KIMENUKA HAMISA MOBETTO NA MPENZI WAKE KEVIN WATOA MSAADA WA M 1 WACHEKWA ANUNUA JUMBA LA KIFAHALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 Рік тому

    Kwa kweli mm nimeshanga kwa hiyo pesa na wandishi kuitwa bora mngefanya siri duhhh lakini tuseme alhamdulilah allah awape afya wagonjwa wote

  • @angekamataliw5067
    @angekamataliw5067 Рік тому

    Hamisa hongera yako kwa moyo waupend ,usiwaskiliz wtu sisi watanzania htuna shkulan

  • @rebeccawilson6232
    @rebeccawilson6232 Рік тому

    Hao wanao cheka hakili hawana

  • @elizabethjeremiah8323
    @elizabethjeremiah8323 Рік тому

    Umevaa kwa heshima had raha

  • @asilabalarab6087
    @asilabalarab6087 Рік тому +3

    Muhimu katoa chochote

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 Рік тому +3

    Wanao Cheka ni wajinga Kwani wao walijalibu hata kutoa Hiyo pesa

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 Рік тому +2

    Ye ametoa kile alichojaliwa

  • @kaboyiimmaculate4129
    @kaboyiimmaculate4129 Рік тому

    Naomba mkae wote

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 Рік тому

    Chochote kidogo kutoa kwa msaada Mungu anakupa thawabu

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 Рік тому +1

    Achawongo kijana unenepe 😂😂😂😂

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Рік тому

    Mke kivipi din tofaut

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Рік тому

    Hii ksli mtu anstoa msaada wacheka kuweni wazalendo pls kutoa moyo sio utajiri

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 Рік тому

    Kerbung sio mkongo Ni mganga anaongea kifaransa please sio mkongo narudia ni mganga Acheni wivu huyo shoga alishaenda muhimbili kutoa msaada🤮🤮🤮🤮🤑🤑🤮🤮🤮

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 Рік тому

    Vp nawale wanatoa vijuis na biskut Bora yupi

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 Рік тому

    Kabisa kwa hadhi yake naya huyo shemela wamrzingu 1ml hapana kwa kweli.

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 Рік тому

      Ndicho alichojaliwa ni bora hailingani na kutotoa kabisa

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 Рік тому

    Kabisa kwa hadhi yake naya huyo shemela wamrzingu 1ml hapana kwa kweli.