Ya Allah kwa uwezo wako inshaallah nakuomba fungua biashara yetu na wateja. Waingie kwa uwezo wako. Maisha yetu yanategemea biashara tutafany bila kuuza,kutoka kapa kwa jina lako Mwenyezi Mungu naomba fungua biashara yetu. Ameen🙏🙏🙏
Yaa Allah jaaaliya kheri nyingi kwa dada Alfone bint abdulqadir na jaanliaya na mashamba yetu yapate wateja pamoja na kupata wateja wengi katika biashara yangu ya duka amin
Amiin kupitia dua hii nakuomba MWENYEZI MUNGU nami inifikie na nipate majibu kutoka kwako ya Allah na iwe Kinga kwenye biashara yang nipate watejA wengi zaidi Kama zamani amiini
eee mwenyez munguvnijaalie kher na baracka tela katika maisha yangu nifungulie milango ya ridhik kwa kila nifanyacho nifanyie wepesi katika biashara zangu nipate wateja wengi kwa uwezo wako inshaaarah alaah akbar
Jamaniii Allahu Akbar, Allah ni Mkubwa kuliko wakubwa wengine nimefanikiwa mimi kupitia dua hii japo ya asbabi maana muwezeshaji ni mwenye Allah (S.W) nashkuru. Allah
Allah subhana wataala awa fungulie riziki ndugu zetu wote wa imaan allahuma amin . Allah awajaalie uwepesi katika magumu sie pamoja na masheikhe wetu wote allahuma amin . Allahuma salih ala saydana muhamad .
Subhannallah mwenye anajua nifatizia hichi kisomo Cha biashara lkn Leo siku ya pili allihamdullih kunakitu kizito wakti Niko Kwa hicho kisomo kimenidunga kifuani mwangu n aniuchungi kama kwamba kinatoka kama dakoka 10 hivi manake ni nn
Assalamualaikum warahamatulah wabaraka mashalah Mimi Niko mashariki Trukana mwa Kenya naomba munisaidie duwa Niko na biashara changa kwa majina Yusuf Abdirahamani chedi
asalam aleykum warahamatullah wabarakatuh allah azidishiye kilalakkeri naawajalie mwishomwema na awazidishiye mapenzi yakweli naitwa abudu yunusu mayaja nimefurahi kupitia kipndichenu naomba muniombee dua ya byashara yangu allah aniletee wateja nimewapendasana
Allah atufungulie riziki biashara yetu wateja wawe wengi Amen
ya Allah nkuomba utufugulie mlango wa keri waislamu wote in sha allah kupitia dua hii
Amin Allah atufanyie wepesi nyumba yangu ipate mpangaji mzuri asiye msumbufu. Allah anifungulie biashara zangu zifungule Amin.
Allah kupitia dua hii nakuomba MOLA wangu nifungulie biashara yangu ninayo uza iwe nyepesi niuze
Ya Allah kwa uwezo wako inshaallah nakuomba fungua biashara yetu na wateja. Waingie kwa uwezo wako. Maisha yetu yanategemea biashara tutafany bila kuuza,kutoka kapa kwa jina lako Mwenyezi Mungu naomba fungua biashara yetu. Ameen🙏🙏🙏
Yaarabi nakuomba utufungulie milango ya rizikikupitia dua hii aamin aamin
Allah atupe wepesi na sisi ambae tunaosikili duwaa hii
Yaa Allah jaaaliya kheri nyingi kwa dada Alfone bint abdulqadir na jaanliaya na mashamba yetu yapate wateja pamoja na kupata wateja wengi katika biashara yangu ya duka amin
Allahumma Aamin Yarab nakuomba unifanyie wepesi ktk biashara yangu kupitia dua hii
Alhamdulillah nimeuza kiwanja nilichokaa nacho zaidi ya mwaka niliposiiiliza hii dua haijapita wiki nimekiuza
Aslm Alykum niombe Dua nimeanza biashara kidogo mungu anijaalie nifaulu
@@SarahAbdi-v2cAllah akufanyie wepesi
Alah tufanye wepesi katika biashara zetu kwa dua zinazosomwa amina
Amiin Allah nifungulie biashara YANGU iuzike kupitia Dua hii.Amin
Amina mwenyezimungu kupitia Dua hii naomba unifanyie wepesi ktk biashara zangu na riziki zangu nijaalie nuru
Bismilah,yarabi nifanyie wepesi kwa dua yako maalum,iwe sababu kujivua na husda ninazopitia kutoka kwa mtu ninayemfahamu
Nashukuru mungu sana dua hii ninzuri sana
Amiin kupitia dua hii nakuomba MWENYEZI MUNGU nami inifikie na nipate majibu kutoka kwako ya Allah na iwe Kinga kwenye biashara yang nipate watejA wengi zaidi Kama zamani amiini
Allahu Akbar🙏Asante sana shekh Dua zako hakika zinajibu mashallah
Allah akufanye wepsi 😢
Yarabi nakuomba nifungulie rizki ya halali na unijaalie nifanikishe ndoto zangu amiina yarabi
Yaa Allah naomba unifungulie milango yangu yote ya rizik aamin🙏
eee mwenyez munguvnijaalie kher na baracka tela katika maisha yangu nifungulie milango ya ridhik kwa kila nifanyacho nifanyie wepesi katika biashara zangu nipate wateja wengi kwa uwezo wako inshaaarah alaah akbar
Tunashukuru kwaduahi ishaalla munguawazidindiye umlimrefuu
Yaa Allah nami nakuomba unifungulie milango yalizki kupitia dua hii Aamin aamin
mungu nifanyie wepes ktk utafutaji wangu
Aameen yaraab Allah ameen 🙏 8:01
Allah anifanyie wepesi katika biashara yangu
Jamaniii Allahu Akbar, Allah ni Mkubwa kuliko wakubwa wengine nimefanikiwa mimi kupitia dua hii japo ya asbabi maana muwezeshaji ni mwenye Allah (S.W) nashkuru. Allah
Inshaallah hakika Allah hana mshirika
namuonba mungu aibariki nyota yangu amin
yarabby tujalie na sisi tunavouza vitokee
Allhamdullaah Allaah awaongoze ktk dini yakisilamu awazidishie elim nauFaham na baraka nyngi ktk kaz zenu awandalie pepon Fili daus
Allah nifanyie wepes katika utafutaji wang wa rizik
Allah subhana wataala awa fungulie riziki ndugu zetu wote wa imaan allahuma amin . Allah awajaalie uwepesi katika magumu sie pamoja na masheikhe wetu wote allahuma amin . Allahuma salih ala saydana muhamad .
Allah anifayie wepesi ktk biashara yangu
Subhannallah mwenye anajua nifatizia hichi kisomo Cha biashara lkn Leo siku ya pili allihamdullih kunakitu kizito wakti Niko Kwa hicho kisomo kimenidunga kifuani mwangu n aniuchungi kama kwamba kinatoka kama dakoka 10 hivi manake ni nn
Mimi zainabu naomba Allah anifanyie wepesi niuze nyumba yangu
Ya Allah kupitia dua hii nijaalie kila la kheri na nifungulie rizki zangu na unikunjulie biashara zangu biidhnillah
Yarabi naomba nifunguliwe milango ya ridhiki yangu kupitia dua hii biashara zangu zifunguke kupitia dua zako Allah subuana wataara
Mimi Niko Mombasa Niko na duka wateja hawapo Tena naomba mnifunike na dua hii nipate wateja
Asalam alhamdulilahi Allah awape kheri kwa nia zenu nzuri. Jee waweza kujisomea mwenyewe kupitia kwenye clip yenu ya tube
Yarab nifanyie wepesi kwenye Biashara yangu
Alhamdulillah siku ya jana baada ya kuisikiliza hii dua nilipata ridhki na biashara ilikua nzurii.
Assalamualaikum warahamatulah wabaraka mashalah Mimi Niko mashariki Trukana mwa Kenya naomba munisaidie duwa Niko na biashara changa kwa majina Yusuf Abdirahamani chedi
Allah tunakuomb utufny weps tuuze
asalam aleykum warahamatullah wabarakatuh allah azidishiye kilalakkeri naawajalie mwishomwema na awazidishiye mapenzi yakweli naitwa abudu yunusu mayaja nimefurahi kupitia kipndichenu naomba muniombee dua ya byashara yangu allah aniletee wateja nimewapendasana
yani shekhe yusufu diwani allah akuzidishiye afiy naakuluzuqu nneema nyingi
nikouganda
Ameen ya Allah nifaulishe kupitia hii dua inshaallah
Ya aalh tufanyie wepes katik biashara zetu
Alhaa nifungulie biashara zangu ziuzike araka
Masha Allah mola akulipe kheri
Kupitia dua hii yarabh nifungulie biashara tang 😢
Mashaallah jzka Allah kheri
Ee mwenyez mungu kupitia dua hiii nina kuomba uwe kunifanikishia kila jambo langu lenye kuniletea mafanikio liwe jepesi amina
Amin Amin Mwenyezi MUNGU apokee duwa zetu
AAMIIN,AAMIiN, YARABIIY......
Mashaa Allah name piya naitaji kusomewa kwenye biashara yangu
Ameen yarabb🤲
Amina yaa Rabbbinaalamin
Asalaam Aleikum warahmatulah wabarakatuh munifanyie Dua kwa chote niyalo
AMEEN THUMA AMEEN
Duwa sawa maana tunamuomba Allah sio dawa
Wacha kuleta inadi zako hapa
Amin Allah nifanyie wepesi katika bishara yangu na katika kazi zangu
Alla awalipe ujira wenu Mimi naomba mnisomehe nahitaji watoto inshaalla Allah atupe hitaji letu
Inshaa Allaah tumai ushapata hitajo lako,Kama bado naomba nitafute
Mashallah Allah atuongoze inshallah 🙏
Mimi pia nahitaji duaa jamani Allaah atufanyie wepesi kwa wote
Allaah atufanyie wepesi
Aamiin Yarrabil Aalamiin
Mashaa Allah ! Mashaa Allah ! Mashaa Allah !
Amina yarabillaalamina atufungulie milango ya rizik
Aamin yaa rabbal,aalamiin
Aminaa Raabilaalaminaa
Mashallah Ameen InShaaAllah
Jazakallah khayra
Mashaallah
Niwafatilia kutoka moçambique
Assalam alykum Naomba no zenu maana na mm Nina shida
Someni kwa ajili ya watu wote na si kwa mtu mmoja
Ameen
Amin
Ameen yaarabi 🙏
Amine yaroibi
Amiiin
Ameen yaaarab
Pia mimi clients wangu warudi,,walio potea,,.na pesa mingi
Ikiwa aujuwi kusoma?
Amen
Ameen Ameen Ameen tuma ameen
Amin ya rab alamin
Amina
Amiin Rabila'Alamin Amiin.
Allahuma amin allahuma amin allahuma amin
Amina
Aamin aamin aamin
Amiin thumma Amiin
Amiin Amiin
Amiin tuwapata wap
Daunilodi
🙏🏽
Mashallaah
Amiin rabbiil amiin
Haleluyaa eimen tuombe kwajina layesu kristo
M
Ameen Ya Rabb Ameen Thuma Ameen
Ameen Thuma Ameen
Mashallah nami naomba nufanyie duwa ya biashara na pia kupata kazi inshaallah
Vvgggggb
Amina mwenyezimungu kupitia Dua hii naomba unifanyie wepesi ktk biashara zangu na riziki zangu nijaalie nuru
Ameen
Amiii
Amiiin
Amin
Amen
Amina
AMINA YARABI