Nikiangalia hz nguo za njano na kijan na mgao wa umeme na sukar Bei juu ndo naona watanzania itawachukua miaka mingi Sana kuona ccm Ni chama kisicho na msaada wowote,
makonda umekosea wewe kama kiongozi huwezi sifia dini moja wewe niwa din nyingi umesahau kuwa kuna waislamu juwa umekosea kibinadamu nitafute nitakueleimisha ulifuata nyayo za magu lakini hakuwa hivyo maneno yako yameleta ubaguzi wa kidini mmm nakukubali sana ila hapo umefeli
Makonda kwasasa ni Kama Makamu wa Rais❤
Makonda unafaa kabisa kuwa rais wa nchi hii tz.baada ya mama, Mungu Akulinde uwe wewe
Uposahihi
Navunja hiyo Roho ktk jina Yesu navunja nguvu zote za Mila na zakimizimu Kwa damu ya Yesu,Makonda ni Mali ya Bwana,
Chief Isuja Simiyu, kwenye ziara Mh makonda!
Mungu aendelee kukupgania mungu aendelee kukupa afya njema uko vzr sana!!
Wasukuma hatuna chifu kama Makonda wamrudishie tu pesa zake alizonunulia huo uchifu feki. uchifu hautolewi kama pipi tu
Nikiangalia hz nguo za njano na kijan na mgao wa umeme na sukar Bei juu ndo naona watanzania itawachukua miaka mingi Sana kuona ccm Ni chama kisicho na msaada wowote,
Wew Maconda mama akimariza muda wake inabindi umrithi mama nawew uwe Raisi wa inchi.tutaendelea kukuombea uwe Raisi.
Inshaallah
Ubarikiwe sana kaka yangu
Haya yote wamesababisha chadema chadema ni Nomaaaaaaa
Chagadema wanakuonea wivu ile mbaya.Songa mbele Makonda.Acha wahuni waendelee.kuropoka.na kupotosha watu.Chagadema😢
makonda umekosea wewe kama kiongozi huwezi sifia dini moja wewe niwa din nyingi umesahau kuwa kuna waislamu juwa umekosea kibinadamu nitafute nitakueleimisha ulifuata nyayo za magu lakini hakuwa hivyo maneno yako yameleta ubaguzi wa kidini mmm nakukubali sana ila hapo umefeli
Hiyoooo nzuryyy
Bagolole Hananga
Tutampa lakini wenginee hawatapa
Anastahili ni jembe
Maliza maliza usiache kitu.
Wasukuma hatuna chifu kama Makonda wamrudishie tu pesa zake alizonunulia huo uchifu feki. uchifu hautolewi kama pipi tu