Good morning, Good Afternoon, Good Evening, my Teachers And my Students..Hope Everybody are leaning Very well.This channel is wow.Let us give on in our study god bless u all Teachers and students
Mfano mimi sina smart phone je utanisaidiaje ili na mimi nijue kingeleza naitaji kujifunza kingeleza kama ina wezekana nitumie number yako ya simu ili nikupgie tuongee ili nikufate ulipo ili unifundishe
ماشاء الله😘 Kama nimeweza kujifunza kuandika kiarabu na kuongea huku 🇴🇲na nimefaulu Kwa asilimia 80,English nashindwaje 😰☹️ najua kidgo c Sana Ila subiri nijiongeze na huku Nitakuwa najua Lugha tatu....Kiswahili,kiarabu na kiingereza 💃 ان شاء الله🤲
Hatuna haja na Kiingereza. Hicho ndicho lugha kilichotumiwa kuteka watu wetu nyara na kusambazwa kwa utumwa nchi za ughaibuni na hapa nyumbani Afrika kutuweka ukoloni. Kiingereza kipigwe marufuku katika bara la Afrika. Tujifunze Kiswahili pekee.
@@mosesmwailenge5192 nchi gani za nje unafanya biashara. Mimi hutumia Kiswahili na nimefanya biashara nchi za nje karibu zote. Hata wakati nilikuwa ninafanya kazi na 'Microsoft, Jimbo la Washington, jijini Redmond nilikuwa natumia Kiswahili na nilikuwa mmoja wa wafanya kazi kushinikiza Bill Gates na waubia wenziwe kuanza kutumia lugha ya Kiswahili katika utokezaji wa maunzo-laini. Kampuni yangu ipo papa hapa jijini New York Marekani na sina shida kutumia Kiswahili. Ndugu nakuomba kwa hekima na taadhima ujithamini na kujivunia turathi, tamaduni, desturi na kaida za kiafrika. Isitoshe tumeshawishi na kuchagiza watu wengi hapa Marekani mpaka siku hizi Kiswahili kinafunzwa katika vyuo vikuu zaidi ya mia moja na baadhi ya shule za chekechea za 'Charter.' kwenye majimbo hamusini Marekani. Kiswahili kitukuzwe! Salamu kutoka Brooklyn na wapokeze wenzako ujumbe wa MBw. Mahemu, Marcus Mossiah Garvey na Malcom X. Wasaalam, Mwanamajumui wa Afrika.
@@afrakanaswahilitv5520 wewe usini fanye Mimi mtoto hata ukienda China kununua mzigo haujui kichina kinacho tuunganisha pale ni kiingereza nipate bidhaa yangu na yeye apate pesa yake mbona kifaransa ni lugha kubwa kuliko kiswahili je! Unaweza kwenda china ukaongea kifaransa wakakuelewa hamna kitu kama hicho ila kiingereza ni lugha ya ulimwengu wote tuache maneno mengi tuende kwa vitendo nipe namba Yako au kama uko kalibu tuonane nikuoneshe biashala ninayo ifanya nje na wewe unioneshe biashala unayo ifanya nje naludia Tena vitendo zaidi naku subili 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Luka 16: 10 Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia. *MARA NYINGI TUKIPATA MAFANIKIO TUNAMSAHAU MUNGU! HATUMTOLEI SHUKURANI NA ZAKA, TUNAACHA KUSOMA NENO NA KUOMBA NA WAKATI MWINGINE HATA IBADA HATUHUDHURII IPASAVYO, TUKO BIZE!! TUTUBU NA KUTENGENEZA NJIA ZETU SASA!!!*
Video zaidi ▼▼▼ swahili.usefulenglish.com
Naomba nijiunge na grup lako 0678385755
tatizo mmeweka bendera ya Amerika lkn naona accent ya britain
haina ap hii
tafadhali naomba uniunge
@@allyallyallyally4434 q we
Nimependa sana naomba mniunge na mimi naitwa sister brightness
Good morning, Good Afternoon, Good Evening, my Teachers And my Students..Hope Everybody are leaning Very well.This channel is wow.Let us give on in our study god bless u all Teachers and students
Asante kwa kutusomesha tulo kimbia shule sasa tunaona umhim wa elim shukran
😂😂😂nakwambia
Kweli
point 🙏
I love this channel so much thank u my teachers may God bless u
I have more for you. ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Mnafundisha vizuri sana mpaka saiz naelewa vizuri kiingereza
Ahsate Kwa kutufundisha mana Kwa Sasa tunaona umuimu wa shule mungu akutunze
Mm napenda sana jua kigereza
Asant sanaaa sikujariwa kusom ira hapa nazan nitajaribu 🙏🙏
Thank you teacher for this, God bless you
Here you find more useful phrases ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Thank you
mwalimu mimi mgen napenda sana hiili somo kwa group kuna kulipiya au inakuaje🙏😘🥰😍♥️🇮🇶🇹🇿
Habari mwalimu napenda sana kujifunza please najiandikishaje
asante mwalimu thank
Oh! Thanks for ths my teacher's 🙏🙏🙏🙏
ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Thank you teacher .I like this
ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Asante sana nimeipenda
Asante sana
Naomba uniunge kwenye group
Asante.. Nahitaji kujua zaidi Kusoma. Kingereza please nisaidie mwalimu
Jaman teacher naomba uniunge tutashindwahata kufanyashoo kenya
Asante jaman🙏
Thanks teacher for this i like it
You are welcome Halima Omar!
Asante sana najifunza Mungu anisaidie niweze nipate na mume mzungu niolewe😃😃🤣🤣
🤣🤩🤣
😂
😆😆😆😆
😂 😂 😂 😂 😂 😂
jamani nimependa xana hili somo muendelee kufanya hivyo forever
Ahsante mwalimu tufute ujinga 🥰🥰🤣🤣
Thank you Teacher for everything
You welcome my dear student!
@@LearningPhrases q
@@LearningPhrases q
Mfano mimi sina smart phone je utanisaidiaje ili na mimi nijue kingeleza naitaji kujifunza kingeleza kama ina wezekana nitumie number yako ya simu ili nikupgie tuongee ili nikufate ulipo ili unifundishe
Thanks so much.God bless you
Thank you!
@@LearningPhrases l need the teachers please 🙏
Thank you Good job
Kali sana
Uko vizuri sana najisikia vizuri
I'like this channel so much.thank you teachers
Thank you Hassan!
Wow thx dj
Thanks techers wou
Napenda kingereza chenu
Nawaelewa
Safi sanaa
Thank you so much
Do you want to learn more?
ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Napendakujifuzakizungu😀😄💯
Thank you for teaching me
Waoooo , niunge kwenye group .
Mashalaa
Mwalimu nisaidie number yko
Teacher l need your fone number pls nataka kujua kuongea English na kusndika
Thanks so much 🙏
You are awesome maana yake umependeza kwa mvulana
Sasa km unataka kujifunza si hapa anafundisha au hapa anafanya nini ingia kila siku ujifunze hapa aulipii zaid ya bando lako tu
@@severinaseverinanyoni707 ndyo malipo yenyewe bando unaokota bule si unanunua vocha
@@mosesmwailenge5192 mbona povu sasa
@@mosesmwailenge5192 Jamani mbona kaerekeza vizuri tu,makasiriko yanini???
mbona watu Atupendi kuambiwa Ukwer nini shidaa???
Asante
ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Maana ya song wishes more
To be continued 👍
Here is the next part: ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Asant 🙏thank you
Naomba uniunge group plz
mnafanya vzr hongelen
Nice.
Thank u for teaching me english
Nmeipenda
Thanks
Mashaallah
ماشاء الله😘
Kama nimeweza kujifunza kuandika kiarabu na kuongea huku 🇴🇲na nimefaulu Kwa asilimia 80,English nashindwaje 😰☹️ najua kidgo c Sana Ila subiri nijiongeze na huku Nitakuwa najua Lugha tatu....Kiswahili,kiarabu na kiingereza 💃
ان شاء الله🤲
😁😁🇴🇲🇴🇲❤
Sawa tufundishe kiarabu
Utajua
Hongera dear❤❤
@@omanmobile5746 shukrani 🙏🏻
Hatuna haja na Kiingereza. Hicho ndicho lugha kilichotumiwa kuteka watu wetu nyara na kusambazwa kwa utumwa nchi za ughaibuni na hapa nyumbani Afrika kutuweka ukoloni. Kiingereza kipigwe marufuku katika bara la Afrika. Tujifunze Kiswahili pekee.
Halafu nasisi tunao fanya biashala nje yanchi unatusaidiaje tutaongea kiswahili watatuerewa mh🤔🤔🤔
@@mosesmwailenge5192 nchi gani za nje unafanya biashara. Mimi hutumia Kiswahili na nimefanya biashara nchi za nje karibu zote. Hata wakati nilikuwa ninafanya kazi na 'Microsoft, Jimbo la Washington, jijini Redmond nilikuwa natumia Kiswahili na nilikuwa mmoja wa wafanya kazi kushinikiza Bill Gates na waubia wenziwe kuanza kutumia lugha ya Kiswahili katika utokezaji wa maunzo-laini. Kampuni yangu ipo papa hapa jijini New York Marekani na sina shida kutumia Kiswahili. Ndugu nakuomba kwa hekima na taadhima ujithamini na kujivunia turathi, tamaduni, desturi na kaida za kiafrika. Isitoshe tumeshawishi na kuchagiza watu wengi hapa Marekani mpaka siku hizi Kiswahili kinafunzwa katika vyuo vikuu zaidi ya mia moja na baadhi ya shule za chekechea za 'Charter.' kwenye majimbo hamusini Marekani. Kiswahili kitukuzwe! Salamu kutoka Brooklyn na wapokeze wenzako ujumbe wa MBw. Mahemu, Marcus Mossiah Garvey na Malcom X. Wasaalam, Mwanamajumui wa Afrika.
@@afrakanaswahilitv5520 wewe usini fanye Mimi mtoto hata ukienda China kununua mzigo haujui kichina kinacho tuunganisha pale ni kiingereza nipate bidhaa yangu na yeye apate pesa yake mbona kifaransa ni lugha kubwa kuliko kiswahili je! Unaweza kwenda china ukaongea kifaransa wakakuelewa hamna kitu kama hicho ila kiingereza ni lugha ya ulimwengu wote tuache maneno mengi tuende kwa vitendo nipe namba Yako au kama uko kalibu tuonane nikuoneshe biashala ninayo ifanya nje na wewe unioneshe biashala unayo ifanya nje naludia Tena vitendo zaidi naku subili 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Shenz type
boguz wewe tulia kama hutaki wewe mimi Nataka
Good 😊😊😊😊
Whoo nilijifuza sana
Thank you for
we love that
Tupo nyuma yako 💪💪💪💪
I appreciate
Thank you Felix!
I love this
Habarini nyote Good morning everybody
How about this video = ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Don't worry my teacher I know English ❤️🙏
aki that is nice
Somo zuri
Thank you
You are welcome!
Thanks teacher
You are welcome!
Ata mmm niunge 0711229324
Jamni mm mgen unapenda kujuwa kingereza niunge kweny group
@@LearningPhrasesjamani hamufundishe online
As a native swahili speaker some sentences are incorrectly translated to English such as HELLO EVERYBODY is translated as HABARI ZENU WOTE
Hey apo sawa
Thank u
thanks so mach
Thank you!
Jamani
I knew swahili/kiswahili my mom and dad teached me
I like
ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
I like this lesson
Thanks 🇹🇿
Hi
Napeda kujufunza mingi
asanteni jamani mungu awabariki
Good teacher
More for you: ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Yes
That’s amazing
Thank you guys for help me
More help: ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Luka 16:
10 Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia.
*MARA NYINGI TUKIPATA MAFANIKIO TUNAMSAHAU MUNGU! HATUMTOLEI SHUKURANI NA ZAKA, TUNAACHA KUSOMA NENO NA KUOMBA NA WAKATI MWINGINE HATA IBADA HATUHUDHURII IPASAVYO, TUKO BIZE!! TUTUBU NA KUTENGENEZA NJIA ZETU SASA!!!*
Great
ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
thanks so
You are welcome!
Mwalimu mimi ni mgeni San napenda hili somo kwa group
Good
Jinsi ya kuandika maneno ya kiswahl kwa kigereza
naomba unifundishe kiingereza nimeishia darasa la saba
thank you so teacher
🙏🏼👍
Hamjambo
Naomba kujinga mwenye group
Nimependa somo lenu
Thank you 🙏
swahili.learningphrases.com (Playlist)
Am so proud of you my dear
Thank you!
Mwalimu mimi nipo marekani ila sijuwi kingereza naitaji kujuwa kingereza naomba unifundishe tukubaliane malipo
Safi
I appreciate you
Thank you!
Thank you
ilov u
Thanks so much
You are welcome!
❤❤❤🎉🎉🎉
ua-cam.com/video/iJRe35zSpbs/v-deo.html
Napenda sana kujua kingeleza? Kusoma najua ila maana ndio nashidwa
naomba uniunge kwenye group lenu la kujifunza kingereza natamani kujua
Asaante saaana mwarimu