UMUHIMU WA KUA NA UDHU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 4 роки тому +1

    Shukran ustadh izudin,nafurahi kwa mafundisho haya muhimu sana,Allah akuhifadhi

  • @alsaarh239
    @alsaarh239 6 років тому +9

    Nime fahamu shekh nashukuru ambapo likua sipajui mungu akulinde na shari zote inshaallah

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому +2

    INSHA ALLAH , ALLAH ATUPE MAZINGATIO KWA HAYO YOTE🤲🤲🤲

  • @afric01
    @afric01 3 роки тому +1

    Aslm alkm ww. Jazakallahu kheir Sheikh.

  • @muadhbinjabaltv
    @muadhbinjabaltv 5 років тому +4

    assalam aleikum Ustadh?shukran Allah akuhifadhi in sha Allah.

  • @mesalimrashid8808
    @mesalimrashid8808 6 років тому +1

    Mashaalah ata kama mtu nduko atamuelewa ustadh.aelezea vizuri sana.

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 6 років тому +3

    mashauulah nimekufahm vilivyo katika darsa zako

  • @husseinndabahagamye6819
    @husseinndabahagamye6819 5 років тому +1

    Allah akujaze kheri Sheikh wetu kwa darsa hii ya muhimu zaidi katika maisha ya Muislaam

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 років тому +2

    Jazzak Allahu khairan

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 Рік тому +1

    Swadkita shekhe wetu

  • @ilhamprecious8816
    @ilhamprecious8816 7 років тому +6

    Masha allah
    Allah akulinde na akuepushe na shari za dunia

  • @asyaluay5787
    @asyaluay5787 5 років тому +3

    Masha Allah

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 4 роки тому +1

    Nakupenda sna kaka yangu izdun

    • @zaidumohd3125
      @zaidumohd3125 4 роки тому

      Shukran

    • @zaidumohd3125
      @zaidumohd3125 4 роки тому

      Mwenyezimngu akujalie khery mm na ww pamoja na wazaziwetu ishallah

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  4 роки тому

      Mola akubarikie na akuzidishie mapenzi na mm pia nakupenda zaidi kwa ajili ya allah

    • @zaidumohd3125
      @zaidumohd3125 4 роки тому

      Axnte sana shekh wangu nimmoja wa mwanafunz wk darsa zako za onlain kutoka zanzibar

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 Рік тому +1

    Kweli haramu kabisa

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 роки тому +1

    Nimejifunza

  • @bilalsalum9663
    @bilalsalum9663 2 роки тому +1

    MASHAALLAH

  • @khatsahasaim9218
    @khatsahasaim9218 5 років тому +2

    Mashaallah.. Shukran

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 роки тому +1

    Shukran saana

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 5 років тому +1

    Nashkura kwa Darsa lako,nmejua nliyokua siyajui.

  • @fahadlauni5854
    @fahadlauni5854 5 років тому +1

    Mashaallah

  • @mervaillenyamushala9543
    @mervaillenyamushala9543 5 років тому +2

    Allah

  • @omarymchoya8178
    @omarymchoya8178 7 років тому +1

    masha Allah

  • @swafiaabubakar8753
    @swafiaabubakar8753 5 років тому +1

    I3

  • @salmaalkyumi2270
    @salmaalkyumi2270 6 років тому +2

    Shukran🍇

  • @shashulingenju9305
    @shashulingenju9305 6 років тому +1

    Asalam alaikum,,,,kwahiyo inafaaha kutia udhu na ukiwa na janaba hapo hukum yake ni nn

    • @jamrykitendo8976
      @jamrykitendo8976 6 років тому

      Shashu lingenju inafaaa lakn kuswal haifai

    • @datiisaid5947
      @datiisaid5947 6 років тому +1

      Sheik nlvyomuelewa amesema weka udhu hta kma una hali hyo

    • @hawaasaidi2246
      @hawaasaidi2246 6 років тому

      je ?mtu akiota ama unapo hisi hamu paka kumaliza pasi na kitendo wafaa kuogaa janaba

    • @aminamohamed6141
      @aminamohamed6141 5 років тому

      Asalam aleykum jee kama nimepita barbarani na nikamuona mtu mzima jee nafaa kumuamkua?shukrn

    • @zuhuranahimana7197
      @zuhuranahimana7197 5 років тому

      Lazima ukoge janaba

  • @hindujuma72
    @hindujuma72 5 років тому

    Si tumeambiwa kuwa ukikaa na udhu unapata thawabu jee mbona unasema shekhe kutia udhu ni vizuri mara kwa mara

  • @kulthumkimaro9668
    @kulthumkimaro9668 2 роки тому +1

    Mashaallah