Lazima vivhunguzwe vyombo vya usalama kwel hapa Tz polis wa hapa saiv sijui kwann hawako serious sana matukio yanatokea kibao yan alaf wanasema uchunguz sijui nn kupotezea mamb ya muhimu bola tu ije taasisi ya nje ya nchi
hakuna point ya maana aliyoongea polisi hawawezi jichunguza wenyewe chombo cha nje kinachunguza matukio sio vyombo vya ulinzi. Baadhi ya polisi ambao ni suspect nao wataojiwa kama wao na sio vyombo vya usalama
Lisu yupo sawa kabisa
Mzee nakukubar auzeeki
Siku Tukipata Kujua Nani Alisababisha Kifo Cha John Pombe Joseph MAGUFULI ndio tutajua hao wasiojulikana ni wakina nani..?
Kenya wameita scotlland yard mara nyingi Zembwela au sijui ndimu anataka polisi wajichunguze wenyewe!!
3:19 Wanachunguza Tukio na sio vyombo vya Dola wala vya kupikia
Lazima vivhunguzwe vyombo vya usalama kwel hapa Tz polis wa hapa saiv sijui kwann hawako serious sana matukio yanatokea kibao yan alaf wanasema uchunguz sijui nn kupotezea mamb ya muhimu bola tu ije taasisi ya nje ya nchi
Weee Zebwela hakuna kitu kibaya kama watu kuuwawa Wacha ushabiki wa kijinga hakuna kisicho wezekana
Zembwela wewe ni great thinker😂
Kenya walisha wahi kufa kipindi cha tawala ya Rais moi
Zembwela Umeongea Point Sana. ila inahitaji akili za ziada kukuelewa.
hakuna point ya maana aliyoongea polisi hawawezi jichunguza wenyewe chombo cha nje kinachunguza matukio sio vyombo vya ulinzi. Baadhi ya polisi ambao ni suspect nao wataojiwa kama wao na sio vyombo vya usalama
Wee zembwela mbna mainjinia tunawatumia
Kwan wale wafupi imeishia wap