Nikuabudu (Alice Kimanzi) by MMUCU Choir

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • watch, share and subscribe. The lord Bless you.
    Moyo wangu wakutamani ewe Baba
    Mwili wangu wa kulilia
    Kama vile ayala atamanivyo maji akiona kiu (x2)
    Chorus:
    Nikuabudu Bwana, Nikuabudu
    Ndio tamaa yangu milele Bwana
    Nikuabudu
    Nikuabudu Bwana, Nikuabudu
    Ndio tamaa yangu milele Yesu
    Nikuabudu…
    Vs 2:
    Ninapo fadhaika nitakimbia hekaluni mwako
    Na nitaimimina nafsi yangu mbele zako Bwana
    Kwani upendo wako ni wimbo wa kunituliza
    Jina lako tegemeo tena ngome iliyo imara…
    Vs 3:
    Hapa chini ya mbawa zako sala ni moja
    Kwamba kwa macho haya yangu
    Niuone utukufu wako
    Tenda miujiza, tenda maajabu
    Kwani fadhili zako ni bora kuliko uhai

КОМЕНТАРІ • 5