnamarry6722
    @yohnamarry6722 4 роки тому

    Mmmh motto

  • @lugo3952
    @lugo3952 4 роки тому

    Wahenga walisema

  • @benedictkaiza3987
    @benedictkaiza3987 4 роки тому +10

    😂😂 dola mia 500 duh hatari hili nalo bonge la kiki

  • @emmanueldocha3968
    @emmanueldocha3968 4 роки тому

    Hahahaaa #Mlela malizana nao hao

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 4 роки тому +2

    Mlela inakaa ulimpiga ebitoke miti ya adabu ulimkuna vizuri 😂😂😂 mpaka akachizi alafu vilenikadogo dogo ulikakuna vizuri

  • @hassankirima9814
    @hassankirima9814 4 роки тому

    Kiki zitawaweka mahara pabaya shwain

  • @happynescharles1511
    @happynescharles1511 4 роки тому

    Nimependa zaid ila naomba haongezewe Dolla 500 zingne ziwe dolla 1000 naona iyo ni ndogo mavivu wakufikiri hao

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 4 роки тому

    Hahaha kma nimeona ebitoke kja na broo wake anataka amkute mlela mlela anamnyooshea kidole km anataka wazichape

  • @user-uw8qr6vn9x
    @user-uw8qr6vn9x 4 роки тому

    Alipe mlela ndiochazo

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 4 роки тому

    Muandishi jaribu kubalance habar

  • @grecehuyukibanishida5595
    @grecehuyukibanishida5595 4 роки тому

    Mulla in mbwa

  • @strongnana2226
    @strongnana2226 4 роки тому

    Huyo mwanaume alipe

  • @michaelnzunda7347
    @michaelnzunda7347 4 роки тому +1

    Five hundreds USA dolar?duuu....kwan wametafuna meza au ni nati tu zimefunguka?waigizaj wamekuj kutengeneza kiki,manager wa ukumbi nae kiki

  • @imeldamoses3047
    @imeldamoses3047 4 роки тому

    Mlela hata kuamulizia wanaume bwana

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 роки тому

    Mlela muoga

  • @azizakassim3530
    @azizakassim3530 4 роки тому

    hiyo meza si wamtafuta fundi tu ywafix hhhhh
    dollar 500 sio mcheza duh!!

  • @feychessludovic4562
    @feychessludovic4562 4 роки тому +5

    😂😂😂😂ebitoke ana nguvu lakini hahaha

  • @frenchygigi
    @frenchygigi 4 роки тому

    Huyo meza sio 500.

  • @valeriakunji2990
    @valeriakunji2990 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂jmn huhuu aibu aloipata tuu mlela inatosha tena ungeanza na yy maana huyo Dada kwa upande mwingne na yy alitongozwa tuu kama ww huwez jua aliambiwa nn juu yako ungechanachana viwembe li uso la mlela

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому

    Mh makubwa

  • @feyfarid0448
    @feyfarid0448 4 роки тому

    Kumamake ibitoke ugekwenda na yai viza hapo ukapiga nalo LA USO nyoko huyo

  • @aishaawadhimalokimaloki9953
    @aishaawadhimalokimaloki9953 4 роки тому

    Alipe huyomlela saf sana

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 4 роки тому

    Yani waandishi wa habar ndiyo munakuza haya na badae munajiweka pemben maku nyinyi

  • @omantelomantel5428
    @omantelomantel5428 4 роки тому

    Hemedi ashangaa kistaa😀😀😀😀😀 hataki kutoka jasho

  • @sophiajackson5001
    @sophiajackson5001 4 роки тому

    alipe mlela ili aone uchungu si kala hela za mwenzie

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому

    Mungewaacha kidogo wakafundishana

  • @user-uw8qr6vn9x
    @user-uw8qr6vn9x 4 роки тому

    Tatizo mlela ajitambui alipeyeye

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 4 роки тому

    Uwiiii😂🙃🙃

  • @fabylyimo300
    @fabylyimo300 4 роки тому

    KIKI ZIGINE HAZINA FAIDA

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 4 роки тому

    HUYO MLELA ANATIA AIBU SANA.

  • @godlivajonathani893
    @godlivajonathani893 4 роки тому +2

    Wangewaacha 2one mkali nan

  • @andrewkazala6799
    @andrewkazala6799 4 роки тому

    Hamna meza ya dolla500 hapo we nyonyoveeep

  • @josephnasary372
    @josephnasary372 4 роки тому

    Hakunaga mapenzi yakugandana hayo ni ya zama za kale pamban ebi temana na huy plyboy

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 роки тому +2

      Temana lakin huwez jua labda kamlela kamekula hela ya ebitok ndo maan ana hasira

  • @boscopozz1250
    @boscopozz1250 4 роки тому

    Vulugu afanye ebipoo yusuph alipe sio sawa

    • @hasnaabduly4945
      @hasnaabduly4945 4 роки тому +3

      Yeye sindo kachukua iyo hotel

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 4 роки тому +1

      Wao wa hotel wanachokiangalia ni yule aliefanya booking ya ukumbi ayo mengine wao watamalizana wao

    • @louisendunguru7106
      @louisendunguru7106 4 роки тому +1

      Just singing..”majangaa mbona majaangaa😂😂😂😂”

    • @rashidmsofe7523
      @rashidmsofe7523 4 роки тому +2

      Hizo hela za ebi alizokula zinamtokea puani alipe meza ya watu hahahaa jinga sana

    • @aishaawadhimalokimaloki9953
      @aishaawadhimalokimaloki9953 4 роки тому +1

      Mlela ndokafanya vurugu hatasio eb

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 4 роки тому

    PHD BUTWAHAAAAA KAMALOTE

  • @hajikishua1410
    @hajikishua1410 4 роки тому

    Kiki iyo

  • @saadakiyungi6437
    @saadakiyungi6437 4 роки тому +2

    😂😂

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +1

    Team EBITOKE SAFI!!!

  • @jenifaamosi3709
    @jenifaamosi3709 4 роки тому

    yani ilo ri mlela rijinga saana rimezowea kurerewa lisauti la bure kumbe ri,mario

  • @hamedamahamd1222
    @hamedamahamd1222 4 роки тому

    Mlele utakoma ripa kama jeuri unayo

    • @linahchuwa4506
      @linahchuwa4506 4 роки тому +1

      Nakunya apa akiweza kulipa labda amwobe Ebi amsaidie

    • @aishaawadhimalokimaloki9953
      @aishaawadhimalokimaloki9953 4 роки тому

      @@linahchuwa4506 hahaaaaaaaaaa uwi yani huyukaka sawa nakopo liloisha mafuta

    • @linahchuwa4506
      @linahchuwa4506 4 роки тому

      @@aishaawadhimalokimaloki9953 😂😂 kopo la chooni mbna hapo umemstili

  • @thedeo472
    @thedeo472 4 роки тому

    Meza dola 500? Rubbish.

  • @basutamilanzi
    @basutamilanzi 4 роки тому

    Ndio alipe
    ua-cam.com/video/4UFLHr1VegM/v-deo.html

  • @anastaziadakho1161
    @anastaziadakho1161 4 роки тому

    Namaana hapa anayelipa hizo dola mia 500 ni nani??

  • @user-zh2ip5un3i
    @user-zh2ip5un3i 4 роки тому

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @greengenerationtv9012
    @greengenerationtv9012 4 роки тому

    Kiki za kijinga hizi

  • @billylovebilly9418
    @billylovebilly9418 4 роки тому

    Alipe uyo mlela iyonifu ndisho tosha kwake

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 роки тому

    wacha agaramie ujinga wake ndio ashike adabu. apo sawa sana maneja. ebi ulifanya poa zako zenye ame kula wacha alipe hapo kwa uharibifu.🙄🙄🙄🙄🙄

  • @ibtyhans1163
    @ibtyhans1163 4 роки тому

    Yaani misumari tu $500. Haman Mona WA tz mwapenda kiki

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 4 роки тому

    Hahaaaa ebi .aka. toka.mlela.mle rahaaaa.aya lipa sasa.na msisau io kiatu ya red apo chin n dollar mia sita pia 😆😆😆😆wigi dollar gapii?????

  • @dianamkuna2898
    @dianamkuna2898 4 роки тому

    Sasa hyo mwanamke wke mpya mlela apo alikuwa ana umhmu gn lbda!