MBOWE AENDELEA KUSIKITIKA MSIGWA KUBEBWA NA CCM , SIKIA ALICHOKISEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • #chadema
    #mbowe
    ‪@chademamediatv‬ .
    ‪@jambotv.‬ ‪@globaltv_online‬ #viral #trending

КОМЕНТАРІ • 20

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz 3 місяці тому +3

    Wacha kudanganya watu wa tanga umepewa mke na chama ruzuku yote chama unakula mwenyewe subiri watu watakuachia chama na family yako ya wamachame wenzako siku nyingi lisu ataondoka

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 місяці тому +1

    Tujitambue kama wakenya tuandamane waraabu waachane na bandari zetu

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 19 днів тому

    Kwenu Moshi Urisini Mlima Kilimanjaro Hakuna Bandari

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 2 місяці тому

    Mbona wamama nyuso nizamasha namshangao kwa nkurunziza??🤣🤣

  • @salvatorymogesi6476
    @salvatorymogesi6476 3 місяці тому +1

    Onyesha mfano wa ulichokifanya kwenye Chadema basi tuige mfano wewe Mwenyekiti wa Chama wa Milele

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 3 місяці тому +1

    Wewe DJ acha uongo ruzuku unapewa Kila mwezi sio Kodi yetu??

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 3 місяці тому +1

    Ccm hii inatutesa sana elimu hovyo, ajira hakuna, elimu mbovu, matozo mengi, Tuikatae ndani ya sanduku la kura 7:19

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 3 місяці тому +1

    Wajinga ninyi sio mupogane ikataeni ccm. Tuanze upya

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 3 місяці тому +1

    Mmmmh mbowe kwahiyo nasi tupigane

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 3 місяці тому +1

    Mbowe karibu Kanda ya KUSINI na hsa kwetu Namtumbo na Tunduru

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 3 місяці тому +1

    Mwenyekiti wa kudum

  • @BorySaronge
    @BorySaronge 2 місяці тому

    Mimi kila siku nasema huyu mtu hawezi kuhutubia bila ya kutoa suluhisho la namna gani wao wanaweza kutoa watu katika hayo matatizo wanayoyahubiri kila siku bila ya mafanikio kwa sababu kiu yao kubwa ni kuona kuwa ccm inapokwadaraka na cdm naukiangalia utaona kuwa ni wivu tu hakuna la maana wanalolihubiria waache ukuda .

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack 2 місяці тому

      Wewe ni zigo linalo subiri kuja kusombwa na mafuliko😂

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 2 місяці тому

    WEWE NDIO CHANZO CHA WANACHA KUTOKA UMEKAA MNA KWENYE WENYEKITI WAACHIE NA WENZIO HICHO KIMEKUWA CHAMA CHA CHA FAMILIA

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack 2 місяці тому

      Kwahiyo Uwenyekiti wake ndio sababu ya mafisadi na majizi wenu kuuza Rasilimali za Nchi yetu au nawe ni imbecilization ulie tengezwa na ccm!

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 2 місяці тому

    Kwahiyo wewe utashusha

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 2 місяці тому

    Huna jipya wewe wewe mwenyewe nidikteta kwenye chama chako

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack 2 місяці тому

      Ya kuambia changanya na zako, acha kuwa zigo na imbecilization wewe!