ACT Wazalendo inakuhamasisha kujiandikisha Uchaguzi wa SM 2019

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2019
  • Je umejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa? Muda umewadia, tutimize yale tunayoyasema ya kuwa tunataka serikali ya wananchi inayotokana na wananchi. Ni muhimu kujiandikisha - ili uweze kupiga kura
    Ni muhimu sauti yako isikike kupitia kura yako. Jiandikishe kuanzia tarehe 8 Oktoba hadi tarehe 14 Oktoba katika ofisi za mtendaji wa mtaa. Fika na kitambulisho chako cha taifa, leseni ya dereva, kitambulisho cha kazini au kitambulisho chenye jina na picha yako. JIANDIKISHE na umwambie na mwenzako
    Hakikisha haki yako ya kupiga kura haipotei. Serikali huanzia kwenye mitaa, chagua viongozi uwatakao. Chukua hatua sasa Jiandikishe sasa ili uweze kupiga kura
  • Комедії

КОМЕНТАРІ •