Fallen Soldier! Akiwa kazini kulinda nchi, Bibi analiwa kinyama na marafiki yaani !!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 314

  • @KegahKadaddy
    @KegahKadaddy 2 місяці тому +22

    This show is better than marriage😂😂may God bless you so much Mr.vepe vepe

  • @HassanMugire
    @HassanMugire 2 місяці тому +6

    Wa Tz ni wapolee aki imagine this man is a solder very humble

  • @naomkwamboka7555
    @naomkwamboka7555 2 місяці тому +38

    Am the first one to comment ❤ wapi likes zangu 😊

  • @joxelndolo6363
    @joxelndolo6363 2 місяці тому +7

    Mr Pluto your are inspirational man maze uko fine broo keep pushing up Na upload content nonestop
    Nakutambua Sana msee

  • @KhalidAhmed-l1q
    @KhalidAhmed-l1q 2 місяці тому +18

    My stress reliever show 😅😅😅nipatieni likes za mama zoey tukisonga

  • @ashleymwema_stars
    @ashleymwema_stars 2 місяці тому +40

    Tz:tuachane
    Kenya:huyu ananipea short moja 😅
    Tz:ondoka nenda kwenu
    Kenya:Toa hizo boxers nili buy 😅

  • @HashimMalik-m9e
    @HashimMalik-m9e 2 місяці тому +14

    Wapi likes zangu I'm the forth to comment

  • @celinekenedy870
    @celinekenedy870 2 місяці тому +2

    Hapo hamna mwanamke kaka,,, umekuja Dar, I wish cku moja kupatana lakn ndoivo Dar kubwa sn. Your fan since day one.

  • @HashimMalik-m9e
    @HashimMalik-m9e 2 місяці тому +28

    Yaani ivi ndio wana breakup tanzania hatari sana theres diffrence of kenya ans tanzania 😂😂😂

    • @CharityKawa
      @CharityKawa 2 місяці тому +1

      Ingekuwa jeshi mkenya angekula mabare kadhaa 😂😂😂

    • @vibe_with_MaryamT
      @vibe_with_MaryamT 2 місяці тому

      Kabisaaa😂

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 місяці тому +22

    Tulio sali show ifike East Africa tugonge like tukisonga

  • @evansbalala2527
    @evansbalala2527 2 місяці тому +1

    I have alot learned from these loyalty test zako Pluto,ubarikiwe🙏🙏

  • @Dolphinebosibori-um7gi
    @Dolphinebosibori-um7gi 2 місяці тому +3

    Eeeh Tz Akuna mambo na Fujo ingekuwa Kenya maslap angepewa huyo dem Acha tu 🤣🤣

  • @immaculatenkirote4076
    @immaculatenkirote4076 2 місяці тому +15

    Watanzania wapole jamani sai zile umbwa zingekua zinatambaa hapa Kenya waah nipewe huo mwanaume

    • @_pookie874
      @_pookie874 2 місяці тому

      Ur comment haibambi 😅mbna utusi watu umbwa nkt

    • @Dafetty
      @Dafetty 2 місяці тому

      Watanzania hatunaga mambo mengi

    • @KaimuriJerusha
      @KaimuriJerusha 2 місяці тому

      😂😂😂

  • @Taliawren00
    @Taliawren00 2 місяці тому +2

    I think Pluto you are doing the Lord's work,,, Keep it up,,, if wasn't you the guy could not have known he is harboring a devil in disguise

  • @elizakovaga12
    @elizakovaga12 2 місяці тому +5

    MIMI KAMA MTANZANIA NASEMAJE HII SHOW IRUDI TU KWAO KENYA NDO NZURI TZ INABOO😢

  • @JudyNjoki-u6c
    @JudyNjoki-u6c 2 місяці тому +3

    Mimi hupenda show za pluto sana.juu hashindagi akizungusha watu na maswali.nikuanguka nayo mara that that😂😂😂👏👏

  • @mowawajowangu8216
    @mowawajowangu8216 2 місяці тому +2

    Hichi kiswahili Cha nichanganya mtu wangu😂 keep them coming 😍

  • @MinahMjeni
    @MinahMjeni 2 місяці тому +5

    Dem mwenyewe ata haoni kosa😢anachukulia tuu poa😂😂😂

  • @Ashmarie254
    @Ashmarie254 2 місяці тому +17

    Lakini hawa wa tz tuh😂😂😂 watu wanaachana kama wametulia ata Pluto anaboeka😂😂umecheki hio waaaaah 😂😂😂😂

    • @Dafetty
      @Dafetty 2 місяці тому

      Kupigana sio inshu😂😂😂

    • @Dafetty
      @Dafetty 2 місяці тому +2

      Una unapaswa kujua yakua tz ni inchi ya amani😊😂😂😂

    • @AyoobAl-Barami
      @AyoobAl-Barami 2 місяці тому +1

      Za Kenya ni more fire

    • @NorahGatwiri-co5zq
      @NorahGatwiri-co5zq 2 місяці тому

      Hawa si kma ma gen z wa Kenya bwna 😂😂😂😂lkni wanafaa kuwa wanafaa fuzo kidongo 🤣🤣🤣🤣

  • @Onedearminor
    @Onedearminor 2 місяці тому +3

    Hako kadawa mnapeanga watu ndio wakubali loyalty test mkifika kwangu kaishe nguvu 😂😂😂

  • @Michealfarah-n1w
    @Michealfarah-n1w 2 місяці тому +3

    Huyo dem anakaa anapenda kugongwa sana😂😂😂😂

  • @alvinneill
    @alvinneill 2 місяці тому +1

    If this camera man isn't given a raise and a promotion am storming the parliament alone 😂😂😂

  • @LilianMvungi15
    @LilianMvungi15 2 місяці тому +2

    Prisca: Sija save hata namba yako....duh

  • @DianaRichard-bu9tz
    @DianaRichard-bu9tz 2 місяці тому

    Naomba mniunganishe na huyo msoldier nimpe mdogo wangu 😢😅😂😂😂

  • @MikeKym-h4i
    @MikeKym-h4i Місяць тому

    Hii ingekuwa ya kenya Pluto n.a. huyo manzi kingeeleweka😂😂 mnapigwa wote hadi manzi atolewe viatu mpaka kofia amevaa😂😂😂

  • @AlliiAyoub
    @AlliiAyoub Місяць тому

    Sheria kali Tz ukimpiga mwanamke utafungwa mpak jera ibomoke

  • @rosenazi1304
    @rosenazi1304 2 місяці тому +2

    The way African ladies we ask for forgiveness 😅😅😅😅am finished

  • @Aika4real
    @Aika4real 2 місяці тому +4

    "Tuachane beba vitu zako ondoka sitaki kukuona tena uku ndan" alafu wako barabaran🤣

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q 24 дні тому

    Prisca mwenyew saasaa😂😂😂uo wanjaaa 😂😂😂mzura😂😂

  • @eduhscott5998
    @eduhscott5998 2 місяці тому +2

    Fata mamako kwa upole lakini😂😂😂😂

  • @RollineIminza-k9w
    @RollineIminza-k9w 2 місяці тому

    Next part plz pluto ata usirudi kenya kenya umefagia kila mahali mimi siku ndakuona mbele yangu napnda piko ata kama sikuwa na rada y piko

  • @dennisjulie4274
    @dennisjulie4274 2 місяці тому +4

    Tz:{kwa upole}fuata mamako
    Mombasa Kenya:Mamako Msenge 🫢🤫

  • @Divinah-k1n
    @Divinah-k1n 2 місяці тому

    Pluto alisema anabreak all over 😂😂😂😂

  • @josephkilonzo2007
    @josephkilonzo2007 Місяць тому

    Apa Kenya sai angekua ngumi za macho😂😂

  • @kyusa7002
    @kyusa7002 2 місяці тому

    Tanzania tunacheart sanaaaa Pluto utajionea maneno hapa piga kaz

  • @Ax-xpress
    @Ax-xpress Місяць тому

    Mwanamke anatoa jicho kama kinyonga..

  • @MwanamisiBakari-xh3jo
    @MwanamisiBakari-xh3jo 2 місяці тому

    Short and sweetest episode ever ❤❤❤❤

  • @mchovu4761
    @mchovu4761 2 місяці тому +4

    Pluto usituchanganye malizana na za Tanzania tuendelee na violence yetu

  • @wambuisdotah09
    @wambuisdotah09 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂huyu dem Ako na confidence mbya

  • @WilsonMambo
    @WilsonMambo 2 місяці тому +1

    Nimeona wa kenya wanaandika watanzania ni wa pole shida nikwamba watanzania kuna sheria kali sana unaweza ukakaa jela miaka 30

  • @Cee_Cindy_Gaturi
    @Cee_Cindy_Gaturi 2 місяці тому

    I'm here cause of kuliwa kinyama😂😂

  • @maryodongo-r4r
    @maryodongo-r4r 2 місяці тому +1

    Ushafika TZ bt chunga huko s kenya

  • @ebyanmohamed198
    @ebyanmohamed198 2 місяці тому +6

    Aki si wa TZ wako so cool
    Naomba unisamehe hakuna binadamu asiye kosea

    • @eduhscott5998
      @eduhscott5998 2 місяці тому

      Walai

    • @SerenaKarembo
      @SerenaKarembo 2 місяці тому +1

      Imagine 😂😂 hapo angekuwa mkenya kangepewa mabare mbili tu kafaint😂😂😂😂

  • @VisignMedia254
    @VisignMedia254 2 місяці тому +1

    Nane nane uku Kenya ni maadamano 😂😂😂😂

  • @Know...798
    @Know...798 2 місяці тому +3

    Ondoka kwangu...ondoka😂😂na wako kwa bara bara😅😅

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke Місяць тому

    Sitaki kuamini km huyu ni mwanajeshi haonyeshi vitendo😢😂😂😂

  • @AnnMutheu-x5d
    @AnnMutheu-x5d 2 місяці тому +1

    Yaani huyu msichana aoni kama ni kitu kubwa waaaa

  • @mikasatherapper7881
    @mikasatherapper7881 Місяць тому

    Kwani mamake amefanya nn tena😂😂 ama niamfute

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q 24 дні тому

    Mkaka analinda heshima y kaz

  • @lizzzzwama
    @lizzzzwama 2 місяці тому

    Miezi sita bro...wacha prisca aenjoy

  • @GloriaJohn-i3x
    @GloriaJohn-i3x Місяць тому

    To be honest polee kwake😢it hurts

  • @Maggywema
    @Maggywema 2 місяці тому

    Pluto npee uyo kijaa joh am singleeeeeeeeee for two years

  • @TulysterJofrey
    @TulysterJofrey Місяць тому

    Nimemsikia kaka anasema ye ni mjeda mbona sioni ujeda wake hapo hapajachangamka kabisa 😢

  • @StellaMamayi
    @StellaMamayi 2 місяці тому +2

    Asali ni Asili nyuki ndo tofauti 😅😅

  • @ShadrackMuendo877
    @ShadrackMuendo877 2 місяці тому +1

    Heri vituko za Kenya juu wanagonganga hadi camera

  • @katamukamamake8767
    @katamukamamake8767 2 місяці тому

    Si mnpee namba ya huyo boy😅😅😅😅Boy ajui kucheat😅😅😅aki hyu demu mungu anamuona🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nisamehe basi😂😂😂😂😂😂😂

  • @User_mcstabbah
    @User_mcstabbah 2 місяці тому +3

    Pluto nipin nifike 200 subs bro

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 Місяць тому

    😂😂😂😂 wanaigiza nn mbona kiunyonge sana

  • @felixngeno3277
    @felixngeno3277 2 місяці тому

    Ingekuwa Kenya huyo mrembo angekuwa amelimwa mangumi kadhaa😂

  • @Mesh_Empress
    @Mesh_Empress 2 місяці тому +1

    Salaaaale😂😂😂ametoa adi jacketi ni hasira

  • @aminamohamed9955
    @aminamohamed9955 2 місяці тому

    Jamani wengine tunatafuta mwanaume japo wa kukuhudumia hatupat tuna hangaika kwa wa rabu watu mnapata watu wa kuwasaidia maisha mnafanya umaraya du pole mkaka Jamani

  • @alberatuslinus9617
    @alberatuslinus9617 2 місяці тому

    Hapa bongo sanitization hainogi kama ya wakenya 😂😂😂

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w Місяць тому

    Hii imekaaje mbona imepoa 😂😂😂😂

  • @VibertOndieki
    @VibertOndieki 2 місяці тому +1

    Hawa watanzania wametuliaje ingekuwa ni Kenya na umecheat jeshi mangumi zingekuwa zinetembea kwa uso 😂😂😂

  • @ruthkatunge8132
    @ruthkatunge8132 2 місяці тому

    Mimi hainikalii serious 😅😅 yaani even the guy is smiling

    • @Know...798
      @Know...798 2 місяці тому

      Watz ni funny😂😂kenya mabare itapepea😂😂😂

    • @naserianpere6235
      @naserianpere6235 2 місяці тому

      Pia Mimi sijawai kubali hizi vitu ni ukweli

  • @patrickkyalo4994
    @patrickkyalo4994 2 місяці тому

    Pluto ukitoka tanzania pia utasafishie streets machakos university zimekua chafu sana

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 місяці тому

    Kama huu ndo mkono wa Mwanajeshi, na me Mwanajeshi..😅

  • @lewismwirigi601
    @lewismwirigi601 2 місяці тому +2

    Uyo jamaa hakuelewa script😂

  • @MurderChroniclesTrueWorldCrime
    @MurderChroniclesTrueWorldCrime 2 місяці тому +1

    Team Pluto nifukusheni 100 subs...nimekwama 93 please ❤❤😂

  • @DinahMuswachi-d7u
    @DinahMuswachi-d7u 2 місяці тому

    Watanzania hawapendi vita, ingekuwa Kenya zile vita zingekuwa hapo wueh😂😂😂

  • @EvansShina-yc6rs
    @EvansShina-yc6rs 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂 "imetokea kibahati mbaya' 😂😂😂😂😂 I can't take tanzanian serious

  • @MamaMichelle-j6d
    @MamaMichelle-j6d 2 місяці тому +3

    Lakini huyu mwanajeshi zae ana shida he's not like a soldier ama wanajeshi wa tz Huwa baridi hivi 😱

    • @LilianMvungi15
      @LilianMvungi15 2 місяці тому

      Sheria ni noma, ukipiga una adhabu kwa jeshi.

    • @HawaNangasu
      @HawaNangasu 2 місяці тому

      Tanzania mapenzi sio kipaumbele kikubwa ndio maana wakiachana hkn vita

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 місяці тому

      Ulitaka atumie nguvu ya jeshi kwenye mambo ya mapenzi 😂😂miaka 30 jela mchezo

  • @mosesmponeja6854
    @mosesmponeja6854 2 місяці тому

    😂😂😂, et ondoka ndani kwangu, wakati wapo road

  • @Aliymwedady-l8m
    @Aliymwedady-l8m 2 місяці тому

    nice xana

  • @worrylesstv
    @worrylesstv 2 місяці тому +1

    Mnipitieko Leo please nime apload 😂😂😂

  • @JacintaKioko-m4r
    @JacintaKioko-m4r 2 місяці тому +1

    Akuje nimtunzee na anitunze pia

  • @danielleDayn
    @danielleDayn 2 місяці тому +1

    I prefer Kenyan drama

  • @HairbyLucyFaith
    @HairbyLucyFaith 2 місяці тому

    Yes Sasa hizi ndio zinabamba😅😅😅😅😅

  • @apphiahfay8832
    @apphiahfay8832 2 місяці тому

    😂😂😂yani uyu anacheat jeshi..mpaka jeshi akavua koti 😂😂😂

  • @Davidoh254Kenya
    @Davidoh254Kenya 2 місяці тому +1

    Huyo dem anakaa tuh wanaume wengi

  • @carolmwikali8063
    @carolmwikali8063 2 місяці тому +1

    Yaani wanakulana mara Moja Moja na washaafanana😅😅😅😅

  • @naserianpere6235
    @naserianpere6235 2 місяці тому

    Sasa huyu nae anathani akienda miezi sita dem ashinde akimngoja hadi arudi 😂

  • @MinahMjeni
    @MinahMjeni 2 місяці тому

    Bro kimbia,huyo ziii😂😂😂

  • @Husseinmohammad446
    @Husseinmohammad446 Місяць тому

    Watanzania wametulia angekuwa afande wa kenya dem angekuwa ashatiwa pingu😅

  • @Kim-D254
    @Kim-D254 Місяць тому

    Huyu ni mumeru wa tz😅😅😅😅

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 2 місяці тому +1

    Pluto kashazoea wakenya wanaachana kwa kupigana ndo maana kapoa bongo hamna ila jeshi harusiwi kupiga mke maana hapo akiamua kupiga utumbo ote nje😂😂mimi nataka mume wa kusafiri miezi 6

  • @ThatgirlTina4
    @ThatgirlTina4 2 місяці тому

    Huyu kijana ni vaite? Kiulizo tu?😂😂😂

  • @joxelndolo6363
    @joxelndolo6363 2 місяці тому

    Bro unijaribu kunisaidiaa tuuh nikna channelaze ikue man Gecko media all through

  • @sophienamu1156
    @sophienamu1156 2 місяці тому

    Pluto utagongwa😂😂😂💔

  • @ESUVATSAKARA
    @ESUVATSAKARA 2 місяці тому +1

    She is not even sorry enough 😢

  • @annwangari7988
    @annwangari7988 2 місяці тому

    Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni Nipitieni

  • @Mary-Greenclean
    @Mary-Greenclean 2 місяці тому

    Aty jamaa anaitwa nani😅😅😅😅

  • @volatility_75indextrader61
    @volatility_75indextrader61 2 місяці тому

    Ila madem za Chuga bhana....

  • @DramaDive-8
    @DramaDive-8 Місяць тому

    Atoke kwako barabarani 😂😂😂😂😂

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug Місяць тому

    Prisca hata wasiwasi hana kweli ana waume wengi ni muongo huyu bro.

  • @ZackJack-nw6re
    @ZackJack-nw6re Місяць тому

    Ondoka kwangu na mko barabarani😂😂😂😂

  • @Dafetty
    @Dafetty 2 місяці тому +2

    Pluto nenda dar bhana arusha haina inshu

    • @SamirTajir
      @SamirTajir 2 місяці тому

      Wewe wa wapi @Dafetty

  • @YuppiesSilla1
    @YuppiesSilla1 2 місяці тому +2

    Nisamehee yaishe hamna😅

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas 2 місяці тому +1

    Atakosa kaz huyu jeshi la tz halina hz mambo

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 2 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅😅 inayo nime penda 👌🇹🇿