BODA2BODA: (EP03) Part_3, Nilipo jaribu kupanda meli, Nilipingwa Rungu la kichwa, Ikabidi nihame mji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @babazama331
    @babazama331 9 місяців тому +2

    Safi sana, mzee wa KU nakukubali sana, nipo Mbande Magengeni nakupata vzr na nimejifunza mengi. Kazikazi bif up

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  9 місяців тому

      Shukrani sana kwa kutufuatilia, kazikaziTv chini ya kazikazi Media tutaendelea kukuletea vipindi vikali wengi wajifunze..🎉🎉🎉🙏🙌🙌🤲

  • @farrelrasheed1724
    @farrelrasheed1724 3 місяці тому +1

    KU mwanangu hapo mwisho umetoa bonge la ushauli kuhusu ndugu zetu waliopo Tanzania wasidhani all the time tupo fresh kipesa .. Maisha ya ughaibuni gharama kinoma ..
    KU full madini Mzee Baba karibu tena Botswana jeshi jeshiiiiiiniiiii mwanetu.

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y День тому +1

    Karim napendagaaa ctoriii zakeee tokaaa enziii izoooo zaa kipindiiii chaaa kutokaaa uwaibuniiii

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 4 місяці тому +1

    Uwangaaa nainyoiii sanaaa storiii zaaa K,u auuu Karimm ananifuraishaaa sanaaa karimmm

  • @AlmaMossy
    @AlmaMossy 4 місяці тому +1

    Story nzuri sana.. 🎉🎉😂😂

  • @k.u5797
    @k.u5797 9 місяців тому +1

    Dua2

  • @wahiwaziri7363
    @wahiwaziri7363 3 місяці тому +1

    Bonge moja la kipindi, hii ni zaid ya darasa huru, big up wadau wote na watayarishaji wa traveller ~boda2boda~

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  3 місяці тому +1

      Shukrani sana ndugu, tuko pamoja sana, usiache Kushare kwa ndugu jamaa na marafiki

  • @SalumuSalehe-om8zh
    @SalumuSalehe-om8zh 6 місяців тому +2

    Eeee jagwa hao

  • @Eli_Music
    @Eli_Music 9 місяців тому +1

    Safi sana

    • @kazikazitvboda2boda
      @kazikazitvboda2boda  9 місяців тому +1

      Nini tuboreshe.. kama mdau..

    • @wahiwaziri7363
      @wahiwaziri7363 3 місяці тому

      Sauti ya sound track Kwa background ipo juu, somehow Kuna interference ivi​@@kazikazitvboda2boda

  • @nickbrown8350
    @nickbrown8350 5 місяців тому +1

    Baba j asha

  • @nickbrown8350
    @nickbrown8350 5 місяців тому +1

    Mwamba kanikumbusha mbali

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 5 місяців тому +1

    Good story 👏

  • @kazikazitvboda2boda
    @kazikazitvboda2boda  9 місяців тому

    Salute 🎉🎉

  • @ShedrackSylvester-yl6be
    @ShedrackSylvester-yl6be 6 місяців тому +2

    Nomer san