MTAALAMU WA SAA ALICHOELEZA KUHUSU SAA ALIYOINUNUA DIAMOND MAREKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 237

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 роки тому +30

    ❤❤❤ Mondi baba laooo . Asante kaka kuwaelekeza wabongo aswa mwijaku.

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 3 роки тому +1

      Mondi choko Tuu, Harafu wanamuita Simba Simba gani Anavaa Kikukuu na Kisketi kweli anatoka kigoma ujiji

    • @kimbungafcitez3111
      @kimbungafcitez3111 3 роки тому

      Hahahah kwel bana

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 3 роки тому

      @@smukelomkhize9775 choko wewe acha wivu choko wewe

    • @robertndebate5462
      @robertndebate5462 3 роки тому

      Hahahaaa
      Kabisaaaa maana asili yetu kuishi na dharau

  • @edsonjeremiah5905
    @edsonjeremiah5905 3 роки тому +33

    That's the definition of a star whatever he touches turns into gold and trend.mwanaume tafuta pesa mpaka ukinunua kitu haters waseme ni feki na sio Yako.

    • @jameshonore6554
      @jameshonore6554 3 роки тому +2

      Hahahahahaha.... umeuaaaaa

    • @happynjukiz6495
      @happynjukiz6495 3 роки тому

      Hahahaha kabisa wanaume tutafute pesa mpaka hater aseme fake.

  • @paulkaruma8480
    @paulkaruma8480 3 роки тому +4

    Muwacheni kumchunguza diamond pltnummz.kila mtu Afuateni maisha ya kwake.

  • @c75923
    @c75923 3 роки тому +30

    Huwa nawaza hivi kuna mtu na akili zake anakaa na kumsikiliza Mwijaku! Kwanza jina lenyewe limekaa ki paka shume paka shume!

  • @benysamwellaw4313
    @benysamwellaw4313 3 роки тому +36

    Kweli diamond ni maji usipoyanywa utayaoga tu #mtakuja 😂😂😂 mliacha kumtangaza Sasa mmekosa habari zinazojiuza mmeona mrudi kwa 🦁

    • @abdalmalikalhsani4080
      @abdalmalikalhsani4080 3 роки тому

      Umeona eee

    • @nancymark698
      @nancymark698 3 роки тому

      Mnashabikia mjinga asie jielewa,kweli hamjielewi

    • @abdalmalikalhsani4080
      @abdalmalikalhsani4080 3 роки тому

      @@nancymark698 ww uko saw lkn maan uciejielewa ni ww mwnzio anapmbn icitoshe kma ww humpndi pita kushoto yni kiufupi to kma wwe niyanga bac baki na timu yko nakama ni Simba bc pmj san

    • @changanataliforlife3760
      @changanataliforlife3760 3 роки тому

      @@abdalmalikalhsani4080 😃😃😃

    • @mbezzoprince9462
      @mbezzoprince9462 3 роки тому

      @@nancymark698 mjinga ni wew na mamako alokuzaa

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 3 роки тому

    Wabongo mtake msitake Huyu dogo Diamond mkishulikia atawasababishia vidonda vya tumbo huyu mwamba muacheni tu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👉💎🙌🙌🙌🙌🙌

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 3 роки тому +8

    Mond 🔥 🔥🔥🔥🔥❤️ Watasubiri Sana Sana!

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 3 роки тому +54

    Diamond ndo kick aisee,yaani kununua saa kwake kwenu ndo mnaanza mmhahoo,mnaingiza kipato kupitia jina la #Diamond anzeni kumuheshimu nyambafu

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 3 роки тому +8

    Diamond mwakahuu atawanyoosha 😂😂😂.ananunua saa ya thamani ya magari mawili ya mastaa wabongo🙌🙌🙌🙌

  • @zerochanneltanzania3797
    @zerochanneltanzania3797 3 роки тому +17

    Huyu mchiizi kweli expert hadi #RichardMille anazijua...shkamoo...

  • @aleeoo7208
    @aleeoo7208 3 роки тому +17

    Rolex zina appreciate in value kila zinavyokua zaa zamani

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 3 роки тому +3

    Duuuh hadi Saa ya #Diamond ni habari??? Wow

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 3 роки тому +5

    Tunaovaa saa za buku 3 tujuane apa😂😂

  • @009biafra8
    @009biafra8 3 роки тому +12

    Diamond 💎 kanunua saa moja tu akiwa Marekani lkn imekuwa trending Bongo hakika huyu jamaa mmoja n wasanii wote EA na bado hawatoshi... NB Saa moja ya Diamond💎 n sawa na gari tatu za kibamaroboti 😆😆😆Na hiyo n saa tuu Gari moja n utajiri wa kibamaroboti woote na wamakonde kijiji kizima na korosho zao kumamaee 😶

    • @fredricktupak415
      @fredricktupak415 3 роки тому

      Hhhhh unetsha jembe

    • @009biafra8
      @009biafra8 3 роки тому

      @JEREMIAH JOSEPH N muda gani saiv huyo chameleone ana kitu gani? Alf hapo kanunua gari ya watoto 50M alf Diamond saa tu 70M kwahyo huon hapo nan katisha yan kitu cha kuvaa mkononi kinazid hadi usafiri na bado unatanua mkundu kubisha NYOKO 🖕🤣 ww

    • @asyamgeni9819
      @asyamgeni9819 3 роки тому

      @JEREMIAH JOSEPH gari ya watoto wake ipi ya millioni 50 bro

    • @maxmkemia9504
      @maxmkemia9504 3 роки тому

      Hahah hujui ulisemalo . Mm sio mmakonde Lakn hujui zao la korosho ww

    • @009biafra8
      @009biafra8 3 роки тому

      @@maxmkemia9504 Nyoko🖕

  • @aguerowakujidai6509
    @aguerowakujidai6509 3 роки тому +16

    Nimegundua umu wote wanachukia jamaa kusema ukweli saa zipo za gharama

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 3 роки тому +1

    Na jamaa kawachana vizuri 👏👏👏👏😂😂😂

  • @waridimbwambo4950
    @waridimbwambo4950 3 роки тому +5

    Vidox umenifurahisha ulivyo shangaa kuhusiana na bima ya SAA mpaka umeguna

  • @RUFUS_97
    @RUFUS_97 3 роки тому

    karibuuu...... palm village apartment........

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 роки тому +4

    Mnyama Simba 🦁 diamond platnumz 💎 🔥

  • @mkemiamagege8477
    @mkemiamagege8477 3 роки тому +3

    Mimi nina saa yangu ya sh. Elfu sita najidai kinyama na wadau huku kitaa wananipiga Maneno Mwijaku chamtoto kwa mineno ile.

  • @salimsuweid1499
    @salimsuweid1499 3 роки тому +3

    Nikiwa na saa yangu aina ya Timex from Philippines naweza kuwauzia

  • @mgesizablon1702
    @mgesizablon1702 3 роки тому

    Diamond hongera kwa kunua saa ila nilikuwa naomba kama itawezekana jaribu kufuutilia mitandao kuna wanaumwa na wamekosa pesa ya kuwatibu wanaomba misaada kwenye mitandao ya kijamii tafadhali unaonaje ukiwaunga mkono wanao nafuta support kwa ajili ya wa Tanzania hawa

  • @vitusprotus8877
    @vitusprotus8877 3 роки тому +1

    SIMBAA 💎💎💎💎💎💎💎

  • @kitalambobabloja8742
    @kitalambobabloja8742 3 роки тому +7

    Richard mille ni hatari iyo saa

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому +7

    Kwani mamilioni ya dollar bado huwa ni cash? What happened to plastic money?

  • @deotv503
    @deotv503 3 роки тому +2

    acheni kuzingua saa ya dolar 50,000 Ni billioni moja kasomenii forex vizur 50,000 Ni sawa na 115,328,000 TSH

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 роки тому +3

    Nyie ayo mnawafanyiaga watu matangazo kiainaaina

  • @raymondsospeter1176
    @raymondsospeter1176 3 роки тому +10

    Nilisumbuana na muuza saa ya buku 5 nyegezi kudadeki, leo mnaniambia saa ya milioni3🤣 si nakutoroka😎

  • @thomaslali705
    @thomaslali705 3 роки тому +2

    No matter how costly it is! If it doesn't make one keep time......!

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 3 роки тому +6

    Mond❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥

  • @hance2746
    @hance2746 3 роки тому +2

    Ww unae Soma ujumbe huu mbungu akubaliki ukipata ela usfanye ujinga Kama huo saa million 69 mamaako anauza nyanya sokon Duh 😁😁😁

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 роки тому +2

    Leo tangazo limeamia duka la palm village

  • @masoudkapela4962
    @masoudkapela4962 3 роки тому

    Naanzaje

  • @agreyyohana5368
    @agreyyohana5368 3 роки тому +3

    Asnte dj wangu

  • @michaeljeremiah5364
    @michaeljeremiah5364 3 роки тому +3

    Aya mambo Mila alichelewa Sana kwa kupost kisa mambo ambayo ayana faida

  • @vitalisikavela6083
    @vitalisikavela6083 3 роки тому

    Ayo nawakubali lakin kunamaeneo huwa mnafel kipi kimerudxh kutangaza info za huy mwamba

  • @ChocllatteMedia
    @ChocllatteMedia 3 роки тому

    Mimi namshangaaaaa @mwijaku

  • @hazeekessy5714
    @hazeekessy5714 3 роки тому

    Mmmh

  • @christopherdimagaaaikopouw916
    @christopherdimagaaaikopouw916 3 роки тому

    55,000usd sio b moja, ni milion mia na ishirini na ushee ivii. Ata ivo kazi ipoo

  • @isayatoleto7508
    @isayatoleto7508 3 роки тому +9

    😂😂😂huyo nfo mmemfata mtaalamu hajui kitu

  • @aliakbarfazal3673
    @aliakbarfazal3673 3 роки тому

    Huyo mtaalamu yupo vizuri anaitwa hazard time ZONE palm village

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 3 роки тому +4

    Mnashda nyie yn kila anacho nunuwa mondi lazima mtafute watafasir WA icho kitu kaa

    • @kabwelerywamwatumu5078
      @kabwelerywamwatumu5078 3 роки тому

      Umaskini unawasumbua 🤣🤣🤣

    • @009biafra8
      @009biafra8 3 роки тому

      Hawaamini hivi vitu kama vinafanywa Bongo Mond ngoja atunyooshee

  • @ibrahimmagesa9178
    @ibrahimmagesa9178 3 роки тому

    Kwani mpaka tubishe jamani

  • @fatumaadam354
    @fatumaadam354 3 роки тому

    RM Balaaaaaaaaa

  • @rashidimohamedi2139
    @rashidimohamedi2139 3 роки тому

    Huyu jamaa hajui saa kabisa

  • @mototv1599
    @mototv1599 3 роки тому +1

    *Nilivyogundua hapa ni tangazo la pam village limefanyika kupitia Diamond*

  • @erickenock3198
    @erickenock3198 3 роки тому +1

    Me yakwangu sh500!!! Vip kuna tatizo

  • @modestercharles2030
    @modestercharles2030 3 роки тому

    Jamani hakuna vitu vingine,kwani mungekuwa mnatembelea hata watu mkauliza changamoto zao mbona mgekuwa navipindi vizuri,mbona. Hata nyererre Ana saa zake

  • @salumulongwa9461
    @salumulongwa9461 3 роки тому +4

    Simba wa w s b wasaf🔥🔥

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 3 роки тому

    Mi hua nashangaa Sana hivi kwani hakuna watu wanaonunua vitu vya garama kubwa zaidi ya hiyo au akinunua diamond ndio mtupigie makelele mondi mzee wa kiki tushamzoea kiki ya rolls Royce ndege hatuioni kahamia kwenye saa

  • @iddymbaga4064
    @iddymbaga4064 3 роки тому

    Dollar 55000ni shingapi acha kutupiga hata million 200 haifiki dollar elfu 55 ni 126m na laki 5 brooh

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 роки тому +1

    Wacha kujichora muuza saa eti huwezi kujua hiyo saa ya chibu ni originally ama fake kwanza google hiyo duka wacha kujiaibisha

  • @bekabeckam6305
    @bekabeckam6305 3 роки тому

    Richard Mille ndo number moja

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 роки тому

    🦁🦁🦁

  • @christopherdimagaaaikopouw916
    @christopherdimagaaaikopouw916 3 роки тому

    Hii ndio bongo bhauna kufa kwa stress umependa mwenyewe

  • @gideonmaneno8681
    @gideonmaneno8681 3 роки тому

    Sasa huyu anajua nn?
    Mbona kila kitu guess ?

  • @dairyhairy6269
    @dairyhairy6269 3 роки тому +1

    Jamaa hajui kitu

  • @allyyahyaally2985
    @allyyahyaally2985 3 роки тому +9

    Millard Ayo umezingua kweli kumuita huyu jamaa ni mtaalam wa saa! Hajui chochote kuhusu saa. Nenda Babla's kama unataka msaada wa kuchambua saa za thamani. Huyo mlefuata katuuzia vumbi.

    • @jrm9448
      @jrm9448 3 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vumbi la congo

    • @gsmartcreation5655
      @gsmartcreation5655 3 роки тому +1

      Nimekuja kusoma comments kutafuta mtu anaaye waza kama mimi. Maana baadhi ya wanahabari sikuhizi hawataki kuhangaika kabisa. Millard Ayo inapoteza mvuto kwasababu ya hawa vijana wenzetu wanao fanya vitu kwa njia rahisi. Wanashindwa kujifunza kwa Millard mwenyewe ambaye hachukulii vitu poa, akitoa hata habari ndogo anahakikisha inaleta faida kwa wasikilizaji na watazamaji. Hii kazi Vidox katupotezea muda.

    • @boyfromtansania7788
      @boyfromtansania7788 3 роки тому +1

      Vipi hujaridhika na huduma ya milard tafuta wengine unaodhan watakufaa

    • @slimmuhabesh2400
      @slimmuhabesh2400 3 роки тому

      @@gsmartcreation5655 dah unafatilia ili iweje sasa.. Badala ya kuacha maisha yaende

    • @andulilemwakihabha2048
      @andulilemwakihabha2048 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣

  • @ismailnashon1320
    @ismailnashon1320 3 роки тому +1

    Daah jamani wasani wakubwa wanakazi aise yaani ukinunua chochote kile utajadiliwa nchi nzima watu hawalali nashangaa me juzi nimenunua suluali hata jilani kuniulizia hamna

  • @aleeoo7208
    @aleeoo7208 3 роки тому +2

    Jamaa hayupo upto date kwneye saa richard miller ya drake last time ni 800k USD

    • @ayoayoo1222
      @ayoayoo1222 3 роки тому +1

      Upto date ndio umemaanisha nn 😂😂😂😂

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 роки тому +2

    Nyie ayo kwa kuwatafutia watu kik

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 3 роки тому

    Kwan Be4 diamond alikua anavaa saa ya bei gan na ya aina gani, teh ppoz bana.

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 3 роки тому

    Watanzania tuache haya mambo jamani hakuna vingine vya kuongelea jamani!!!

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 3 роки тому

    Palm village leo mpo kwa kujidai raia hawana usemi

  • @charleskyalo1957
    @charleskyalo1957 2 роки тому

    Safi nakujakununua

  • @bestfoodreviewshow3892
    @bestfoodreviewshow3892 3 роки тому +1

    Mondi anaakili Sana. Hapo alifikiria kuwa nikirudi na milioni stini kutoka America kwenda bongo lazima atozwe Kodi so alichofanya aliwekeza kwenye saa ili asitozwe Kodi ya kuingiza hela ya njee Tanzania

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 роки тому +2

    Sawa waeleze wote wambea na wanaoumia

  • @gye9975
    @gye9975 3 роки тому

    Watatubu

  • @isackmosesmabula3648
    @isackmosesmabula3648 3 роки тому +1

    Kuna mtu kanunuliwa na mpenzi wake saa ya bilioni 2

  • @chekakwaafya3099
    @chekakwaafya3099 3 роки тому +1

    Dollar 55,000 nyie mnasema b. 1 tuache utani na pesa wazeee

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 3 роки тому +1

    Hadi naogopa aiseee hizo ni saa tu.

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 роки тому

    Yupo?mwijaku😬😬😬

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 роки тому +1

    Simbaaaaaa

  • @rashidnasoro1065
    @rashidnasoro1065 3 роки тому

    Mimi nimezijua Escalade kwa sababu ya Diamond

  • @mosesshikuzi7089
    @mosesshikuzi7089 3 роки тому +5

    izi ndo habari zakufatilia sio utumbo waakin mwijaku,simba no one Africa nawafuatilia nikiwa South Africa 🔥🔥🔥🔥

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 3 роки тому

    Huyo mtalaam wa kufuga ndevu hajui kitu kuhusu saa

  • @ahmedibrahim2127
    @ahmedibrahim2127 3 роки тому

    Yani ulimbukeni sasa kila kitu lazma utangazie....

  • @rbg-hommd3273
    @rbg-hommd3273 3 роки тому

    kweli kunawatu wanaishi haya bwana

  • @joelmajuram2918
    @joelmajuram2918 3 роки тому

    Ha ha ha ha ha! Napitia

  • @geofreybigambo244
    @geofreybigambo244 3 роки тому +2

    Saa Asset? 😂🔥

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 3 роки тому

    Saa ni asset,na hivi ameikatia insurance
    Akichacha anauza kiulaini baada ya miaka kadhaa,ila Diamond anasumbua aisee,yaani saa tuu East Africa nzima mitandao yote saa,saa,.......

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 3 роки тому +2

    Bia tamuuu..😂

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 3 роки тому +4

    Rolex zinakwenda mpaka Dola milioni, zinakuwa na gold tupu pamoja na Diamond , ndo maana unakuta matajili au master wanatembea na walinzi, kwa sababu ya aseti iliyokuwa mwilini, sio hapa unakuta mtu ana walinzi wakati hana kitu cha thamani😂😂😂

  • @saidially6310
    @saidially6310 3 роки тому

    Hahahahahhahaha duuu sina uhakika na ivyo anavyoviuza. Aisee hakunaga guarantee ya mwaka wala miaka iko ndio kimenifanya nione urongo wa viatu anavyoviuza. Ila NASIBU ANAWANYOOSHA🦁

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 3 роки тому

    Ayo kweli siku hizi hauna habari duh 😂😂

  • @modycadabra8721
    @modycadabra8721 3 роки тому +1

    Cr7 binadamu wa kwanza kuvaa saa ya gharama dunian ambayo Ni 1ML dollars 😎😎

  • @rashidimohamedi2139
    @rashidimohamedi2139 3 роки тому

    Et dollar 55000 ni sawa na billion moja 😁tumepigwa

  • @chalulumanyenga1151
    @chalulumanyenga1151 3 роки тому

    jamani hata simu inayo saa tunatupa mahela Kama hivi

  • @reginakirway3626
    @reginakirway3626 3 роки тому

    Mimi nilinunua saa kariakoo elfu 3 mwaka elfu mmbili na 6 mpka leo haijapauka wala nini na inasoma kabisaaa alafu hakuna chombo yeyote ya Habari kuniuliza . 😋😋

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 3 роки тому

    Yaani mtu ununue saa ya milioni 60 tunajua Diamond kwa kufeki utajiri na kama kainunua atakuwa kaikopa na baadaye atarudisha dukani huku Ulaya mtu unaweza kununua iPhone kwa mkopo unapewa simu bila kulipia halafu utalipa kidogo kidogo kila mwezi

  • @JoJo-xh7ph
    @JoJo-xh7ph 3 роки тому +1

    Yote hayo hayana maana kama alimkana baba yake mzazi/mlezi. Laana aliyonayo ni moto wa jehanam. Hata kama mzazi wako awe na mapungufu kiasi gani kamwe usintelekeze. Ni dhambi kubwa sana. Anaringia fahari ya dunia lakini akumbuke hakuna utajiri mzuri kama kuwajali wazazi au walezi wako

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 3 роки тому

      Kuna wazazi wamewakosea sana watoto wao na kuna wazazi wamejali sana pombe kuliko kulea watoto wao mimi mwenyewe mama yangu alijali mwanaume na kuniacha kwa ndugu yeye akahamia nchi nyingine aliniacha kwa miaka nane alipoachana na bwana yake ndiyo akaja kunichukua na kuanza kunitesa na nilishapitia maisha magumu leo hii nimekuwa mtu mzima najitegemea mwenyewe na sina mawasiliano na mama yangu sababu nataka kuishi kwa amani

    • @batulialmass8914
      @batulialmass8914 3 роки тому

      Mama ndie anaejuwa baba wa mtoto msimtukane hana makosa

  • @kevootztv5868
    @kevootztv5868 3 роки тому

    Dollar elfu 55 ni one billion heb mtuache kidogo

  • @samyspesho1698
    @samyspesho1698 3 роки тому

    KWANI SAA ORIGINAL MAJIRA YAKE YANAKUAJE

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 роки тому +1

    Hiyo saa kama sikosei itakuwa kama laki 8 hivi.

  • @mathewlusogole305
    @mathewlusogole305 3 роки тому

    Diamond ana maisha yake na wasanii wengine wana maisha yao,si kwamba hawawezi kujinyima wakanunua hizo saa tena zaidi hata ya hiyo,ni kama wasanii wengine wamemtangulia kujenga Majumba ya thamani mara dufu kuliko hata hiyo saa,
    Kupanga ni kuchagua.
    Note:Tujue tofauti kati ya Wealth (Utajiri) na Richness (fahari).😎😎

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 3 роки тому +1

      anunue saa olijino anunue feki.lkn kwa mungu tunaenda na amali zetu

  • @jaburantaofficial
    @jaburantaofficial 3 роки тому +1

    Ili lijamaaa 🤣🤣🤣

  • @gsmartcreation5655
    @gsmartcreation5655 3 роки тому

    Huyo mtu aliyo hojiwa siyo sahihi.
    Hajui model ya saa aliyonayo diamond, hajui thamani yake na hajui material(s) yaliyo tumika na rolex zina range tofauti ya bei. Nadhani Vido ulihitaji kuumiza kichwa kupata mtu ambaye ni mtaalamu katika saa hizo kuliko kumwuliza muuza saa yeyote ambaye hana majibu ya maswali mengi uliyo uliza.

    • @obenitejailos7007
      @obenitejailos7007 3 роки тому

      Tupe maelezo yako wewe basi

    • @gsmartcreation5655
      @gsmartcreation5655 3 роки тому

      @@obenitejailos7007 Siku ukigundua mtotowako anafundishwa na mwalimu asiye na ujuzi utaanzisha shule yako ama utawaambia shule wazingatie utoaji bora wa elimu?!

  • @mgasa_tz5527
    @mgasa_tz5527 3 роки тому +1

    Mmh,. Labda niwe na hela za kujitawazia bhana siwezi kufanya utoporo kama huo Et kisa saa, kwani hiyo yenyew inatumia masaa ya sayar gani 🥴

  • @omarymkungwa7657
    @omarymkungwa7657 3 роки тому

    Wewe dollars erfu 55 ni milioni Mia na usher aifiki billion usifanganye watu

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 3 роки тому

    Hiyo saa tu mji mzima umetetemeka