Maa Shaa Allah...Mungu awalipe sana na kwa barka ya mtume huyu mwema(Muhammad Bin Abdillah-Swalawaatuhu wa salamuhu 3alayhi wa 3alaa aalih wa Aswhaabih)..Allah audumishe huu muungano wenu....Much love kwenu brothers cant waiit kuona the official video , Rusma kutoka Tanzania.
Masha allah,subhannallah umenikumbusha mbal pind nko madrassa ni mlango nlousoma katka mahafar yetu,allah akbar allah akuongoze katka kher zake uendelee kukumbusha ummat Muhammad.
Ma sha Allaah taala ndugu zangu mtoto wangu yuwafa nayo hi ma sha Allaah taala kila asubuhi lazima nimtuliye ameipenda ma sha Allaah taala ni miyaka mmoga lakini ma sha Allaah taala ame hifadi heeh ma nangogeya part 2 yake in sha Allaah taala
Maa Shaa Allah...Mungu awalipe sana na kwa barka ya mtume huyu mwema(Muhammad Bin Abdillah-Swalawaatuhu wa salamuhu 3alayhi wa 3alaa aalih wa Aswhaabih)..Allah audumishe huu muungano wenu....Much love kwenu brothers cant waiit kuona the official video , Rusma kutoka Tanzania.
Mashallah best And nice qaswida twampenda mtume wetu muhammadi sw🕋🕋 na tutazidi kumpenda 💖💖💖
Kwa taji lako tupambabe tuwe na wewe peponi kipenzi chetu allahumasil wasalimalhe ❤️❤️❤️
Ma shaa Allah brother nassir 🙂
Masha Allah pokea Sana ongera 😘❤💓💛💚💙💕💔💖💗💘💟💞💝
MashaAllah akhy iko smart umenikumbusha nkiwa madrasa enzi hixo😍😍😍😍😍😍
Tunamuomba Allah subhana wataghaala atukutanishe na Mtume wetu kiamani takabbalallah
mashaallah allah akuzidishie umri uweze kufanya yalio mema
Nice nasheed walahi i remember those days i was madrasa i love this song so much
Mashaa Allah nawapenda kwa ajili ya Allah tumeni nyingine nashid Allah awahifadhi ktk dini na dunia na akhela nampenda mtume muhammadi
Mashaa Allah nimekumbuka nikiwa madrasa tul Noor Islamia shukran bro Nassir umoja ni nguvu Allah awazidishie vipaji na awalinde na shari
MashAllah one of my favourite qaswidas😊
Mungu atakuzidishia
🎉🎉🎉🎉🎉
mashallah mabruk ❤❤❤ 😊😊😊
mashallah mashalla mashallah..Allah awape kheri..umoja na mzidi kupendana..kuimba nasheed kusiwatenganishe kabisa..mshirikiane,mkosoane na mpendane. peace brothers
Ameen
Na kila waslamu
Allah awape umri mrefu
Mashaallah beautiful voice much love from kenya
Masha allah,subhannallah umenikumbusha mbal pind nko madrassa ni mlango nlousoma katka mahafar yetu,allah akbar allah akuongoze katka kher zake uendelee kukumbusha ummat Muhammad.
Asalam ghalayku
Masha Allah Akh Nassir 👍👍👍👍👍
jaman mbona nakumbuka madras mie mashallah mungu akuzidishie umri mrefu brother nasri
mashallah keep going bro love much from Nairobi kenya i' m your biggest fun lop you sooò much mwaa😘😘😍😍🤗🤗😚😙😏
Ma sha Allaah taala ndugu zangu mtoto wangu yuwafa nayo hi ma sha Allaah taala kila asubuhi lazima nimtuliye ameipenda ma sha Allaah taala ni miyaka mmoga lakini ma sha Allaah taala ame hifadi heeh ma nangogeya part 2 yake in sha Allaah taala
Mashaallah Mashaallah Allah awaongoze muwe katika kundi la wajawema inshaallah
Mashallah brother nasir
Allahuma barik
Allahuma swali wa salim allee
ma shaa Allah. nice one 😊😊💖💖
Mashallah....my best nasheed....nakumbuka siku za hafla madrassa dem dyz😁😁😁....Allah aku hifadhi
Ameen
Kweli sis😍😍😍😭
Mashallah broooo fanya tutoe
Mashaallah Mashaallah Allha awape kheri
twampenda mtume wetu sala Allahu Allayhi wassallam Masha Allah nashid safi
Sara Nasser ccgjjLLQ1
I need this Brother Nassir Back...😢😢😢
MashaAllah brodher Nassir. Anasheed nzur, nmeipenda
Masha Allah what a beautiful Nashid keep it going bro well done
Mashaallah nakupenda mwwanangu kwa ajili ya Allah
Amazing voices Allah yahfadhkum
Mashallah tabarakallah thanks ❤❤❤
Maa sha Allah Allah awahifadhi Allah awajaalie kila la kheri na awaruzuku husnil khaatima kwa sote.
Maashaalla nassri nzuri sana
PEACE AND BLESSINGS BE UPON HIM ❤❤❤❤
maa sha Allah nice...umoja ni nguvu yaa shabaab...
Fatma Mohammed 7i
Maashaallah my brother naseer
MASHAA ALLAH my gelby nasheed nikiwa M adrasa thul Mujahideenah
Masha Allah...peace be upon our beloved Prophet(SAW)...amazing nasheed..very touching..shukraan..stay blessed brothers..
Allah akubarik brother nasser
Mashaallah Allah barik
Mashaa Allah. Tunasubir nyingine Sayd
mashaAllah Mungu awape kila la kheir
Nice my bajuni bro mashallah barakallah 1:58
mashaAllah tabaraka Allah naipenda
Mashallah Allah amlipe ishaallah
Mashallah my uncle rashid and brother
Marihabaa asia na maryam ni mahurulaini wa Pepon kazi nzuri bro nassir
Tumswalie Mtume Muhammad
Hongera brooo
Mashaallah mashaallah mashaallah!
Mashaallah bro Nassir
It just remind me when i were at madrasa mashaaallah keep going brother Nassir
Jaffer Al-amry
So do I
Before lunch time and salathul asr
I love u mamy and my brother i Allah akupeni akauri thabit for all the time
Masha Allah Mola awape hifadhi ndugu zetu
Maashalla
😍😍Habibii ya RasoululLah
Peace be upon him prophet Muhammad s.a.w❤❤🙏
ma sha Allah. hadi raha huchoki kuckiliza
mashallah mungu hawa bariki katika kazi zenu
Mashallah Allah awahifadhi
MashaaAllah may Allah bless Him
Ma sha allah
Twayyibu brothers ❤️🔥🔥🔥🔥
Mashallah brother Nassir🙏
Yaaan uislamu adi raha
MashaAllah jadha ka Allah kheir
Mashallah Allah bless
Nasheed nzuri kabla hajaingia kwenye coast flava 😜😜😜
MashaAllah mungu awahifadhi wanangu
Mashallah nasheed nzur
Marshall
Swalallahu Alaihi wa alihi wasalaam
Marhaba..Masha Allah
MashaAllah
mashaallallh twampenda
MashaAllah🥺🥺❤️
lyrics plz🥰🥰
mashaallah ....it's awesome
masha allah ukovizurkaka
Mashallah😍
mashallah ilove xo much muhammad ibn abdallah
wow❤❤❤❤😊😊😊
يا رسول الله
اللهم صلى على محمد و ال محمد
Asia na maryam hurulain wa peponi nami niwe miongoni mwa somo yng maryam
A.S.W❤❤❤
alahuma amaen
Swala ala Nabii
Aaa anazngua tyu mbn aimba sas
maashallah
Maashaallah
Masha'Allah,❤❤❤
Best of the best!!
mashaallah
Wlh memories plz upload more qasidas
Ajab sana mashllah
mashallah
MASHAALLAH ALLAH
Nice one
Maribaaaaa mashaallah
Maashaallah
Twampenda mtume wetu mukhammady
Masha allah
mashaAllah...
Masha allah my birathers
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليماً كثيراً 🌷🌼🌸🌹🥀🌷
Ma shaa Allah💝
MashaAllah bro
Mashallah.
🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️