#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • #EXCLUSIVE: ANAYETREND AKIRUKA MAKACHU BAHARINI AFUNGUKA - "RAIS AMETUPENDA, ALIKUA ANAKUJA KURUKA"
    GLOBAL TV imezungumza na jamaa anayetrend kwenye mitandao ya kijamii akijirusha kwenye maji, mchezo unaofahamika kwa jina la MAKACHU, ambapo amefunguka mengi kuhusu mchezo huo.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 29

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому +2

    Wajiangalie tu maana hapo Kuna watu walifikia kichwa mpaka Leo hapo kitandani

  • @zenj1986
    @zenj1986 2 роки тому +2

    Yaani huo si mchezo mzuri kabisa. Kuna vijana wapo vitandani na watawapatisha shida wazee. Kwa wenzetu wanakuwa na wataalamu ili kama kuna emergency yoyote wapate huduma haraka. Pia taratibu ya kupiga makachu wakati mwengine hajatoka chini na kusababisha ajali. Nashauri kuwa apatikane mtaalamu na pia kuwepo kituo cha afya.

  • @faridaissa2588
    @faridaissa2588 2 роки тому +5

    Napenda rafudhi Yao jaman

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 2 роки тому +2

    Labda Serikali Ingeboresha Mazingira Yamchezo Wenyewe

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 роки тому

    Nashauri kikundi chenu kimuombe raisi muwe na bima maalumu kabisa itasaidia sana....Kila mchezo una negative impact ...rais mwinyi hashindwi kufanya hivyo...ili endapo itatokea dharura mpate huduma Kwa haraka sana ....

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 2 роки тому +2

    Labda Serikali Ingeboresha Mazingira Yamchezo Wenyewe

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 роки тому

    Hakuna michezo Duniani ambao hauna madhara ukiondoa
    BAO na TENES

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 2 роки тому

    Mm nahisi kuwa iyo sehemu iboreshwe zaidi na iwe sehemu ya kipekee

  • @hafazstanzania5577
    @hafazstanzania5577 2 роки тому

    Kwani lazima jamani

  • @yvonnerobert572
    @yvonnerobert572 2 роки тому

    Yan huyu kaka anajitahdi Sana kuchekesha isee namkumbuka tukiwa entebe chukwani mess

  • @utofyorozanzibar1622
    @utofyorozanzibar1622 2 роки тому +1

    Nzuri

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 2 роки тому +1

    💪🇹🇿🇦🇪

  • @yussufmuhammed576
    @yussufmuhammed576 2 роки тому

    🤝🙏

  • @jambo3751
    @jambo3751 2 роки тому +1

    KIPENGELE ndio amekusudia nini?

  • @fahadtourszanzibar8244
    @fahadtourszanzibar8244 2 роки тому

    Huyu hana ishuu bana mshamba tu

    • @hassanparamana2215
      @hassanparamana2215 2 роки тому +1

      Amkosagi watu kama nyie wa kukandia ulikuwa unataka akakae maskani yenu pale ya malindi achome ngada ndio aonekane mjanja sio 💪🇹🇿🇦🇪

    • @utofyorozanzibar1622
      @utofyorozanzibar1622 2 роки тому

      Asante mjanja

    • @AliMohamed-gv7nw
      @AliMohamed-gv7nw 2 роки тому

      Choyo icho na hasad

    • @mrjaula7769
      @mrjaula7769 2 роки тому

      Choyo hicho ndio mwanzo wa uchawi