NDOA 《06》
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Subscribe | Like | Share and Comment
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Watch more contents:
BONCENA GOT TALENT
#NDOA #boncenagottalent
+255659096471
FACEBOOK; httpsboncena rutama
INSTARGRAM; / . .
TIKTOK ; / boncena_gottalent
YOUYUBE ; / @boncenagottalentfacebook;boncena_tz
OR BONCENA GOT TALENT
INSTAGRAM; BONCENA_TZ
IIKTOK ;BONCENA_TZ
Tujuane wanao mpenda Boncena❤❤❤
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂 ongereni sana wapenz kwa mafuzo yenu mazurisana mubarikiwe wote 😂😂😂😂
Kwa ushauli tu sio kwa ubaya jmn we kaka unaeongea unaweka man kusema kweli imekaa vby kama.kunauwezekano uwache kbs kutia neno man kwenye maongezi kama mnanikubari maneno yangu weka like apa
Kwengine kunaboa kila mara man
Huyo ndo ruta man njo ngisi alivyo ila alituambiya kumwaka2025 atakuya nyingine neno ataacha '''man'''
@@Gifttebe-e6w kweli Lina boa sanaaaaaaa
Nikushauri2 ww tafuta neno lako litumike mfyuuuu man
Iyo iyo mani imefanya wa2 2mjua na 2mpende kwenye Ile move ya kicheche alifanya poa san kwa upande wangu mi napenda Naona ndo utambulisho wake
Nimependa character ya mwisho kabisa Daaaah mwisho wa iyo episode nimecheka sana 😆😆😆😆
Hii Scene ya Mateso ya Bad Man kwa Gumbwa nimeyapenda......... Next Sery naomba iwe ya Kijambazi, aLafu Kubwa la Majambazi awe Bad Man Ruta🔥🔥🔥🔥
Luta man Wagner man Mke wa mtu ni sumuu Kaziii nzurii sanaaa nakusapotii kutoka Kenya
TUNASHUKULU MASHABIKI ZETU TUENDELEE KUSAPOT ..KITU KIKUBWA ..HII NDOA JIFUNZE VITU VING❤❤❤..BY KOBELO
👍❤
Oya kobelo we hatari sanaaa big up unaweza
Kobelo unajua sana💯💯
Kobero huyooo chaumbea
Umetisha sana mwanangu Boncena wewe na kundi lako lote big up sana
Rutam acha roho mbaya 😂😂😂
ila KOBELO 😂😂ANACHEKESHA SANA TALENT YAKE NI KUBWA SANAA🎉🎉
Jaman imeishia pazul Asante San na kazi nzur🎉🎉🎉🎉
Uko vizuri man
Leo nimekuwa wakwanza kwanza tumpe pole baisa❤😂😢😢
Wa kwanza leoo jamnii mieee like zanguu
Nasubiri saaana kwa hamu wakati utamukomoa bibi wa yule jamaa 😂😂😂😂❤❤❤
Kazi nzuri man,,kobelo ndio ananifuraisha sana😂😂ukipata watu wawili kama kobelo kwa nyumba utakua jizi aky😂😂😂
safi sana ruta man ila kipepeo unapendeza kuwa siriasi safi sana dada wewe ni wife matilio 😘😘😘
Hii movie fresh🇲🇿👍 ❤❤
Good job you Guys over there you are really talented keep it up.
No love Kwa hiyo ruta man wuw wote
😊 kobelo nakukubar xn my bro unajua wa ukae ❤❤❤❤
Jamn kobero et akipenda kampenda komwe wake 😂😂
NDOA SIO PETE MIKONONI NDOA NI MAISHA BAADA YA SHEREHE MOVIE KUBWA SANA HII TUIPELEKE TRENDING GUYZ MGANGA BAYSER APA🙏
😂😂Wadangaji tujuane
Mungu awape nguvu ya kuvuka mwaka salama na kufika 2025 salama ❤❤❤
ya leo Kali man huyo mwanamke ni mbwa man
Cheza na futa ww Nomber ametoa faster 😂🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Big Talent Bonceana
,😂😂😂😂😂😂 maua yako kobelo
Ngoshaaaa anaupwiruuuuuuu mmpee tu jmn 😂😂😂😂
Anajitia anaroho ngumu huyo hatoi namba ya mke wake piga shot za umeme huyo atatoa tu yy mke wa mtu mtamu wakwake anamiringisha sana 😂😂😂
N'a mimi sipende usaliti lakini Nîme msliti Vevo mimi niwa mchongo 😂😂😂 ni follow basi
Hata mimi inanibowa hiyo man haibendezi sehem nyengine haikubali kutumiya hilo neno acha
Baisa hongera umeweza sana kwenye party yako 🎉🎉🎉
❤❤🎉🎉Representing unity, strength, and the unbreakable spirit of freedom
Naitazama video hii nkiwa Kenya,naipenda sana
😂😂😂 kaona mafuta na NGOSHA aaah chapu kataja namba 😂😂😂😂😂😂 Gumbwa!
Hiyo imekaa vizuri ruta ushisubiri nikupeleke serikali kwa kunitumia ep 7 nasubiri hapa Lubumbashi RDC 😂😂😂❤❤❤
Nimechelewa lakini nimefika from Kenya big up Kazi nzuri sana
Wow leo nko wa kwanza
Yes Man Broo
Oyooo wapenzi wa TikTok nimewaachia goma la funga Mwaka kule TikTok nenden mukaluke nalo
Dar 😂🥺🥺🥺ni atari sanaaa
Mimi ni msani kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩 natamani kua hata pamoja na Nye na ruta kuennye cinema I'm ready I need to be with you there
Kibu Denis 😂😂😂😂 kobelo🔥🔥🔥🔥
Movie nzuli san❤❤❤
Hii kazi imeonekana kabisa
Namkubali sana kobero na rta
Kobelo njo napenda😂😂😂
Kuachwa kubaya kobero😅😅😅😅
Ila ngojaa 😂😂😂
Pale kwenye shangazi usiweke man au kwenye mke ila sehemu yeyote weka man ila mimi napenda NENO MAN😂😂😂
Lini nyingine 😂😂😂 man owa uyoo gumbo mpe mke wako
😂😂😂😂😂wangine inawakera we waipenda ilanyiye😂😂
Naombeeni kwa Allah, muuvuke mwaka Salama 🙏🙏
Vizuri sana man mimi nimu 🇨🇩😊
Nakukubar maaan
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Leo nimekuwa wakwanza
Uyu jamaa akitoka apa akiona bibi ya mtu anakimbia
Usiuwe 😢😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Gumbwa Karibu qfirwe
😂😂😂 gumball anapakwa mafuta
Duu kama ukitembea na mke wa m2 mateso yake ni kama haya kuanzia leo🙏🙏🙏🙏✋🙏🔥👋🖐️sitaweza kitembea na mke wa mtu kumbe ndo mana wanasema mke wa mtu ni SUMU ndo kama hichi kilicho mkuta GUMBWA mbele ya RUTA MAN ❤❤🎉🎉💔❤🤛🙌✋👍❣️💕💓👇💐💗💯💕👐🙋
😂😂😂
Iyo man siipendi alafu kila kipande ayoayo kutesana inachosha
sijachelewa sana na mimi
Ilo tangazo lako toa tu kama unataka watu wafanyie tu intarview anae faa mchukue sio kuanza kuchukua hela za watu kwa shule gani ya sanaaa ruta
Umetisha sana kaka
Gumbwa angetombwa aki😂😂😂
Hii move Kari sana
Wana shawishika kwa kitu kidogo
Unyama san man😂😂😂
Mtu hanateswa ata damu amn😅😅😅😅
Mke Wa Baisa Nimependa Upole Wako Maan Watoto Wa 2000
Di!❤❤
Ungekawekelea na kenyewe shot kidogo
Wachaji man wajae 100 %
❤❤tisha saana Rutaman
Unaonaje hiyo man ukaachana nayo
Onggera man❤❤
𝐔𝐦𝐞𝐧𝐢𝐤𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐤𝐰𝐚𝐝𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 😂😂😂😂
wakwanza nipeni like zang man
Move nzur sana ila kile kidada akina sifa ya uhigizaj oungo dhambi bado mtoto acheni asome kwanza
Ana takakutolewa marinda😂😂😂😂😂😂😂😂
Ruta man ❤❤❤🫡🫡🫡
Bone ilo nano man naomba uachane nalo mana lina kuharibu..
32:28 ndio wenye kutongozwa na wanaume wa watu mjifunze # mwanaume hawez mfanyia mkewe ampendae ubaya kwa ajili ya mchepuko
Musipo nipa like Zang 100 naji nyonga
Nakuletea kamba
Boncena nakukubal sana kaz zako nzul
Vipi luta man kwanini queen aonekani
Nakubalisana unavyowekaman kwenyemanenoman
Na muunga mkono gumbwa kwa kumwambia ukweli selina
Hii movi inamafunzo mengi sn ongera jmn
❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Gumbwa kaz unayo
unyama
Hiyooo mani unakeraaa af mbak kwa shangazi yako unaita mani🤔🤔🤔🤔🤔
Kilainishi kinaogopwa kumbe
USALIT SIO POA .ACHANE KABSA
❤❤❤
Duniya hii
Mani zako iziko poa
ihi muv iko poa san