Wacha tunywe mtori Nyama tutazikuta chini....Thanks Ankojay, story tam sana .hasa ikisimuliwa na ww... Thanks pia mtu Lisa Mwalla kwa utunzi wako mahiri Haya!..... nasubiri fainali licha ya mapito yote hayo ya CHIARA.🙏🏼❤❤❤
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿uuuuwiii huyu sasa ndo Rafiki wa kaka mtu jmn maskini mtt wa watu mbona hivyo,,ever in my life I will never trust anyone chini ya hili jua 😢😢😢
Mmmmh walahi storry imenisikitisha usimuamini mtu yaani yule rafiki mkubwa kaka yake ndio amfanyie hivyo chiara dah😢😢😢 nasubili kisasi kwa huyo mb wa ila mapenzi ni mapenzi tu na hisi watarudiana na mpenzi wake❤....asante anko jay
Leo nimekua wa 13 😢😢maonevu haya 😂😂Ahsante Anko jay kwa muendelezo wa simulizi yetu nzuri bila kumsahau mwandishi wetu mahiri BABY GIRL LISSA MWALA ❤❤❤
Eheee mbona sasa Chiara ndo anakata tiketi ya kupotea??,,,marafiki wa aina hii kwangu miee ni wa kukaa mbali nao kabisaa,,huo urafiki upi wa kushauri mwenzio atafute mwanaume wa kumliwa??apana nooo tena big noo 😏😏😏😏 sijapenda kweli
marafiki ni wanafiki sana yani unamkuta mtu na mwanaume wako alafu anakunyari na anakuchamba juu 😂😂 wanaume ni nyoko sana yn ukisema utulie na mtu mmoja ss unaonekana mjingaaa anakupanda mbk kichwani 😅😅
Part 03 yake bonyeza hapa ua-cam.com/video/k2NxidhjPM4/v-deo.html
🫂🫂🥚🫂
Nzuri
Kwakweli mtunzi na msimulizi wapo vizuri mnoo yaan vistory vitam balaa.
Wacha tunywe mtori Nyama tutazikuta chini....Thanks Ankojay, story tam sana .hasa ikisimuliwa na ww...
Thanks pia mtu Lisa Mwalla kwa utunzi wako mahiri
Haya!..... nasubiri fainali licha ya mapito yote hayo ya CHIARA.🙏🏼❤❤❤
Kazi nzuri sa
Na
A
Niko ja
Y
Duuuu,Chiara,mazito sana yaliyokukuta
Lissa simulizi zako ni nzuri sana nakupenda dada
Asante mpnz nakupenda pia
Nasubiri kwa hamu sana Chiara sehemu ya tatu Anko J umetishaa
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿uuuuwiii huyu sasa ndo Rafiki wa kaka mtu jmn maskini mtt wa watu mbona hivyo,,ever in my life I will never trust anyone chini ya hili jua 😢😢😢
Asante anko jey simulizi tamu ❤❤❤mapezi haya daah 😂😂😂😂
Mmmmh walahi storry imenisikitisha usimuamini mtu yaani yule rafiki mkubwa kaka yake ndio amfanyie hivyo chiara dah😢😢😢 nasubili kisasi kwa huyo mb
wa ila mapenzi ni mapenzi tu na hisi watarudiana na mpenzi wake❤....asante anko jay
Mmmmh,binadamu wabaya sana
Ubarikiwe sana kaka yetu kwa kazi nzuri mungu azidi kubaki na wewe daima twakupenda sana wadauu wako shabiki
Pombe kama hixo bora uachane naxo lkn huyu jama sio kweli anajitoa ufahamu tuuu.halafu anarohoo mbayaa unabaka hayaa amekusamehee lkn bado unamfanyia unyama
Wakwanza naomba lake zenu,n sio ombi hii n lazma😅😅
Safi 😊
Waoo! Bonge la story mnatufundisha sana
Anko j hongera Kwa muendelezo
Anko j story ni zuri ila nimemhurumia sana chiara nimelia sana😢😢😢
Asante Anko. Natalia itolee move
Asante Lhasa n.a. anko j ❤❤❤❤❤
mashaallah.😊, nzur nimepend kaz nzur broo and author we2
Hi Lissa Mwalla?Jameni wa 1 naomba link zenu❤ Yan AnkoJay asante Acha 🪑🎧
Safi 🎉🎉🎉
Anko jamni mbn me unisikilizi miss Abby part 3 iko wapi
@@angelantinda1009alisema mwandishi hajamaliza hiyo part 3 Ila itakuja akimaliza dear
@@angelantinda1009qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq
❤❤❤❤
Nimechelewa daah LISSA MWALLA simulizi tamuuu 🥰🥰yaani tunainjoi tuu❤🥰
❤
Nataka chiara part 1
Asante ankooo ngoja nijimalizie Bando mie na utamuuu
Ni nzuri sana ❤
Nawasha sm nakutana na chiara mweeh 🤸🤸🤸
Enjoy 😊🎉
Mungu akubariki anko j
Wewe Sharon kumbuka nyama mbili haziliki na mshika mawili moja humponyoka ..chiara nakuonea huruma dadaangu 😢
Asante daa Lisa mwqlq na uncle jy mungu awabariki sn vipaji vyenu vimarike nawqpendq sn
Ameen ❤
Sauti ya anko j ni nomumaaa
Nimewahi leo
Makubwa hayo kubakwa tena pole kai mjinga sanaaa
Anko pambe jmn nilijua itachelewa asanteh
Leo nimekua wa 13 😢😢maonevu haya 😂😂Ahsante Anko jay kwa muendelezo wa simulizi yetu nzuri bila kumsahau mwandishi wetu mahiri BABY GIRL LISSA MWALA ❤❤❤
Dah wanaume 😭😭😭😭🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Anojay pamoja❤
Shukran anko na da lisa kwa muendelezo wa chiaara
Shukran Sana Ankojay ❤❤🎉🎉🎉❤
YoTe yapite lkn kubàkwa ni karibu ya kifo hakika tena na watu zaidi ya mmoja
Nimefika lakini Nimefika kuchelewa, ila si saaana
Anko J yaani simulizi zote nzuri mwaaaaa😘❤
Leo wa tatu laki zang ankoj
😊 Enjoy
Sjachelewa San jmn
Asante anko jay
Uchungu wa mama haujuaye mama😢😢😢😢
Shukran habibty Lisa mwala ubarikiwe mno
Hiii simulizi ninomaa aisee daah
Simulizi nzuri yenye mafuzo
Aisee nimechelewa 😢😅😅 😊😊
Anko j vip simulizi y storm dhoruba mbn hutumalizii
Eheee mbona sasa Chiara ndo anakata tiketi ya kupotea??,,,marafiki wa aina hii kwangu miee ni wa kukaa mbali nao kabisaa,,huo urafiki upi wa kushauri mwenzio atafute mwanaume wa kumliwa??apana nooo tena big noo 😏😏😏😏 sijapenda kweli
Very stor so ❤❤
Ank j asant simuliz nzul 🌷🌷🌷
Thanks for the lovely store ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Leo nimejaribu kukuja mapema
❤❤❤❤anko ❤❤❤lisa
Wa kwanza leo❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤😂😂🎉🎉🎉🎉
Leo nimewahi mapema Sana ndani ya simulizi pendwa kabisa
marafiki ni wanafiki sana yani unamkuta mtu na mwanaume wako alafu anakunyari na anakuchamba juu 😂😂 wanaume ni nyoko sana yn ukisema utulie na mtu mmoja ss unaonekana mjingaaa anakupanda mbk kichwani 😅😅
Wakwanza vile like zenu jamani
Wow nimekua wakwanza❤❤❤❤
Safi 🎉
@@ankojay_ ok God bless you
Asante anko jey
Thanks alot Ankojay 🙏❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ndani ya simulizi mix
Leo nimewai jamani 😅😅
Thanks kwa mwendelezo
Thanks alot anko God bless you abundantly ❤❤❤
Thank you too😊
@@ankojay_ always welcome, unaumwa maana sauti yako kidogo imebadilika ni kama MTU ambaye ana homa ivi
Thanks Anko J. What of miss Abby?
Nimewahi jamani
Asante anko jay we love you
Daaaa hismuliz inaumiza tena san 😢😢😢
Asante Anko j ❤❤❤❤
Mama ni mama jmn weeee
Pole sana chiara
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nimefika 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Thanks🔥🔥🔥
😊😊😊
Khaaa kwani kakuoa! ondoka hapo uteseke kisa nini mshenzi anakudhalilisha kisanini
😂Aiseee kumbe 😢
Asante ankojay ❤❤❤❤
Jamani kila nikijaribu kuwa wakwanza mnakuwa speed 😂😂
Hata kama alifika kama unaakili move on jifinze kupitia makosa
Kabisa
Wee bint domo lako zege uko kwenu unasaidiwa kupiga kelele.😂😂😂
Thanks
Mambo nimotoooo
Nichelewa lakini nifurahi
Nimewahi naomba like zenu vipenzi ❤
Safi 👏👏👏
Ankojay ❤❤❤❤
@@ankojay_ shukran anko wetu
❤❤❤😂😂🎉🎉
Aaaah jamani nimekuwa wa 14 😂ni mewaiiiiiiiiiioo❤
Asante sana anko jay 😊
Enjoy
Anko me apa unitendei haki yani miss Abby part 3 ndo ata sisikilizwi jamn week sasa
@@angelantinda1009 kasikilize mwishon part 2 ya Abby ndo utaelewa nilichosema...usipende kulaumu
@@ankojay_ Sawaa
Anko ko Abby inatoka lini uwii
Ivi kweli wewe bint mjinga kiasi gani usiye jipambania roho yako 😮
🎉🎉🎉🎉
Ila wanaume jmn
At this point naogopa wanaume 🙌
Wanaume Wana mengi aisee!😢
Me ndo wa kwanza tulieni 😂😂😂
🥰🥰🥰
❤❤❤❤❤❤❤🎉
❤❤
Kama Kuna ya 3 Chiara atayabananga 😢🤦♀️
Ni utamu tyu
Ank saut imepoa vp kaka hauko poa lakin
😂😂❤
Pole sana chiara