Nai : Diamond, Huwezi kuning'oa kirahisi ivo, Utafanya sana kazi!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2024
  • Tazama full interview ya Nai Official, ameongea mengi kuhusu Kudate na Diamond Platnumz, Zuchu na stori kibao!
    SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT & SHARE
    Cheza Salama, Tumia zana, jikilinde na mlinde mwenza wako, jali uzazi wa mpango, Sema kwa Sauti #SITETEREKI #ElimuNaBata
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 50

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 5 місяців тому +9

    Kwa kweli huyu mdada nimempenda saana majibu yake. Na nimependa kua anampenda na kumjali mamaake.❤🇹🇿🇴🇲

  • @stevkaliona4107
    @stevkaliona4107 5 місяців тому +9

    Wa kwanza kulike gonga like twende pamoja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RazakiMmalinda-rl3ej
    @RazakiMmalinda-rl3ej 5 місяців тому

    Nai mzuri xn 🎉❤

  • @irenematari6218
    @irenematari6218 5 місяців тому +1

    Alianza vizuri sana akaharibu hapo kwa sijawahi mxiiuuuu

  • @Duanny-jm8fr
    @Duanny-jm8fr 5 місяців тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 5 місяців тому +10

    *ukiona mtu anapima pima ukimwi kila mara huyo anacheza njia nyingi za hatari hongera sana ipo siku utalia*

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 5 місяців тому +4

      Anachokitafuta atakipata,inaonyesha anatumika sana

    • @kaykay-wu1oh
      @kaykay-wu1oh 5 місяців тому

      😂😂😂😂

  • @Kildokiza145
    @Kildokiza145 5 місяців тому +5

    SITETEREKI king 👑 of intenvien

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 5 місяців тому +7

    njo nini lily tuletee mbosso

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 5 місяців тому +2

    Ukiona demu anapimapima kila baada ya miezi mitatu ...ujue huyo ni kicheche anayependa nyama kwa nyama...lkn mwenye nia nzuri ya kuwakinga wengine ...ingawa watu wanakandia ...lkn mm nampongeza.. ila ushauri tuu atulie

  • @dainamo-tz7715
    @dainamo-tz7715 5 місяців тому +2

    Huyu anamtaka Diamond Amtake kabisaaa na Diamond anaweza kuingia pale na bila Kutoa 100🤣😁Anajishobokesha sisi tushaelewa

  • @MS.herithie
    @MS.herithie 5 місяців тому +1

    Naiyo kazi lazima ifanyike 😅😂

  • @user-rr6zh5uf9y
    @user-rr6zh5uf9y 5 місяців тому

    Ommy we miss country WIZZY here

  • @MagmaMwijuka
    @MagmaMwijuka 5 місяців тому +1

    Nai kanipa concept nyingi especially on HIV

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 5 місяців тому +1

    Ipo siku atakuja kuwa balozi wa mtu ambaye ana ishi na ukimwi 😄😃

  • @gracelisso7163
    @gracelisso7163 5 місяців тому +2

    Huyo muongo ni kwa nini uptime ukimwi una wasi wasi mwongo usituzuge

  • @naibei_Tv
    @naibei_Tv 5 місяців тому +1

    Unachokitafuta utakipata😅

  • @PhilipLusoloja-ss7qc
    @PhilipLusoloja-ss7qc 5 місяців тому +1

    Alichoniuzi nkusema hajawah kufany n hapo tuu nd nmempuuza nmemfananisha n wadada wa zenj tuu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 5 місяців тому +1

    Amekaa uchi baridi naona mimi

  • @habibamsemo6443
    @habibamsemo6443 5 місяців тому +2

    Acha uongo ww

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 5 місяців тому +1

    Keshajikanyaga

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 5 місяців тому

    Interview, 📱 na 🪭

  • @user-wy4fv9vd7w
    @user-wy4fv9vd7w 5 місяців тому +1

    asiwadanganye ana vvu ameniambukiza

  • @user-tr4sn3eb5k
    @user-tr4sn3eb5k 5 місяців тому

    Huo demu muongo, eti hajawai kutoa utelezi .weeeee sio bongo hii

  • @njuka3515
    @njuka3515 5 місяців тому +1

    Kusema kawaida you don’t care

  • @kenrifambi
    @kenrifambi 5 місяців тому

    DOP bana unachemsha, no close up ya guest

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 5 місяців тому +1

    Muongo huyo

  • @ramadhanitokwete8069
    @ramadhanitokwete8069 5 місяців тому +3

    Ukipenda kupimapima ukimwi kuna siku utaukuta

  • @nassororashidi33
    @nassororashidi33 5 місяців тому +3

    Atakipata anacho kitafuta

    • @njuka3515
      @njuka3515 5 місяців тому

      Hakuna kupata unachokitafuta ni vyema kujua Afya yako

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 5 місяців тому +5

    huyu demu mayala tu

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 5 місяців тому

    Huyu bibie mbona ana buje kwenye paja pembeni mmeliona au meliona peke yangu

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 5 місяців тому +1

    hiyo kovu vipi kwa paja ???? ALafu unavaaga vipensi

  • @chany9950
    @chany9950 5 місяців тому

    Wewe ni kacoka pyuuuu

  • @Saintplamondon
    @Saintplamondon 5 місяців тому +1

    𝑈𝑙𝑖𝑡𝑜𝑘𝑎 𝑤𝑎𝑠𝑎𝑓𝑖 ?

  • @user-tb1vf3eq2r
    @user-tb1vf3eq2r 5 місяців тому +2

    Uyo demu nimuongo sana uyo nimalaya sana sema ela ndo inamstiri na ukalibuwake na wasanii ila ukweri wewe nikicheche

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 5 місяців тому +1

    Huna atahaya ulimi unakuwa mzito kuwulizwa kutoka na simba,malaya wewe uko kijiko cha hottel unatoka na simba afu unabisha nacheko ya unafki unataka nawatu tunajuwa umbwaaaaaa wewee