Loh! Nilitafutisha huo wimbo myaka yangu yote. Nilikuwa nayifuata kwenyi radio tv ya Burundi ila sikujuawa nani aliyeyipiga. Na kumbe ni Jasmin. John toka Bukavu DR Congo❤ ❤❤
ni siku ambayo nimefurahi kusikia huu wimbo. nimeutafuta kwa miaka miiingi sana yaani we acha tu. nilikuwa naulizia ntaupataje maana nilikuwa sijui nani alipiga . leo kama bahati
Allah ampumzishe Salama Marehemu Mama yangu.. ndio nyimbo pendwa ktk Kanda yake enzi hizo miaka ya 80.. Kila niuskiapo wimbo huu umkumbuka Yeye na Maisha yetu yote ya utotoni
Loh!
Nilitafutisha huo wimbo myaka yangu yote.
Nilikuwa nayifuata kwenyi radio tv ya Burundi ila sikujuawa nani aliyeyipiga.
Na kumbe ni Jasmin.
John toka Bukavu DR Congo❤ ❤❤
Wallah zamani ilikua raha Sana furaha amani upendo
Jamani muda umeenda wapi.....salaah inasikitisha sana nataka nirudie utotoni
Izo njoo taarab,nakukumbuka utotoni.Tusipotezi tamaduni jamani !
HAFSA YUSSUF, asante Mama yangu nyimbo zimebaki kwenye kumbukumbu.
Pendo Kazi....siyo kitoto watoto wa enzi za mkapa na jakaya watupishe
duh Nalia sana mm nkikumbuka zama hizo na wazazi now wameshatangulia mbele ya haki Allah awafanyie wepesi hisabu zao
ni siku ambayo nimefurahi kusikia huu wimbo. nimeutafuta kwa miaka miiingi sana yaani we acha tu. nilikuwa naulizia ntaupataje maana nilikuwa sijui nani alipiga . leo kama bahati
Amiin
Allah ampumzishe Salama Marehemu Mama yangu.. ndio nyimbo pendwa ktk Kanda yake enzi hizo miaka ya 80.. Kila niuskiapo wimbo huu umkumbuka Yeye na Maisha yetu yote ya utotoni
Allahumma Ameen
@@rashidmaruzouk6684😂😂😂😂😂😂
Lovely sound
nostalgie ...
Hey is there any chance buying this on a cassette?
Just download the song save in your phone USB etc