UCHAMBUZI: TAIFA STARS WALICHEZA VIZURI KULIKO DRC, UBORA NDIO ULIOAMUA MATOKEO YA MCHEZO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

КОМЕНТАРІ • 7

  • @emoalembe4790
    @emoalembe4790 День тому +2

    Napenda sana wachambuzi wa Tanzania wako noma kabisa tena wana sema kweli .

  • @JumaAntónio-l1f
    @JumaAntónio-l1f День тому +2

    Kwani nyinyi mnajiachanga nyuma 🇨🇩 congo yet ni number one❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @AmisseMwenetombwe
      @AmisseMwenetombwe 18 годин тому

      Huta waweza hawa kwa Midomo. Wao wana mchezaji umoja tuu Samata na katokea Congo. Wengine wao wote wanacheza Tanzânia hapo . Kongo alishindwa kujeza na kiwango chá Tanzânia lipo chini. Kongo, anacheza vizuri na Senegal, Nigéria, Cameroon etc.... Hapana Tanzânia, Burundi , ......

  • @solomonrwabose7600
    @solomonrwabose7600 День тому +2

    Mimi ni Mkongo nakubaliana na wewe, maana huwezi linganisha hizi timu mbili kwenye viwango wachezaji wa Congo ni wazuri saana, lakini bado Tanzania inawashikilia, kwa hiyo Tanzania ilifanya vizuri na iendelee, natamani mchezo ujao iwe droo kwa vile Congo tayari wamefuzu, na Congo inapaswa kushinda michezo yote iliyosalia.

  • @dela78895
    @dela78895 2 дні тому +2

    Kiukweli taifa stars kajitaidi sana...ila wa congo walikua na cheza na zarau kwamba mda hote tuta fungatu hicho tu...ongera kwa team zote mpira ulikua mzuri kabisa

  • @TabalaTabalankoyDjouness-jh2yo
    @TabalaTabalankoyDjouness-jh2yo День тому +2

    Tulicheza na akili date 14 tutachapa Tanzania kwake

  • @christophemalipe5636
    @christophemalipe5636 12 годин тому

    Congo alitafuta alama tatu n'a Aka yapata.mengine yote ni upuuzi peke yake