Ni Wewe Pekee by Nguza Viking & Orch.Maquis(on Guitar Maestro Dekula)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 46

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 5 місяців тому +1

    Wasanii wengine walihamia mwanza wakaunda kamanyola band ,mpiga tumba , namshika sikio.Kamanyola mwanza haikuwa na mpizani

  • @dennissohera4652
    @dennissohera4652 2 роки тому +3

    I love Orchestra Maquiz, talented guy ni wewe peke, Mpenzi Luta one my favorites of the band. Love the way Maestro Daekula is plucking the guitar

  • @Pastoryeri-u7u
    @Pastoryeri-u7u 15 днів тому

    My love for this music have no match

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 5 місяців тому +1

    Safi huu wimbo

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 3 роки тому +3

    Behind the composition of this song is a big name in the music world, Nguza Viking. The life and times of this gentleman is amazing. The composition is great. Dr. Ogeto International

  • @ramadhanabas4455
    @ramadhanabas4455 4 роки тому +1

    Nyuzi bin Nyuzi. Mwanzo mwa wimbo nimemuona marehemu Nyaisanga RIP

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 3 роки тому

    Hakika vya kale ni dhahabu, Mungu awape pumziko la Amani Anko Julius Nyaisanga na Mafumu Bilali Bombenga.

  • @mhetakilemela3963
    @mhetakilemela3963 4 роки тому

    Hivi band hii ndiyo kusema haipo tena lakini ukoko wake twashiba asanteni wapishi akina Dekulla Tshimangasosa Nguza Viking. Nsolokianga na wengineo

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 3 роки тому

    Ni wewe pekee was sung by Kasaloo Katanga( pumuzika kwa Mungu) . It's a big narrative of love. The only love in one's life. Dr. Ogeto International

  • @JacobOmuduk
    @JacobOmuduk 3 місяці тому

    I like their swahili..

  • @zaitunkivuyo5627
    @zaitunkivuyo5627 2 роки тому

    Really the old is gold!!!

  • @momadendegueanli5196
    @momadendegueanli5196 3 роки тому +1

    Adoro muito este ritimo, música com raíz Africana

  • @richardgaya3965
    @richardgaya3965 3 роки тому +1

    Still sounds great and beautiful as ever!!!

  • @petermashengere42
    @petermashengere42 4 роки тому +2

    This is gold

  • @semenibugondo278
    @semenibugondo278 9 років тому +1

    Kwa kweli nyimbo hizi zinanikumbusha mbali sana, RIP Chinyama Chiyaza.

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 4 роки тому

    Enzi zetu kila ala unaisikia hutoki unacheza hutokiJasho miaka imeenda tunalea wajukuu sasa

  • @edshred2000
    @edshred2000 3 роки тому

    Nice, the guitarist throws some Cheri Bondowe riffs in the song

  • @wasongakowino6935
    @wasongakowino6935 5 років тому +1

    Great song

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 8 років тому +2

    Iko tofauti kidogo na original! thanx...

  • @suezanna2690
    @suezanna2690 5 років тому +1

    Namoni Kanku Kelly

  • @abdurahmanomar8658
    @abdurahmanomar8658 Рік тому

    Les volcano(nikifa bure rafiki zangu watabaki nanani

  • @mosesawiti7589
    @mosesawiti7589 4 роки тому

    One of best compost music

  • @stephanmhempel9186
    @stephanmhempel9186 4 роки тому

    Napendasana

  • @phillipolang9199
    @phillipolang9199 5 років тому +1

    Timeless Peace

  • @Kosmo4tanga
    @Kosmo4tanga 7 років тому +1

    well done...!

  • @makumbele
    @makumbele 13 років тому

    aaaah! safiiii....

  • @msombaemmanuel8462
    @msombaemmanuel8462 5 місяців тому

    Vumbi on rizim guitar

  • @rmatalanga
    @rmatalanga 6 років тому

    Namuona mzee wetu Twikale wa Kalonda kwenye rhythm. Namukukumba wakati akiwa na Les Mangelepa hususan kwa wimbo ''Amua'' ambaye yeye ndiye mtunzi

  • @engineervictorvudinda5944
    @engineervictorvudinda5944 4 роки тому

    Mizikii yenye haishi

  • @nzogoropatson1787
    @nzogoropatson1787 4 роки тому

    Nimemuona king maluu kitambo

  • @bahatiabbas356
    @bahatiabbas356 5 років тому +1

    Nipeni location wakuu hizi ngoma live nitazipata ukumbi upi weekend

    • @manasemasembo3588
      @manasemasembo3588 5 років тому

      Njoo mbeya nikupe Viwanja.. Izi nyimbo zinaimbwa live

  • @romaltd4070
    @romaltd4070 8 років тому

    nakumbuka enzi hizi nafurahi sana

    • @jumaabdul4815
      @jumaabdul4815 6 років тому

      Daa kitambo sana nguza alikuja Dom tulicheza mdani ya jamhuli stadium

  • @zainabukibodogo238
    @zainabukibodogo238 8 років тому +1

    tupooooo

  • @simonbuka8303
    @simonbuka8303 6 років тому

    umenipunga Sana

  • @simenyasikhulu
    @simenyasikhulu 4 роки тому

    Lo! Hakika huu wimbo bado mzuri mno. Utunzi mzuri. Ngoma taratibu.

  • @petermashengere42
    @petermashengere42 4 роки тому

    Rip mafumu

  • @obbandaadieri4702
    @obbandaadieri4702 3 роки тому +1

    Original

  • @brownee20007
    @brownee20007 6 років тому

    Je kwenye ile original saxophone alipiga nani? Sidhani kama alikuwa Mafumu au King Maluu