Mke Wangu Yuko Sawa Yuko Salama, Jana Watu Wameona (Joel Lwaga)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    UA-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2021

КОМЕНТАРІ • 20

  • @samsonchitalika9670
    @samsonchitalika9670 3 роки тому +13

    Mbarikiwe kwa kazi njema ya MUNGU. Nyinyi ni barua wengine wanawasoma.Niwakumbushe tu ni vyema mkavaa pete zenu za ndoa wakati wote maana mliapa kanisani na mlivalishana na wenza wenu kama ishara ya ahadi kati yenu.kutokuvaa hutia mashaka na kuleta maswali ndani ya vichwa vya watu,tuwakilisheni vyema.

  • @asmahussein2779
    @asmahussein2779 3 роки тому +7

    Kipenzi cha moyo wangu Joel Mungu akuweke wewe na familia yako na awape furaha yakudum pamoja na mke wako PEACE jua tuu nyimbo zako zinani bariki sana👏👏👏👏

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 3 роки тому +5

    Mungu azidi kukuinua katika uimbaji wako

  • @kezaalain1596
    @kezaalain1596 2 роки тому

    Joel nashuru Sana kusikia interview yako mungu aingie mu music yako ,I like your songs even I used to sing them

  • @roselinehongerasanabrooali7156
    @roselinehongerasanabrooali7156 3 роки тому +2

    Mungu akubariki Sana Joel unanibariki na wimbo wako umejua kunifurahisha ulifanya my Hubby akaokoka na anakufatilia Sana big up brother 🙏🏾🙏🏾💪🏽💪🏽💪🏽

  • @kelvinngamilaga4962
    @kelvinngamilaga4962 3 роки тому +1

    Best Interview EVER From Joel Lwaga...💪

  • @nellukay7194
    @nellukay7194 3 роки тому +1

    Umejaliwa hekima ya kiMungu...barikiwa sana and keep it up mwanangu

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 3 роки тому

    Barikwa sana mtumishi wa Mungu Joel

  • @linahcharles3981
    @linahcharles3981 3 роки тому

    Joel ur such a humble Man congratulations 🙏

  • @benadethakibinga2393
    @benadethakibinga2393 3 роки тому +1

    More appreciation to you kaka Joel

  • @giftmollel7788
    @giftmollel7788 3 роки тому +1

    Joel Mungu akuzidishe mno

  • @glorytoGod639
    @glorytoGod639 3 роки тому

    Ukiimba nyimbo za kuabudu ztanoga sana,

  • @christophermsapuka5451
    @christophermsapuka5451 3 роки тому

    Barikiwa sana mtumishi

  • @praygodmtera9907
    @praygodmtera9907 3 роки тому

    Amen big bro

  • @chazyshadrack2558
    @chazyshadrack2558 3 роки тому +1

    hongera sana mtumishi

  • @kulwabanga4807
    @kulwabanga4807 3 роки тому

    👏👏👏💕

  • @mathieuclaude7146
    @mathieuclaude7146 3 роки тому

    Mbona aujataja mtu wa Congo ambaye umefanya naye collaboration

  • @theofrida
    @theofrida 3 роки тому +1

    Glory be to GOD

  • @salvashaban9194
    @salvashaban9194 3 роки тому

    From 🇳🇬

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 3 роки тому

    Tulia basi kwenye kiti