SIMULIZI MPYA YA HIDAYA part 01, By Ankojay

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 130

  • @issambonde1469
    @issambonde1469 Рік тому +9

    walahi anko jay unasaut nzr napnd sn simuliz unazo simuliy saut t Ina mvuto nahisia zakupenda simuliz zako so unajikuta t una miss kufatiya daaah Mungu akupe afya na umri wenye Barak a anko jay wet🙏🙏🙏

  • @jambo_safari
    @jambo_safari Рік тому +5

    Oh my. Anko Jay you remind me of my early good days in primary school. Our teacher told us this story and the song went like " pia ehh pia mama yako ni mbaya sana kanichimbia shimoni pia" the other was noah eh noah baba kaleta viatu noah moja yako moja yangu noah. These are old good moments of my memories

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di Рік тому +2

    Mbona hiyo hadhithi tulisimuliwa na Bibi tukiwa wadogo... mashallah kumbe bado ipo❤

  • @rebecamsigwa7216
    @rebecamsigwa7216 Рік тому +2

    Ankojay hii imejirudia jaman kwangu mimi nilishaisikilizaga kitambo sanna

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 Рік тому +2

    ❤❤ Asante Ankojay kwakutukosha na simulizi nzuri sana

  • @patriciakyalo3454
    @patriciakyalo3454 Рік тому +4

    Tamu sana aunt Kelly na Abdul watakuwa Tu wapenzi ❤😂 ankol jay tafadhali part 2 nangoja ❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Рік тому +3

    Mm nimekulia kijijini yani asubuhi sakumi na moja uamuke uende maji ukija fagia pika chai enda shule na hivyo kama unaenda shule beba mtungi wamaji ili lunch tym uende nayo lunch unapika kula kisha beba mtungi rudi shule jioni panda nayo .. hayo maji usifikiri niyakunwaa hapana niyakunyunyizia mboga mboga hayo ndomaisha nilikulia jumamosi shamba kama kawa mm na mdogo wangu mama pia. Mm nilikuja kuenda michezoni ashule nikiwa darasa lanane tena hivyoo nimeomba mama sana kuwa nimechukuliwa kukimbia ndoangekubali mana siku zote anakuambia chagua kuenda kwamichezo jioni ulale njaa nauamkie njaa😂😂mm mwenyewe njaa tena awee nakaa. Sasa nikawa nasema huyu mamangu VIP anatutesa lkn kumbe alikuwa akitutengezea maisha mana nguo kazi ndogo niliaza kufanya nikiwa std 5 hadi Leo huwa namshukuru mamangu RIP my mommy

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому +2

    Asante sana anko Jay kwa juhudi zako za kila siku kwa kweli bidii unayo tena sana good job congratulations 👏👏👏❤❤❤ love you 💕

  • @LonahKeziah
    @LonahKeziah Рік тому +30

    No 1 wapi likes zangu😂😂

  • @giselemauwa4477
    @giselemauwa4477 5 місяців тому +2

    ❤❤

  • @TsfighoCjkgoyy
    @TsfighoCjkgoyy Рік тому +1

    Asante ankojay kwa simulizi zko nzuri na zinamfdisho

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Рік тому +4

    From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I say thenku Ankojay let me enjoy myself😅❤❤

  • @jacklinekwamboka6245
    @jacklinekwamboka6245 Рік тому +1

    Hidaya mtoto mzuri ❤❤❤❤❤❤nilijelewa laki nimepata kitu dio namalisia❤❤❤❤❤

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 Рік тому +2

    Asante Anko jy akini nimechelewa mimi .ila nimeipenda sana

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani Рік тому +1

    ❤mashallah anko Jay tupo tusikilize hidaya kitu kipya kitakuwa kitanu maana ujawai kufeli

  • @aminah9557
    @aminah9557 Рік тому +3

    Jamani nyiee watu hamlali 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @mwanamksisoppah9325
    @mwanamksisoppah9325 8 місяців тому +2

    Dhoo hidaya good girl❤

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 10 місяців тому +1

    Asante sana Ankojay

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Рік тому +1

    Ni hadithi ndani ya hadithi asante sana mr anko jay❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Рік тому +2

    Waoooooooooooh nimejuwa kuwahi mashabiki tupo kama wote 💞💞💞💞💞

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 Рік тому +1

    Sijachelewa sana hâta mim😂😂thx sana Anko j❤❤

  • @JNW1234
    @JNW1234 Рік тому +1

    This the second time for me listening to this story.

  • @issanuru9552
    @issanuru9552 Рік тому +1

    Jamani nafikiri nimesahau kumbe kuna watu wamelala huku haswaa😂😂😂😂 asante anko jay ❤❤

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m Рік тому +2

    Yan kuogopa kulima Mie kabisaaaaahuyu nikatimkia mjini

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 Рік тому +1

    Cammie,Cammie,Cammie, haya twende nalo wana ankojay simulizi pamoja sanaaaa

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 2 місяці тому +1

    Wangapi tumeboeka twasikiza simulizi za zamani😅🙌🙌

  • @LetisiaWilliammanyama
    @LetisiaWilliammanyama Рік тому +5

    Mzigo mpya huu akojay tuletee miss Abby

  • @violetmulya
    @violetmulya Рік тому +1

    Anko tunaisubiri sehemu ya pili kwa hamu ni taaaamu balaaa❤

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Рік тому +2

    Ni wa kwanzaa thanks Ankoj ❤❤❤😂😂🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому +3

    Sina la kusema zaidi ya kuwashukuru sana kwa moyo wa dhati kutoka moyoni mwangu ubarikiwe sana na na wapenda sana anko Jay na timu yote anko Jay family simulizi be blessed all

  • @kevenkeven7381
    @kevenkeven7381 Рік тому +1

    Jamaninimecelewa ankojay 😊

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +1

    JAMANIII HIDAYA ankojay kafanini tena 😮 nasikiliza ili nijuwe anabara gani ili tujifunze kitu kupitia HIDAYA❤

  • @dorocasndunge1829
    @dorocasndunge1829 Рік тому +1

    Nakuaminia anko jay asante sana

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 Рік тому +2

    Hiy nko jay thanks❤❤❤❤❤❤❤

  • @babynaadegirl
    @babynaadegirl 4 місяці тому

    Congratulations anko jay

  • @ShukuraniMapunda-lz3un
    @ShukuraniMapunda-lz3un Рік тому +2

    Chiara 4

  • @sawamisawami6766
    @sawamisawami6766 Рік тому +1

    Asante ankp j❤❤❤❤

  • @RevoKilomo
    @RevoKilomo Рік тому +2

    Daha mmenioumbusha mbali

  • @popod177
    @popod177 Рік тому +3

    Thanks jay for keeping us busy..pray for us,Kenyans tunaomboleza...

    • @ashamenza2212
      @ashamenza2212 Рік тому

      Tuko pamoja dear am a Kenyan citizen tuomboleze uku tukienyoy

    • @popod177
      @popod177 Рік тому

      @@ashamenza2212 ndio

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 11 місяців тому +1

    ❤🎉🎉🎉🎉

  • @estherimbotsi7553
    @estherimbotsi7553 Рік тому +1

    ASANTE ankojay ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 7 місяців тому +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Fatum112
    @Fatum112 Рік тому +1

    Anko ❤ jamani tuna enjoy aswaa😂i ❤you

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Рік тому +1

    Asante sana my brother from another mother

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Рік тому +1

    Nilikua naota nasikiliza simulizi 😂😂😂😂 kushtuka tu nikaingia UA-cam nakutana na kigongo kipya cha HIDAYA😅😅😅😅Ahsante Anko jay 😊wacha nisikilize sasa

  • @shaklamwai7868
    @shaklamwai7868 Рік тому +1

    Asante ankojay ❤❤❤❤

  • @fatmakhalifa2598
    @fatmakhalifa2598 Рік тому +2

    4

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Рік тому +2

    Inafundisha
    1. mama wa kambo si mama.
    Tend wema nenda zoko.
    3.majuto ni mjukuu

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh Рік тому +1

    Asante sana Anck jy

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz Рік тому +1

    Sina la kusema 😂😂😂😂😂anko jay nimefurahi sana nimecheka sana eti mpira umepinga kisilani 😢😢

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Рік тому +4

    Niko ndaaani kaa mimba..waiting to learn something new...thanks Anko❤❤❤❤❤❤

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 Рік тому +1

    Waooo❤

  • @luizerndayanse6214
    @luizerndayanse6214 Рік тому +1

    Ank jay naomba namba zako ninashida na ww samahani lakini kwa usumbumbufu, natamani na mmi niwafunze watu jambo

  • @SaumuMwajambo-zf6fu
    @SaumuMwajambo-zf6fu Рік тому +1

    Sehemu ya pili ipo kwel

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 Рік тому +1

    nitarudi baadae wacha nisikilize kwanza ❤

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn Рік тому +1

    👏

  • @neemacharokiwa1200
    @neemacharokiwa1200 Рік тому +1

    Hivi ankojay mbona Natalia ya mwisho hatupati au mpaka ulipie

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 Рік тому +1

    ❤❤❤

  • @Syviahalex
    @Syviahalex Рік тому +1

    Kunani huku. Let here from hidaya

  • @safiyabenda9535
    @safiyabenda9535 Рік тому +1

    🥰🥰🥰🥰

  • @maggiesadock
    @maggiesadock Рік тому +1

    J unaniwezea kweli nimechekae sana😂😂😂😂😂

  • @VailethMasale
    @VailethMasale 5 місяців тому

    Nimechoka hapo anapobana miguu

  • @AbduhKareem-hi7sg
    @AbduhKareem-hi7sg Рік тому +1

    Nakusikiliza

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 Рік тому +1

    Jamn muna lala muki waza simulizi za ankojay jmn😅😅🎉

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 Рік тому +1

    Kama kawa ankol j❤❤

  • @HappinessHarman-nt6zc
    @HappinessHarman-nt6zc Рік тому +1

    😂😂😂😂ahaa yaani nilitamani iendelee tu anko kwasasa sibanduki kwenye simu lizi zako walahi naenjoeee

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 Рік тому +1

    Aisee mumerauka leo pia😅😊😊

  • @mariamkameesee
    @mariamkameesee Рік тому +1

    Shani we shani yaan nime cheka Ii simulizi

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov Рік тому +1

    Hi Anko Jay thanks alot 😊

  • @IreneNathan-i9m
    @IreneNathan-i9m Рік тому +1

    Anko jay u have sweet stories and educative ones

  • @fatmakhalifa2598
    @fatmakhalifa2598 Рік тому +2

    R5f

  • @Salalymjeshi
    @Salalymjeshi Рік тому +2

    Inabidi tuwe tunasikiliza kwanza kisha comments baadae au sio jamani

  • @violetmulya
    @violetmulya Рік тому +1

    Mbona Leo sijaketewa notification 😢😢😢

  • @TsfighoCjkgoyy
    @TsfighoCjkgoyy Рік тому +2

    Tupe sehmu ya pili

  • @sumeiyamaddy95
    @sumeiyamaddy95 Рік тому +1

    Akina suu hatuna Bamba Bamba👍

  • @رحيمهزيزو
    @رحيمهزيزو Рік тому +1

    Kawia ufike😂😂

  • @BijouxKikwindi
    @BijouxKikwindi Рік тому +1

    asate anko umetuletea kitukipya ashatusikilize Asante anko wetu 😂😂

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 Рік тому +1

    Atari sana hidaya kafanya nn

  • @DalinaSamweli-ji3fc
    @DalinaSamweli-ji3fc Рік тому +1

    Hello guys mumepoa tuko pamoja anko jay simulizi

  • @arafadilunga7208
    @arafadilunga7208 Рік тому +1

    Oi hidaya part 2 lini mana daah bonge la simuliz yan

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim Рік тому

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @ZainabuYahya-fu1zc
    @ZainabuYahya-fu1zc Рік тому +1

    Next please ankol☺

  • @SaumuMwajambo-zf6fu
    @SaumuMwajambo-zf6fu Рік тому +2

    Hidaya sehemu ya pili ipo

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 Рік тому +1

    Anko mambo vp jmn

  • @Rukia-pv7by
    @Rukia-pv7by Рік тому +2

    ANKO HIDAYA PART 2 TAFADHARI😭😭😭😭😭

  • @fatumamuhoma5902
    @fatumamuhoma5902 Рік тому +1

    Mmmmmmmm❤❤❤❤ 10

  • @ZainabuYahya-fu1zc
    @ZainabuYahya-fu1zc Рік тому +1

    Natalia jamn maan 2naixubil ati.

  • @fatmakhalifa2598
    @fatmakhalifa2598 Рік тому +1

    R 4

  • @Lilianarubin
    @Lilianarubin Рік тому +3

    Anko lisa mwala kapotelea wapijaman

  • @HappyMshanga-xx1ob
    @HappyMshanga-xx1ob Рік тому

    Nilienda likizo kidog ndo naludi ss😂😂

  • @حمدانالحويطي-م8ك

    tamil mnoo

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f Рік тому

    ❤❤❤❤😂

  • @stellahrobert5
    @stellahrobert5 Рік тому

    Simulizi zako nitamu ako j

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Рік тому

    Huyu kisirani kama asubuhi mbona naona kama ni baba wa hidaya nasijui kwann anamwita mjomba kuna kitu hapo

  • @irenewilfred7767
    @irenewilfred7767 Рік тому

    Jmn ivi Lisa mwalla Yuko Wap jmn

  • @mayasamayasa1205
    @mayasamayasa1205 Рік тому

    Mambo matam

  • @fatmakhalifa2598
    @fatmakhalifa2598 Рік тому

    R
    Rr

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 9 місяців тому +2

    ❤❤❤❤

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Рік тому

    ❤❤❤

  • @fatmakhalifa2598
    @fatmakhalifa2598 Рік тому

    4