ISSUE YA ANGEL BENARD KUACHANA NA MUMEWE| FELIS MUBIBYA AFUNGUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 73

  • @upendowerema2247
    @upendowerema2247 Рік тому +3

    Tuwaombee jamani, Mungubawasaidie neema ya Mungu iwarejeshe pamoja.

  • @edwinlyaro2231
    @edwinlyaro2231 Рік тому +5

    Waefeso 5:3
    Neno: Bibilia Takatifu
    3 Lakini uasherati, uchafu wa aina zote na tamaa, wala yasitajwe miongoni mwenu, kwa maana mambo haya hayawastahili watakatifu wa Mungu.

  • @elishajoshua4892
    @elishajoshua4892 Рік тому +7

    Anayehojiwa ana Hekima 👏🏼

  • @happysimle991
    @happysimle991 Рік тому +4

    Huyu anayehojiwa ana hekima sana inatupasa kusimama na Mungu

  • @bonniebaraka
    @bonniebaraka 2 роки тому +2

    Kudos to G Sakafu

  • @happysimle991
    @happysimle991 Рік тому +6

    Mwanaume wa kwanza ndo mumewe huyo mwingine kwakweli ni ziada yake, lakini kibiblia Mungu hapendi kiachana, na kufunga ndoa nyingine mmm

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 Рік тому +8

    Mambo ya Ndoa muyaaache kwa wana Ndoa msihukumu maana mtakuja kuhukumiwa, mwaachieni Mungu the last mhukumu

    • @jesustheoneandonly
      @jesustheoneandonly Рік тому +1

      kabisa ndoaa zinachangamoto

    • @aliethlwaitama9592
      @aliethlwaitama9592 Рік тому +1

      Wala hapa hakuna hukumu inayokuhumu Ni biblia ambayo iko wazi kwa neno lake.

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu Рік тому

      Biblia imeshamhukumu kwa kumuita mzinzi sisi hatuna cha kumhukumu

    • @eagleeyesabbalove9656
      @eagleeyesabbalove9656 10 місяців тому

      Was Paul married when he was talking about marriage?! What nonsense are talking about here. As all Saints the Bible allows us to judge.

  • @evodiaaloyce3670
    @evodiaaloyce3670 Рік тому

    Mtangazaji una kihere here,

  • @saudamwakyembe6498
    @saudamwakyembe6498 Рік тому +6

    Huyu dada shetani anamfuatilia😢

  • @felixmaeda8533
    @felixmaeda8533 Рік тому +3

    bible inatufundisha in forgiveness, imagine unamkosea MUNGU mara ngapi but still anakusamehe, UNATENDA DHAMBI over and over and still God can forgive. Kuna yule mwanamke aliyekuwa malaya but yesu alimwambia umesamehewa dhambi. luke 7;44-48. Ndoa ndo kipimo cha IMANI.

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi Рік тому

    Angel,😭😭😭😭😭😭😭😭😭,

  • @pascal.kahwara
    @pascal.kahwara 11 місяців тому

    Luka sura ya 16:18 Agano jipwa inasema Mutu yoyote akiachana na mume wake ama akiachana na muke wake nakuisha kwenda kumbatana na mwengine hiyo umesha commits adultery. Lazima afe ndio unaweza kuolewa tena kama siyo hivyo nizambi na utahukumiwa motoni ya milele haijalisi kama wewe nimuimbaji ama uwe Pastor. The Lord does not respect anyone but he only respect those who holds on to his commandments.

  • @EvaInnocent-nd2vg
    @EvaInnocent-nd2vg Рік тому

    Mh jaman nimeumia ila Mungu anajua yote

  • @janetuli3
    @janetuli3 Рік тому +8

    There are three sides to any story; hers, his and the truth. God knows.

  • @bambone1938
    @bambone1938 Рік тому

    Mungu anasuhusu watu kuachana,soma maandiko kaka

  • @tukuswigaikasu5227
    @tukuswigaikasu5227 Рік тому +8

    Nimependa hekima ya anayehojiwa

  • @bettyprosper8911
    @bettyprosper8911 Рік тому

    Msihukumu watu jamani hakuna huduma ngumu kama ya uimbaji, issue kubwa unakuta mtu anaolewa bila kujua huyo mume atakua supportive kwenye huduma yake au lah, tatzo linakuja pale ambapo Mungu anataka kumtumia mtu wake mda Fulani na familia inamhitajii,hapo ndipo inahitajika upate mume atakaye endana na maono yako.awe supportive kwako bila hivyo ndoa zitazidi kuvunjika tuu

  • @angelamos8545
    @angelamos8545 Рік тому +4

    Muachen bhana kila mtu atabeba mzigo wake wa dhambi bhana weee peba mzigo wako😢

  • @neemashuma5595
    @neemashuma5595 2 роки тому +5

    Duh wanaimba ambavyo hawaviishi mmh wanatumika au wanafanya tu muziki kama wengine

  • @olivermfinanga9387
    @olivermfinanga9387 Рік тому +2

    Kuna Siri ktk mahusiano ya watu guys achen kuhukumu lol ndoa zna Siri kubwa sana

  • @messiasulleydidy2585
    @messiasulleydidy2585 Рік тому +2

    Angel Bernad sikutegemea kbs dah

  • @evelynlehnard3928
    @evelynlehnard3928 Рік тому

    1 corinthians 5:12 it's our duty to judge them that say they are in FAITH.

    • @eagleeyesabbalove9656
      @eagleeyesabbalove9656 10 місяців тому

      Thank you. Some people are talking nonsense stating not to judge.

  • @ZainabuWiliam-tm4iw
    @ZainabuWiliam-tm4iw Рік тому +1

    Shetani upenda kuaribu vitu vya MUNGU ilibidi amuulize MUNGU kwanza anachotaka kufanya je? Nisahihi kuacha mume na kwenda kuolewa na mwanaume wengine

  • @williamkavuta8066
    @williamkavuta8066 2 роки тому +5

    Jamaa ana hekima sana

  • @mariamaloda5447
    @mariamaloda5447 Рік тому

    Amen

  • @lightouma477
    @lightouma477 Рік тому

    Huyu muandishi ni kama anahukumu,ila siri ya chungu aijuae kata,tuwaombee tu wenzetu,maana ndoa ina upside down zake nyingi na zakukatisha tamaa sanaaaa

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius Рік тому +2

    Gospel singers hasa wa kike Amna kitu jamn ni wengi mno walioachana mi nadhan kiburi ndo kinachowasumbua

    • @aliethlwaitama9592
      @aliethlwaitama9592 Рік тому

      Wengi wanakuwa hawajaokoka wanabadili tu mitazamo yao nakusema wanaimba Gospel lkn ndani yao hawajawahi kukutana na Yesu majaribu kidogo yakiwatikisa hubadili mitazamo nakuanguka dhambini ,na kiburi Cha uzima hawajitahidi kujulikana na Mungu Bali kujulikana na watu,Ni heli wasingeimba ingekuwa heri kwao lkn wanaimba na mwisho wanaenda kinyume na biblia,wasipotubu shoka limekwishakuweka kwenye shina,hizi Ni nyakati za mwisho sio muda wakuisumbukia dunia ,wanaofalia mambo ya nyakati za mwisho time is over watu tunajiandaa kumlaki Bwana Yesu anytime,we unaangaika,mtu akikuacha sio muda wakutafuta mume mwingne au mke,sio muda wakulipiza visasi,lkn Biblia inasema watu wanyakati za mwisho watakuwa wenyekujipenda wenyewe wasiopenda suruhu,wasio wapenda wa kwao,wasio nashukrani hyo Ni Biblia sio mimi,Huu Ni muda wakujiweka tayari huyaonapo hayo chngamka weliye katika Kristo Yesu,inatisha kuachwa katika dhiki kuu😭😭😭,YESU Rehema zako zitujilie ,wachafu watazidi kuwa wachafu na watakatifu watazidi kutakaswa.

  • @dioclesjones640
    @dioclesjones640 Рік тому +1

    karibu kuipotosha injili yake pambaneni muezavyo lakini Angel Bernald ni mteule wa mwenyezi Mungu,hivyo sitaacha kusikiliza injili yake,nyimbo au ushauri wake.IKATAE HII NA TWENDENI TUKASIKILIZE MASHAURI YA ANGEL BERNALD,hakuna ubaya Kwa sasa

    • @musabarnabas7628
      @musabarnabas7628 Рік тому +1

      Suala la ikiwa ni mteule wa Mungu au la, tumwachie Mungu mwenyewe. Ila kiushuhuda hapo ushuhuda hamna kabisa. Nyimbo za injili hata Brenda Fassy aliimba vizuli sana na huku akiendelea kubwia unga. Hawa waimbaji wanaovunja ndoa zao siwaelewi kabisaaaa.

  • @AdrianMallya-l4h
    @AdrianMallya-l4h 9 місяців тому

    Kukosa unyenyekevu kwa wanandoa. Kiburi cha kuinuliwa na kukosa upendo wa kiMungu ndani

  • @juniormichael6989
    @juniormichael6989 Рік тому +2

    Wanawake aise wamejaa tamaa huko nikujaa tamaa huyu nimtumishi wa mungu anafanya umalaya ukimuona anavyo imba utataman kumuoa kumbe kahaba pepo.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 роки тому +2

    Tatzo wanamtumikia Mungu wakiwa ktk Hali ya uasi hv inakuaje mtumish wa Mungu ashndwe na shetani hawajifunz kwa Yule mama wa ekueme na rose muhando

  • @ethnetleonard453
    @ethnetleonard453 Рік тому +1

    Kwakweli mtangazaji ili ni tatizo awa ni kioo wanatakiwe wajue wengi wanajifunza kutoka kwao

  • @abiyafocus6992
    @abiyafocus6992 Рік тому

    KUNA WATU WANAANDIKA SHITS. HAPA NDUA SIYO KITU RAHISI SANA. IKO NA MITIHABI SANA

  • @rozapetro1647
    @rozapetro1647 Рік тому +3

    Ndoa ziacheni tu ni ngumu jmn

  • @elizabethngala5366
    @elizabethngala5366 2 роки тому +1

    Ashindwe shetani.

  • @violethmyula7744
    @violethmyula7744 Рік тому +1

    Na kama ni kwelii Mungu atutee lakin pia mwannaume anaweza kukinyanyasa kwa kuwa anajua huwez sema maali popote kulingana na status uliyonayo . Anazan kuwa utavumilia wanawake pia wanachoka

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu Рік тому +1

      hata kama alinyanyaswa, Biblia inasema ukiachwa ukaolewa tena wewe ni mzinzi hata kama unaimba nyimbo za Injili

    • @aliethlwaitama9592
      @aliethlwaitama9592 Рік тому

      Hapa sio stutus dada hapa Ni Mungu anasema nini kuhusu ndoa kwa mtu aliyeamini,ulokole hauna ndoa 2,hauna talaka,hauna kuachana,una kusamehe 7*70,una yeye asiyesamehe atasamehewa,ndoa Ni mpaka kifo kiwatenganishe,una yeye amwachaye mke au mume na kuoa mwingene wakati huyo mume au mke yu hai azini,una usimtende iyana mke wa ujana wako,hyo ndio biblia ninayoijua mimi nakuisoma, dunia Ina mtu akikuzingua achana nae oa au olewa na mwingne,usimvumilie mwanaume sio baba yako Wala sio mama yako,hyo ndio dunia na dunia Yesu ameikataa yeye atakayeupenda ulimwengu kumpenda Mungu hakumo ndani yake.

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu Рік тому

      @@aliethlwaitama9592 ubarikiwe sana

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 Рік тому +1

    Mimi ni mwana ndoa na ninampenda Mume wangu na natambua uwepo wake Sana
    Wakati wote namwambia nikigundua siku umenisaliti ndo mwisho wa hii ndoa. Kwa habari ya uzinzi YESU ameruhisi watu kuachana na kuolewa Tena.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Рік тому

      Lkn Yesu huyohuyo amesema samehe 7×70
      Ukiachana unatakiwa usioe,kuolewa Tena!

    • @fideanyenga5448
      @fideanyenga5448 Рік тому

      Alisema kuachana ila kuoa au kuolewa ni hadi mmoja wapo afe

  • @uwizeyimanasara
    @uwizeyimanasara 2 роки тому +1

    Muache. Uongonyinyi. Yayakwake. Hamuwezikuajua Hionikumsingiziatu🤔

  • @edinanoel6151
    @edinanoel6151 Рік тому +1

    Acheni jamn ndoa ziacheni acheeni

  • @jestinaluvanda-jm4tc
    @jestinaluvanda-jm4tc Рік тому

    Mtangazaji usimpige mawe bila kujua sababu tafuta ukweli sio Kwamba namtetea

  • @violethmyula7744
    @violethmyula7744 Рік тому

    Mpaka wao wasema sio mru baki hatuwez waamini

  • @royderdanielitaja1327
    @royderdanielitaja1327 Рік тому +5

    Ila kiuhalisia wanawake woote waimbaji hawana wanaume Yan nilijua Angel ndo muimbaji mwenye Mume kumbe nae niwalewale Mungu awasaidie shetan yupo umaalufu hauwez kuja bure lazima itokee ghalama ndomana😪😪

  • @reinhardjesmart169
    @reinhardjesmart169 4 місяці тому

    huyu mtangazaji hamna kitu

  • @glorynguma3593
    @glorynguma3593 Рік тому

    Ikishaitww ndoa usingilie humo ndani yy na mme wake wanajua walikuwa wanaishije kwa hiyo kama wameachana kuna sababu wanaume Ndio na akili mme kaa chini na ku judge ndoa ya mtu za kwenu perfect???

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 4 місяці тому

      We soma biblia utaelewa anachoongelea yani ndoa mmmhh

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Рік тому

    Ku oa wasani wa aina yoyote ni changamoto

  • @deborahmgaya
    @deborahmgaya Рік тому

    Ndoa ni SIRI

  • @marymosesk9871
    @marymosesk9871 Рік тому +2

    Waimbaji (Angel) mnatia aibu

  • @anethjoseph4542
    @anethjoseph4542 2 роки тому

    Mwandishi maswala ya nyama yanakuhusu nini

  • @deborahbeautiful1802
    @deborahbeautiful1802 Рік тому

    This man is pushing gossip 🙄🙄

  • @mhogomchungu7882
    @mhogomchungu7882 2 роки тому

    Kwendeni huko... Fateni yenu.... Ole wao waandishi na Mafarisayo

  • @elizabethngala5366
    @elizabethngala5366 2 роки тому

    Acheni propaganda jameni,sikweli niuogo

    • @najrahtjohary1745
      @najrahtjohary1745 Рік тому

      Niogope mung waimbaj iz nickuu zamwesho dada umekuwa Kama mke warutu dunia hyo

    • @pearllyson9575
      @pearllyson9575 Рік тому +1

      Wise man.... Anamjibu vzr sana