Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Safi sana Gambo.tunaiman unaweza kufanya kazi tuliyo kutuma
Wananchi hawakumpa kura, tunakumbuka uchafuzi wa 2020 ......acha kimlambe
Unafiki tuu huo unatumia dini lwa mambo ya kinafiki
Safi kabisa uko vizuri Allah akuzidishie
Hivi kazi ya wabunge na serikali ni kumsifia Rais
Mmenongona kwanza kabla ili umpe sifa ,,lakin hakuna kitu apo
Yaani nimecheka leo mpaka mbavu zinauma
Acheni udini
Unatumia jukwaa la kidini kufanya siasa waziri usifilisike
Mambo ya znz unayaoeleka bara utakwama
Nadhani Makonda kaelewa
Sijaelewa mbona kama ni kampeni
Inamaana wapo kwenye msikiti wa ccm mbona kama kampein
Udin utatumaliza
Tanzania bara haiko hivyo dogo😊
Sasa apo sielewi mbona kama anarusha vijembe tusubirie uchaguzi
Arusha haiwakilishwi sawa sawa…
Kama ni kutesa kwa zamu sawa. Ubunge wtz ni sawa.
Amin
Kwani ni mkutano wawa islamu au sijaelewa
Ndio
Mbona kama kikao Cha ccm@@omarkapula588
Ujinga mtupu uyo jamaa ana kitu
Ana kitu. Au hana kitu. Tujitahidi kuandika Kiswahili fasaha
@zengomikomangwa9264 Asante Sana ndungu yangu kwa kunielimisha umenielewa lakini🙏🙏🙏