| MWANAMKE BOMBA | Mwanamke aliyevalia maski ya chupa kivukoni Likoni
Вставка
- Опубліковано 13 кві 2020
- Baada ya wengi kumkejeli na wengine kumhurumia kutokana na hatua yake ya kuvaa maski ya chupa katika kivuko cha Likoni, hali yake sasa imebadilika kutokana na msaada alioupta pindi picha yake iposambaa. Bila shaka wengi bado wanajiuliza mwanamke huyo ni nani na ilikuwaje mpaka akamaamua kuvaa maski hiyo ya chupa? Mwanabarai wetu francis mtalaki alipata fursa ya kuzungumza naye katika eneo la likoni anakoishi, na ifuatayo ni simulizi yake katika makala ya mwanamke bomba wiki hii.
Am always happy to see how a mum struggles and goes through ups and downs just to make sure her kids are well.i salute all the mothers in this world love from chad
Thank you
May the Lord protect you and your family
#001 Be blessed tu sana
Joho may Almighty God bless you for touching lives with your generosity
Alhamdulillah baada ya DHIKI ni faraja. Hongera sana dada usiwache kumuomba Mungu.
mashallah that Allah's plan
True
Akili ni nywele kila mtu ana zake
Hiyo ni kweli kabisa
God makes things beautiful in His own time
She is very beautiful n smart kwa akili
*God is the author of our life*
Walimcheka wengine waka muita aibu ,na hofia wenywe ndio waiona hiyo aibu sasa
*Never judge the book by it's cover,read it to understand the story*
Now she is a happy soul
I couldn't prevent my tears. .. . , Everything will be fine girl in the naime of Jesus.
She should be supported in every way. She got the funds and bought a sewing machine. This is someone who thinks progressively. And Joho is a true mark of modern politicians. Many should emulate him including Sonko..
I wish you all the best in your life mum..May God protect you and your family.. Governor 001 congratulations
Alhamdulillah mola akubariki mdogo wangu na hao waliokusaidia hiyo pesa kidogo shona mask nyingi utauza pia kwa sasa ni biashara nzuri sana watoto waache ndani peleka vituoni wakuuzie baadhi ya rafiki
Kila nyani ako na sku yake...hii ilikua ur stepping stone
Such a wise lady
She should do masks for the county
True
Amini mungu dada walio kuseka wata kusalimia kwa exima
Mama uokoke na upatie Mungu maisha yangu akutawale
God time is the bst 🙏😇
001 mungu akupe umri mrefu Sana.
Amen🙏🙏🙏
Maisha magumu kenya ana haki avae
khadija Omar hujambo
God's time is the best
Jaman kawa mzuri sasaivi alionekana kama mzee kumbe kijanaa shida mbayaaa
He best Governor in Kenya Joho.. mpole na Heshima na Muslm kamili
JEHOVAH egocithagia na nduhu agaconorithia njugi.
God has many ways of blessing.. To God be the Glory🙏
001 be blessed sana continue with that spirit.
Beautiful woman, the best is yet to come.....
Wow glory be to God🙏 God's always merciful.
Mungu akubariki mumy Mungu ni mwaminifu hutengeneza njia pasipo na njia. Yy ni mume wa wajane baba wa yatima. Hukupa usicho nacho. Dua njema tunakuombea tunakupenda pia
I thank God for our Governor. It's important to choose God fearing leaders.
wow glory to God waa
Joho 001 be blessed.
Nikiona hii najiita Tajiri....strong lady there
Maashallah Allah akujalie kila unalohitaji joho ishaaallah
God is good hata kama tuko kwa wakati mugumu
Good vision keep up mom🙏🙏🙏
mashaallah
Barikiwa sana
MashaAllah kheri inshaAllah dada
God bless you
Great
Hongera
Mungu akubariki zaidi akufungulie njia na akupe uwezo wakuji hudumia wew na family yako
God bless you mama
God bless you Gavnor joho you only need one person to favour you in this life God is good
Governor joho mungu akubariki Sana
haki joho ako na utu sana hassan joho tunakuombea mungu sana maana ako na moyo wa kusaidia
Mungu ataweza
Poa kabisa...atlst hujasema ni ngapi usije ukatolewa shingo usiku..stay safe gal
Mungu akubariki na mungu hukuja kwa kila njia jipange mama na hio pesa itafika mbali
Alaxamdulilaah maa shaa Allah may Allah protect you from the evil ayes Hasan joho
ni vyema kujituma na maisha mungu atakujalia
Wow
Mungu wa single ladies halali🤔
Wow! This is such a good ending!
Uyu bomba kweli mwingne angenunua nguo nasmu ataiyo cherehan asinge kumbuka
Smiling all the way 😁😁
Good gvn
Hongera Uko na Akili Shona Ulee Wana.
When God say yes nobody can't say no
Amin
For God to bless u can use anything.
Glory be to God
Wow 😲 wow
Many people just don't have an opportunity. Joho, may God bless yr hands. Giving someone an opportunity is the greatest gift anyone can receive. Thk you on behalf of all my brothers and sisters that are benefitting from yr goodwill
Hii nchi masking niwengi?????oh may Allah bless all of us I also salut govener my Allah give you rezgi xalali
Baada ya dhiki faraja
2017 Githeri man
2020 plastic mask women
2023 ???
Mine SONKO Prezo
My Prediction
Bring you suggestion
British Ahmed wait for more aspirants to come then you can be able to make a good decision
British Ahmed what a pity a country that rewards loosers. Ignores the hard workers and the educated ones. What a mess. This was started by Moi back in the days! Pitiful!
@@sallysarch9441 is this mother a loser or a victim of our corrupt systems?
Kali sanaaaa
@@sallysarch9441
All Will end soon these pandemic Will teach them a lesson
Kufa kufaana pole Mungu amekuona kupitia corona 😭😭😭
The girl is so composed and very beautiful than akothee and her daughters combined.she is having a Godly natural figure than Vera sidika's plasticked figure
Exactly
So true
Everyone was created in Gods image and so is beautiful in His eyes
Kweli Mungu upita na njia mingi sana
ACHENI MUNGU AITWE MUNGU
Better than nothing
Solute kenyan goverment 😎
Mungu n mkuu
AaMin
Mungu ni mwema amekufanya ukapata kuonekana na kiongozi
Alivaa chupa saabu yakujikinga ama nivile watu walikatazwa kuvuka ferry bila mask
Akili ni Mali God can make a way where there is no way ur tomorrow is better than today.
Aki ukiwa na matatizo hushindi mwenzio MUNGU mkubwa jaman
Kweli wanaume hatuna huruma , yaani kabandikwa mimba ya pili na Hali ndio hio , kweli huyu bomba . Anjilelea wanawe kivyovyote vile na kuwakinga na janga la Corona !
Hata kama Yeye no bomba kweli anajitahidi hivyo hivyo kuwalea
Salum Peter Muruthi : Mungu awasamehe wanaume coz si akili yenu kufanya hivo but Mungu ni mwaminifu anatusaidia tukiteseka na warabu tulee watoto wetu.
Joho ni mtu na utu tho hakukosi wanao mpiga vita but to be honest joho mombasa ameitendea haki kwa vitendo. Na sio maneno kama wengi tulowazoea.
Chochote ufanyacho chema Mungu atakubalikia huyu Dada amekua akifanya kazi ya Yaya iliduguyake apate agarau masomo Sasa tazama amefika Office ya mukuu wawiraya wewe bado nauko namasomuzaidiyake
Was she granted her wishes? She is wishing the kids to be educated I thought that's governments responsibility first. She needs a place to stay and a job. Government to do it part of free education
Daaa ningekuwa ningewa assist but am far from you sorry dear but men god sees you mnajua tu ku impregnate but you don't care about your responsibilities
Na huku Nairobi, maski ni za chupi.