Kuna wimbo nautafuta sijui unaitwaje wala aliyeimba simjui ila miongoni mwa mashairi yake yanasema "yailah mola wangu unusuru moyo wangu, kwani naona uchungu nionavyo vya wenzangu, hutamani viwe vyangu ijapokuwa si vyangu
Sijui ni kwa nini kaka maana kwangu unatoka vizuri kabisa lakini nikiusikiliza kwenye chombo chengine unasikika vibaya.Sababu haswa siijui na sijapata mbinu ya kutatua hili tatizo kwa sasa hivyo naomba radhi kwa dhati!
Ina sikika vzr pia naomba kama unazo nyimbo hizi kisalata wa mtaa.,hautaki kikoroboi na nyimbo zinazo fuatana na hiyo ya kikoroboi naomba uziweke maana nimezitafuta sana.
Hii nyimbo kwangu naisikia vizuri lakini kuna baadhi ya watu hawakuwa wakiisikia vizuri hivyo niliitoa na sasa nimeiweka tena.Naomba wadau mnihabarishe inasikika vipi huko tafadhalini.
Niliutoa hewani nikauweka tena lakini hili tatizo lipo!nimejaribu njia nyengine ya kuuweka hewani lakini bado!!Cha ajabu ni kwamba kwenye computer yangu unatoka vizuri kabisa:) sasa nishaurini kama upo vibaya sana basi niutoe na mnivumilie mpaka nitakapopata copy nyengine!!!
Nataka taarab 'Moyo ondoa machungu kila ulotendwa muachie Mungu '
Tulia moyo dah enzi hizo bhana ukisikia taarab ndo hiyo acha zenu taarab za walevi
Dah! Kwa sasa wimbo unasikika vyema kabisa. Shukran kaka Eddie.
Tulia moyo moyo tulia bhn 😔😔kila linalokufika moyo tulia 😴😴👂🏿👂🏿
Kuna wimbo nautafuta sijui unaitwaje wala aliyeimba simjui ila miongoni mwa mashairi yake yanasema "yailah mola wangu unusuru moyo wangu, kwani naona uchungu nionavyo vya wenzangu, hutamani viwe vyangu ijapokuwa si vyangu
Nashukuru sana kwa kutujali wadau wako. Kuna mabadiliko kiasi fulani, ila bado unasikika katika Hali ya mikwaruzo.
Sijui ni kwa nini kaka maana kwangu unatoka vizuri kabisa lakini nikiusikiliza kwenye chombo chengine unasikika vibaya.Sababu haswa siijui na sijapata mbinu ya kutatua hili tatizo kwa sasa hivyo naomba radhi kwa dhati!
ebwana long time sanaa tupe raha ikiwezekana tutupie moyo No1
Shani music watoto wa buyenzi mjini bujumbura hao
Ina sikika vzr pia naomba kama unazo nyimbo hizi kisalata wa mtaa.,hautaki kikoroboi na nyimbo zinazo fuatana na hiyo ya kikoroboi naomba uziweke maana nimezitafuta sana.
Nakumbuka zamani sanaa
moyo wangu mie kila linalonifika nimpe Mungu
siku kweli hazigandi mhh nalia na mawazo kaka eddie mbali mno
Kaka ipo poa sana. Big up.
Natamani sana nipate wimbo huu wa moyo lakini ule wa number moja
safi. sana. letevitu. vyetu asilia
Kaka eddie kwa haisikiki vizuri
Mashallah
big up brother Eddie
Ahsante mungu napata kitu roho napenda,inshaalah
Mimi niko Dammam kwangu kwa laptop naisikia vyema sana
Karibu tena Latifah
Eddie Nassor please, naomba ile ya Mandela taarab ,shoga si shoga, watoto Hawa mapasha ,vyama vingi nakupenda, n.k
Hii nyimbo kwangu naisikia vizuri lakini kuna baadhi ya watu hawakuwa wakiisikia vizuri hivyo niliitoa na sasa nimeiweka tena.Naomba wadau mnihabarishe inasikika vipi huko tafadhalini.
Usijali kaka maana ujitahidi kadri ya uwezo wako.
Eddie Nassor As aleikum bado kusikika vizuri naomba utuwekee uskike vizuri naupendasana toka nikue mdogo naupenda saaaana
ina sikika. vizuri sana kaka wuko powa
Eddie Nassor bado hatuipati vizuri
Eddie Nassor bado haiko vzuri
Tulia moyo, asante Eddie.
Deus Ngowi jama kuna nyimbo inaitwa nkulukumbi imeimbwa na watu wa bukoba inaitwaje naimba sana kwakweli hii talaabu ninzuri
mi kwangu naiskia vizuri kabsaa bila hata shida
Mimi utafikiria IPO katika maji
❤❤❤
santeee
MASHALLAH
Ni vyema usiutoe, ukipata copy nyengine ndio unaweza kuubadilisha
Si poa ...
Bado ina mikwaruzo.
Niliutoa hewani nikauweka tena lakini hili tatizo lipo!nimejaribu njia nyengine ya kuuweka hewani lakini bado!!Cha ajabu ni kwamba kwenye computer yangu unatoka vizuri kabisa:) sasa nishaurini kama upo vibaya sana basi niutoe na mnivumilie mpaka nitakapopata copy nyengine!!!
Lakini maneno yanasikika vyema, twende hivyo hivyo tu kinguvu. Asante Eddie. Moyo umepewa pole kweli humu.
Simu yako itakua na matatizo
nc