MUUMINI AIBUKA! "Nimenyanyasika Mno Kwenye NDOA, Nakata Mauno Sana"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • MUUMINI AIBUKA! "Nimenyanyasika Mno Kwenye NDOA, Nakata Mauno Sana"
    Mwanamziki Mkongwe wa Dansi nchini Mwijuma Muumini amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusiana na maisha yake ya ndoa na changamoto za kunyang'anywa mke wake.
    Mwijuma ametangaza rasmi kurudi katika Muziki ambapo amedai kuwa mashabiki wakae mkao wa kula kwani katika kazi zake hakuwahi kukosea.
    UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
    ( +255 676 229628)
    Email: globaltvbest@gmail.com
    abbymrisho@gmail.com
    HABARI MPYA DAILY: bit.ly/habarimpya
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe bit.ly/globaltv...
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 118

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 роки тому +1

    Nampenda sna uyu mumini juma

  • @hadijageorge2863
    @hadijageorge2863 2 роки тому +1

    Mungu atakupa Marshall matefu Kaka yangu

  • @paschalmzyungu4353
    @paschalmzyungu4353 4 роки тому +8

    Dah still you looking good bro..nimeimba sana nyimbo zako since 2001 ,.Fanya urudi

  • @BnnajinasKitwe
    @BnnajinasKitwe 26 днів тому

    Asante muumin nakukubali sana swahiba.

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 4 роки тому +3

    Ally choki,bad bakule,waziri sonyo,Banza stone,Muumin Mwinjuma,Papii kocha,ndanda kosovo na wengine hii kizazi ilikua shida mziki wa dance ukiacha wale wazee wa msondo na skinde

  • @salamaseifu6008
    @salamaseifu6008 Рік тому

    Kweli kwa kuimba muumini unaweza kuimba sana mungu akusaidie akusimamie

  • @emmanuelbuganga7325
    @emmanuelbuganga7325 3 роки тому +1

    Pole, sana uyo mbunge alikua nani? nimlaani tena.

  • @abdulabasi4264
    @abdulabasi4264 4 роки тому +1

    Daah Wejama Unaongea Ukweli Sana Kiukweli Mana Wangekuwa Wengine Hapo Ataulaya Wangesema Wameenda Nakufanya Biashara Rkn Ww Unanyoosha Ukweli Halisi Hongera Sana Aisee Pambana Utaludi Blazaa

  • @cantonamngoni9407
    @cantonamngoni9407 4 роки тому +3

    Hongera sana kaka ulikuwa unajua

  • @alirahma8967
    @alirahma8967 4 роки тому +1

    Nilikua naipenda sana mkilima kala mbegu,mungu akusimamie,usikate tama

  • @francismkenda
    @francismkenda 4 роки тому +7

    "Ndani kwetu ameingia nyambizi tujihadhari tutauawaa"....... daah ee bhna huyu jamaa namemkumbuka sana noumaa

    • @antoinekatembo8520
      @antoinekatembo8520 4 роки тому +1

      Francis Mkenda hicho kibao kilikua kikali sana henzi hizo

  • @mrwhynot7626
    @mrwhynot7626 4 роки тому +1

    Good good goood 🖐🏽🖐🏽🖐🏽🖐🏽🖐🏽

  • @erastosolomon4554
    @erastosolomon4554 4 роки тому +1

    Kiukweli mimi ni shabiki wako hadi naumwa nikisikia nyimbo zako kama kisiki cha mpingo ,mgumba, tunda special na nyimbo zako nyiingi na nilijua haupo duniani but utainuka kamanda tuko pamoja nafurahia sana kukusikia Kaka 💪💪💪🙏

  • @amanikuntamya9698
    @amanikuntamya9698 4 роки тому +7

    Kaka mwijuma Mimi ni kijana wa miaka 35 sasa lkn nakukumbuka sana kwa wimbo wako mkulima kala mbegu daaaa kaka ludi tuko na wewe brother

  • @lukasmwendo9383
    @lukasmwendo9383 4 роки тому +3

    Hakika ww ni msanii mkubwa uko vizuri sana kama walikuroga bac dawa zawa hazina nguvu

  • @emmanuelbuganga7325
    @emmanuelbuganga7325 3 роки тому +1

    Nampenda mumini kuliko maelezo, ludi jamaa yetu.

  • @winepreneur7329
    @winepreneur7329 4 роки тому +2

    Mi nadhani ungeachana na bendi,fanya Kama solo artist...toa single zako,mambo yatakaa sawa

  • @manenomhagama9911
    @manenomhagama9911 4 роки тому +1

    Pamoja sana

  • @saidpara7494
    @saidpara7494 4 роки тому +2

    Tatizo muumini nyinyi mukianza kuinuka tu munaanza kuwatukana wanao wainua. 😊😊chuma yenu

  • @saidbahali5533
    @saidbahali5533 4 роки тому +2

    Huyu sio Mkongwe yeye bado kijana sana ila amejipoteza mwenyewe

  • @munakassim3521
    @munakassim3521 4 роки тому +5

    Jamani tunda .mgumba .rudi kwenye game kaka

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 роки тому +3

    Khaaaa zamani sana ila tam

  • @gracekimaro163
    @gracekimaro163 4 роки тому +1

    safi sana broo umekuwa mkweli ingekuwa wenzetu waleee ungeskia sasa hiv nafocus kwenye biashara. tusubiri mzik mzuri sooon

    • @gracekimaro163
      @gracekimaro163 4 роки тому

      Zuber Salum nitumie ya kwako nitakupigia bro

  • @denicmsigwa5199
    @denicmsigwa5199 4 роки тому +1

    Duh we jamaa nakukubali sana aiseee frash yangu haiwezi kosa wimbo wako kwakweli

  • @saluhadu7967
    @saluhadu7967 4 роки тому

    Pamabana shekh wangu uko vizur sana kama Dada wanpenda kaninunulie zeze

    • @veronikamabula7101
      @veronikamabula7101 4 роки тому

      Umenikumbusha miaka 30 iliyopita tukiwa wote Butiama,komaa usikate tamaa

  • @abudrylameck1640
    @abudrylameck1640 3 роки тому +2

    Duuuu jamaa kapotea nilipenda Sana nyimbo zake

  • @Raymond6497
    @Raymond6497 4 роки тому +2

    Nimempenda Sana mwandishi,,unauliza vitu unavyovijua..big up

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 4 роки тому +3

    Nilichoelewa
    Huu ni ubao na tuusome vizuri.

  • @rochhelmond7925
    @rochhelmond7925 4 роки тому +1

    Come back please bro hichi ni kipaji ambacho tulikimiss mno

  • @pricamsrcus9341
    @pricamsrcus9341 4 роки тому +1

    👍

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 4 роки тому +5

    Shemu wetu wa tanga sada saleheee mtt wa chumbageniii💃💃💃💃enz hairud jmn rudi shemu wetu wa zaman wa mkoa wa tanga

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 4 роки тому +1

      RUKIA Mohammed 😁😁😁

    • @kilonzodistributorscompany9228
      @kilonzodistributorscompany9228 4 роки тому

      Inaitwaje hiyo nyimbo

    • @georgekimasa7393
      @georgekimasa7393 4 роки тому

      Nyie wanawake watanga ndiyo mlianza kusababisha kuyumba kwa muumini hasa huyo sada aligeuka kuwa mwiba kwa huyu jamaa.

    • @rukiamohammed5031
      @rukiamohammed5031 4 роки тому

      @@georgekimasa7393 🤣🤣🤣tatizo muumin alikurupuka kumuoa yule sada salehe mtt wa chumbageniii💃💃ndio maana ndoa Yao haikudumu

  • @emmanuelbuganga7325
    @emmanuelbuganga7325 3 роки тому +1

    Ujafulia bwana, omba uzima tu. tunakukubali sana.

  • @kingmburusijr6958
    @kingmburusijr6958 4 роки тому +1

    Amtafute mzee yusuf warudi kwenye gem

  • @bukheribukheri798
    @bukheribukheri798 4 роки тому

    Haaaa Muumini!!! Ambayo badala ya ambaye!¡!!! umeniangusha,Ila nakukubali Sana katika utunzi na uimbaji

  • @emmanuelbuganga7325
    @emmanuelbuganga7325 3 роки тому

    Nilipo kua mdogo,,,😄😄😃😄😃😄😄😄😄😄😄😄mle mle baba lao, karibu sana, tuna hamu na wewe sana.

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 4 роки тому +2

    Utasimama tu Kijana usikate tamaa kaza buti Mungu atakusaidia.

    • @antoinekatembo8520
      @antoinekatembo8520 4 роки тому +1

      Steven Steve hiyo ni kweli kaka! Bidii, jitiada na nidhamu ya mtu ndo mafanyikio yake!

  • @isejemedia6760
    @isejemedia6760 4 роки тому

    Nakukubali sana

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv 4 роки тому +2

    Umejichekesha mno..eti umefulia..🤣🤣🤣bora umekubali

  • @swaumukareemu9247
    @swaumukareemu9247 4 роки тому +1

    Jomaniii nimekukuka sanaa toka juzi nIsikiliza nyimbo ya tunda

  • @alexmwalingo5120
    @alexmwalingo5120 4 роки тому

    Nyimbo zako zilikuwa tamu sana mwe tumezicheza sana hasa nyambizi

  • @elibarikiskawa7918
    @elibarikiskawa7918 4 роки тому

    Bora umerudi utukumbushiee mikaa

  • @jekoniafesto5590
    @jekoniafesto5590 4 роки тому +4

    Mzaramo una maneno wewe!

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому +1

    " Nilipokuwa mdogo mwinjuma mm , nilikuwa sielewi Nini maana ya mapenzi " huyu aliteka dunia aisee

  • @polinahkilunju9414
    @polinahkilunju9414 4 роки тому +3

    Global TV ambieni Muumini namtafuta.

  • @halimakimwana9249
    @halimakimwana9249 4 роки тому +1

    Mi shabiki yako Muumini tunasubiri hiyo Album

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 4 роки тому

    Ebabaaa bado upoo sanaaaaa kochaaa

  • @petermende5153
    @petermende5153 4 роки тому +4

    Aixee axeee mwinjuma mumini hatari sanaaaa cntakusahau kamwe maana umefanya makubwa kwenye mziki wa dance nakuheshimu mm shabiki yako. ...kimuziki ulimpeleka puta Ali choki had nilkuw nafurah. ..rudìiiiiii kweny game

  • @saywniaa1865
    @saywniaa1865 4 роки тому +2

    Yumekumic walah ludi kwnye gem

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 роки тому +1

    Kocha wa kitongoji duuh umetisha fundi wa sauti bongo

  • @jonesgeorge3152
    @jonesgeorge3152 4 роки тому

    Kaka mkubwa. Dah missing much

  • @prisilaalfred2353
    @prisilaalfred2353 4 роки тому

    🤗

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 4 роки тому +4

    mzee wa zing zong

  • @ernestbenpili7108
    @ernestbenpili7108 3 роки тому

    Mmh

  • @francismkenda
    @francismkenda 4 роки тому +3

    Maisha ni msongamano wa tabu nyingi sanaa zilichanganyika na chembe ndogo sana za raha ambazo haziwezi kuyeyukaa aah Yusuph Mmbwana alisema😀😀😀 wahenga mnakumbuka hii mistari ya Muumin na bend yake

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 4 роки тому

      Francis Mkenda 😁😁😁😁hata sisi tuliozaliwa 2000 mnatutenga

    • @saidabdul8547
      @saidabdul8547 4 роки тому

      Francis Mkenda ......Ukila Leo wali kuku.....usisherehekee ....chemsha bongo ujue kesho utapata VIP....mstari wa badi bakule huo

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому +1

    Duuh mbona mmekua kijana zaidi kweli kafulia au kaamua? Hee kumbe me mkubwa Miaka 18 iliyopita? 😳😳😳😳😳

  • @shomarisangari6357
    @shomarisangari6357 4 роки тому +1

    Ukipiga mzki wa bend kiingilio bia apo lazima utapotea epuka kupiga muziki kiingilio bia.

  • @mlawamangasini3836
    @mlawamangasini3836 4 роки тому +1

    Rudi kama zamani tafadhali.Tumekumiss tumekosa mikasi mingi na sauti iliyopakwa mafuta

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 4 роки тому +2

    Mtangazaji jiongeze jitume utafika mbali sana. Tunategemea ufanye presentations, voice over kwenye documentaries na nipe program yako ambayo itakuwa identity yako. Unafaa utangazie mashirika makubwa makubwa kama DW, BBC n.k

  • @kulwakunemka3286
    @kulwakunemka3286 4 роки тому +1

    Daaah,hivi huyu jamaa ataweza kweli kutunga Mashairi ya kututoa machozi?

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 4 роки тому

    Hahahahaaaaaa😂😂😂😂😂😂 Rapa huyo noma

  • @Chemba67
    @Chemba67 4 роки тому +1

    Kila la heri kocha wa kawaida inabidi ukaze huu usawa sio

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 4 роки тому +1

    Usijishushe bwana mwinyijuma wewe ni mwanamziki mkubwa, sema mziki wenu umekutana na changamoto za muda mfupi za promotion kwenye vyombo vya habari lakini washabiki wa dansi bado tupo na tunaimani iko siku dansi itarudi tu kwa uwezo wa Allah

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 4 роки тому

    Rudi baba na utarudi tu kwenye ukocha kama papii kocha

  • @azdatech5032
    @azdatech5032 4 роки тому +2

    Media za bongo zinaua wasanii wa kweli zinawabeba vilaza kwa ajili ya maslai yao,na wewe mtangazaji jifunze kuuliza maswali ya msingi habari za wake wa mumini ni mambo yake binafsi, sis tunataka kujua kuhusu muziki wa dans na masuala yake ya sanaa na kwa nn muzik wa dans umepotea,🙄

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 4 роки тому

      Kabisa yani wala sio uongo

    • @wakubwatu1535
      @wakubwatu1535 4 роки тому

      Muumini hebu mrudie yule mtaalamu wa bagamoyo ambae mliahidiana lakini ww ulikiuka makubaliano nae alijitokeza ktk vyombo vya habari kua ww kama hutarudi ktk makubaliano huo utakua mwisho wa ustaa wako watanzania tulimpuuza huyo mtu lakini sasa tunaona yaliosemwa yanajionyesha sasa hebu nenda katimize ahadi urudi kwenye ustaa

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 роки тому

      Mambo hayo kaulize ustawi wa jamii

  • @blacknature3691
    @blacknature3691 4 роки тому +1

    Unge tubu tu miaka 20 sio kidogo kaka

  • @twahachano2559
    @twahachano2559 4 роки тому

    hapo.kwa sumuni.safi.mkongwe huyo

  • @isaacsengunda3099
    @isaacsengunda3099 4 роки тому

    Sasa unawapenda kweli,lakini sasa wanakukomesha,sio kila kizuri unacho kiona kizurii sio kinafaa kwa matumizi.

    • @ernestkimaya5124
      @ernestkimaya5124 4 роки тому

      Zile nyimbo zote za kwako zirudie upya bado zipo moto.

  • @fatmahchambo3131
    @fatmahchambo3131 4 роки тому

    Dah hazeeki huyu jamaa

  • @sabrinaislam4200
    @sabrinaislam4200 4 роки тому +2

    Huyu sio video ža ngono Aližosingižiw ngwajima mbona kafanana

    • @chaulairinga624
      @chaulairinga624 4 роки тому

      Rudi kaka kipaji unacho cha kutosha tunakumiss

  • @rajabmlau1668
    @rajabmlau1668 4 роки тому +1

    Muumin nakukubal ninandoto one day tuonane

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 4 роки тому

    Bora hata aliondoka maana atakuwa amekuepushia maradhi

  • @alexmwalingo5120
    @alexmwalingo5120 4 роки тому

    Muumini mwinjuma ama umepotea mpaka tumekusahau du jamani

  • @meedaafarai9677
    @meedaafarai9677 4 роки тому +1

    Nice

  • @georgemaduga2406
    @georgemaduga2406 3 роки тому

    Mgumba Sasa amezaa ..mkulima kala mbegu

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 4 роки тому

    Bado anaonekana kijana

  • @mercyemmanuel8536
    @mercyemmanuel8536 4 роки тому +2

    Rudi swahiba...

  • @mamarose4693
    @mamarose4693 4 роки тому +1

    Ludi mwijuma

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 4 роки тому

    Baba Mwalami

  • @zenaliumba4385
    @zenaliumba4385 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @alexkalonga3632
    @alexkalonga3632 4 роки тому

    Uchawi tu

  • @othmanhaji1832
    @othmanhaji1832 4 роки тому

    Acha mambo ya kuimba wewe. Rudi kwa Mola wako, muda bado unao

    • @constantineclement8990
      @constantineclement8990 4 роки тому

      Othman Haji Mziki ni kipaji na kazi alichopewa na Mola wake, unataka aache mziki ili afanye kazi gani ndugu! Na familia itaishije?

    • @othmanhaji1832
      @othmanhaji1832 4 роки тому

      @@constantineclement8990 Afanye kazi nyengine iliyohalalishwa na Mungu wake. Kuimba kumeharamishwa na Mungu wake na kipato chochote kinachotokana na kilichoharamishwa nacho huwa haramu. Mungu wake huyo ndie aliyechukua dhamana ya kumlisha yeye na familia yake. Yeye wajibu wake atafute njia halali tu za kupata riziki yake.
      Muumini ni Muislamu, anafahamu niliyoyasema kuwa ndio mafundisho ya Dini yake.

  • @shomarisangari6357
    @shomarisangari6357 4 роки тому

    Ukirudi kwenye gemu hakuakikishia akuja kusapoti.

  • @mimiapa8436
    @mimiapa8436 4 роки тому

    Duuu

  • @eliankya3272
    @eliankya3272 4 роки тому +2

    Sema ukweli dawa zimeisha nguvu

  • @julianamohamed1052
    @julianamohamed1052 3 роки тому

    Mungu mwema utulie sasa na mke mmoja