Mbna watanzania wapole dada karibu kenya ,,,,,,,siwezi wacha wazazi wangu juu ya mwanaume atah nikue nampenda aje ,,,ingekua mm huyu dada ningemtwanga huyu mwanaume 😂😂😂😂
Haaa🙆♂️🤦🏽♂️🤦♀️Pluto wabongo na kizungu wapi na wapi unauliza mtu wana myaka mingapi kwenye mausiano kwa kizungu 😂kula chuma hicho umesikiya jibu lake
Parents must be listened to. Mother wisdoms is always last consolation by daughters. She is hurt beyond repair. This man ought to work to repay for all his debts if this love break.
Iseeeee😂kwanza huyo mwanamke hana akili unafanya he kazi kwa jasho lako then pesa una mtumia mwanaume ambae Hana future ya maisha! Yaani alitakiwa kuwa Tunis ndugu zake hususani mama yake ili aweze kumtengenezea maisha hususani kumjenge nyumba😢😢 Yaani ningekuwa ni Mimi niko karibu yao hapo ningekipiga makofi hako kimwanamke na hilo Lin wanaume lake, Ana penda mtu ambaye hana mbele wala nyuma kuweza kujikwamua kimaisha iseee😮😮 huyo mwanaume ni boya sana pumbavu zake
Watumiwa pesa n hata hunu simu uko n katululu,,yani mm ninavyo ng'ang'a huku gulf alafu nitumie mtu afanye mambo yake napeleka kichwa polisi mweli nawapelekea wazazi wake,,sema tu watanzania muwapole nyinyi
Dada wewe ni bint mdogo bado pia uko na nguvu ya kupambana achana na huyo mwanaume mjinga na mpumbavu mkimbie achana nae asikupotezee future yako ya maisha huyo sio mume Bali ni Kiki mwanaume ambae anataka kuipoteza ndoto yako ya mafanikio. Huyo Jo wakala wa umaskini achana nae kabisa pia umepata funzo
Usijali mamah ludi gulf tutafute pesa haka kajamaa navile kako na sura gumu kanaropokwa 2..igekuwa ni mimi nigekuwa nimemekeleya teke ya kisogo na magumi kama 50....😡😡😡😡😡
Watanzania Ni wapole😢ingekua n mdem mkenya amekuliwa pesa Hadi Pluto angetolewa mbio n war😮😮tz Hadi Pluto hahitaji boardguard 😅😅
their is a difference btn usa and canada broda n we know the successful one
😂😂 uyo msichana aje kenya tumfundishe ya kwetu
@@DianaAchieng-s1j WAKENYA WABAYA
Aki nadhani Huyo bodyguard anajiambia kimoyomoyo kwamba waendelee kusernitize Tz hadi basi
Ile Vita ingekua kama ni kenya hata Pluto hangekua hapo sahizi wee
Pluto anauliza watoto wazuri ni waschana 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂 not joking na Kiswahili 😢 ww
😂😂😂😂😂alidhani watoto wakweli 😅
😂,,😂😂😂
Likes za Pluto swahili please😂🙌🙌ati Naomba simu 😂😂
😂😂😂😂
Kazi za ndani daah pluto kafikiria kikenya....imebidi dem afafanue
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅 Kaz yanyumba apo ange elewa
When I was young I used to think parents slept together to discuss what to eat the next day 😂😂😂
Afterwards
Kwenda uko😅😅😅😅😅
😅😅😅😅😅
Mbna watanzania wapole dada karibu kenya ,,,,,,,siwezi wacha wazazi wangu juu ya mwanaume atah nikue nampenda aje ,,,ingekua mm huyu dada ningemtwanga huyu mwanaume 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂uyu anafaa adabu 🤭
Huyu ndugu kapoteza dhahabu wallahi😢😢😢😢
Daaa pole dada uyo jamaa ameniboo atali usimusamehe ata thee P LEO AMEBOEKA ATA HAKUNA KUCHEKA HAPO
😢
The lady is very beautiful hardworking and deserves better
ye kila mtu ni mkewe,,bt tanzania wapole,,pia wanaume,,c kama kenya
nani amenotice kitu after huyu mwanaume kuulizwa "for how long have you guys been dating ". the guy hakuelewa kitu😅😅😅😂
Hahaa noma sanaa
Dust is constant😂😂
😂😂😂😂😂kabisa aki yaani yy anaongea tofauti na swali lenye ameulizwa😅😅
😂😂😂😂 I thought ni mimi tu nimenotice
😅😅😅😅
Haaa🙆♂️🤦🏽♂️🤦♀️Pluto wabongo na kizungu wapi na wapi unauliza mtu wana myaka mingapi kwenye mausiano kwa kizungu 😂kula chuma hicho umesikiya jibu lake
Najiuliza hiv wenzangu mnapata wapi nguvu ya kutumia pesa mwanaume ona sasa umeishia kuvaa yebo pesa imehongwa yote tabu umepata ww daah inauma sana.
Parents must be listened to. Mother wisdoms is always last consolation by daughters. She is hurt beyond repair. This man ought to work to repay for all his debts if this love break.
Alafu Pluto amechange Hadi accent. (Urimwambia shanirha) Chunga usfanye kazi za ndani braza😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂i tell I thought nmeskia pekee
😂😂😂😂😂😂
Iseeeee😂kwanza huyo mwanamke hana akili unafanya he kazi kwa jasho lako then pesa una mtumia mwanaume ambae Hana future ya maisha! Yaani alitakiwa kuwa Tunis ndugu zake hususani mama yake ili aweze kumtengenezea maisha hususani kumjenge nyumba😢😢 Yaani ningekuwa ni Mimi niko karibu yao hapo ningekipiga makofi hako kimwanamke na hilo Lin wanaume lake, Ana penda mtu ambaye hana mbele wala nyuma kuweza kujikwamua kimaisha iseee😮😮 huyo mwanaume ni boya sana pumbavu zake
Uuuuuuwi mm hata nitumie mtu Mia tatu inaniuma sana hadi nakua kagonjwa, nguvu mnatoa wapi .
Mm pia siwez kabsaa
😂😂
Uyo Jamaa Ni Fara Sana Fanya Sister Fanya Mambo Mengine 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Dada achana na huyu kasia mbwa hiii angekuwa Kenya ashaoteshwa miguu ya ngombe ama akule nyasi
"For how long have you been dating".... Kwa kweli blaza hapa dar nmekaa sana mjombangu...
Mimi na mke wangu tukasema acha tutafute lizki 😂😂😂😂
😂😂😂I don't understand English plz
Kumbe hata wewe umeskia😂😭😭
Uuwiiii mm ninge swanga huyo mwanaume alafu nihangukia hiyo mayai yake hiko hapo katikati ya mnguu walahi hunge waihi rudia 😢😢😢
Acha hasira 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Wakenya mnahasira sana
Na tz,,, wanume ni wapolee😂😂😂,, huku Kenya tuko na macho ngumu hata kama nisisi wenye makosaa....😅
But huyu boy anataka viboko' ameni udhiii😏😏😏
Umemuona huyo tuu Wala siyo wapole wajinga hawa😅
@@devothastive8007 😂😂
Camera man never disappoint😂😂😂wapi like zake
Camera man ana zoom had zambi😂😂😂
Mungu anijalie mdada kama huyu tuyajenge maisha
Mlete kaka yetu Kenya tumsalimie...msengeyo😂😂 makoofiii🎉
Iyo kofia nikama ndo ilikula pesa za dem😂😂. Ameitupa mara mob sana. Wapi likes zangu😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Pluto Toka tz kunaboo Kenya sai vita ingeshika saa na huyo jama angebuy ata nguo 😂
Team strong gather here hii ni lesson vile hizi kazi zinachosha 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Halafu mwanaume mweneyewe anasema tu vizuri alikua anakula hela na visichana virembo🤣🤣🤣🤣naeza kung'oa makenda aki
Hata nguvu ya kumtumia bro.yngu cna sebuse boyf😂😂😂😂
@@user-op9xx4mx9t Niue 🤣🤣🤣🤣🤣 nikikumbuka Sai nimetoka mjei naskia kufaint
😂😂😂 Wakenya mnanifanya badala ya kuhudhunika nacheka
😂😂😂na ako na guts zakuongea woshee watanzania kweli wapole
pluto waambie waongeee haraka niko na hasira
I'm here again ❤❤❤ feeling for the girl aki huyu boy Pluto si upige gonto😂😂😂 anyway girl dem Toka hapo hakuna future 😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅 siwez mpa pesa mwanaume alo bola ale my mama😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
This wicked guy Ako na sura personal kiatu😮
Kumbe what Diamond does ipo kwenye ground 😂😂😂... In short Tz men cheat, admit and ask for forgiveness 😂😂😂 waaah huku ziii😢
Kenya is wast😅
Mie niko gulf kumtumia pesa mwanaume maybe nirogwe😂😂😂 wanaume niwapumbavu sana, wengi wao akili hawana
Ata kwa urogi hawanipati😂😂😂mwanaume na pesa yangu abadan😂😂😂😂
nitumie mie mzuri
Labda huyo mwanaume aniroge😂😂😂
Nitumie mia mbili😂😂😂😂😂😂😂
@@user-lv3od1uo3o wee..koma!!!🤣🤣🤣
Inaumiza sanaaa huyu mwanaume hafai hata kwa kulumangia ptuuuu😂
Nalia mwenyewe mwanaume umeokota dhahabu unaitupa Daaa!! Sisi wanaume tuna balaa gani hii
Nikiskia vile wanaongea,, nakubuka Stephen kanumba😢😢
Walai the best bongo actor I miss him too😢😢
Akh waki act na wema sepetu💔💔💔may his soul continue resting in eternal peace
Wamefanya nimiss ku watch movie za tz
Mambo ya understanding girlfriend ziliisha😂....l feel the lady though😢
I will never understand 😢😢
Kimwanaume chenyew sasa
Guys started life in Nairobi BT hainipeleki poa if uko na anything extra in your home nisaidie ata kaa ni gas will appreciate
Haya yanakaa mazungumzo kulingana na wanavyojibizana kama tamthilia,,,basi waje Kenya tuwafunze karate😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 kabisa
Pluto uko vzr kujua kiswahili chetu cha Tz.karibu sana Pluto hutajutia Kuja kwetu.
Why is my blood boiling na pesa si zangu😂😂😂😂😂
Mimi ndio nimejam aki naskia kumpiga kofi
@@alicewairimu158 thank God nilizaliwa mkenya
Uyu naeza piga na nguvu za Saudi ziishie kwake kulanina aaaah kwanza alivo mnyonge
Anayetaka demu Tanzania 🇹🇿 anicheki namba ipo kwa Pluto 😂😂 Habibi welcome to Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😅😅😅
@@modestajamada3496 🤣
Naona mapenzi ni ya kifaurongo 😂
The way baba Zoey is looking at the man😅😅😅he very much annoyed and sympathised with alady.any it's too sad.
Kabisa hadi kicheko hamna
Mmmh sijarongwa yaan kumpa hela mwanaume mm kwanz sina mapenz hayo mm...na apo hata nimpe buku basi siwez iachaa atailipa tu
Madem madem Sasa huyu mwizi nyagau😮😮ATI mke wangu nisamehe😮😮😮maraya mkubwa.madam wewe mjinga sana ludi saudii 😮😮😮
THIS LADY IS CALM ....ME CANT WITH MY MONEY
Naona bado upo kwetu Ila ahsante kwa kutukumbuka tz
Team Pluto support even me 😢
Huyu Kaka n MTU bure kabisaa..l feel you bbygal just move on Achana na huyu mjinga Sana 😂😂
Watumiwa pesa n hata hunu simu uko n katululu,,yani mm ninavyo ng'ang'a huku gulf alafu nitumie mtu afanye mambo yake napeleka kichwa polisi mweli nawapelekea wazazi wake,,sema tu watanzania muwapole nyinyi
Dada wewe ni bint mdogo bado pia uko na nguvu ya kupambana achana na huyo mwanaume mjinga na mpumbavu mkimbie achana nae asikupotezee future yako ya maisha huyo sio mume Bali ni Kiki mwanaume ambae anataka kuipoteza ndoto yako ya mafanikio. Huyo Jo wakala wa umaskini achana nae kabisa pia umepata funzo
After watching this acha nitumie my mummy pesa waaa
Team strong Team waiguru😂😂 kunjeni uku
Uyu boy ni ng'ombe Sana .mjinga kupitia kiasi
I swear mm ningemuuwa jaman the way anavoongea tuu m ningeshamzibuua sanyingi maaaniner 😕😕💔
Hawa watu ni rahisi kuwafanyia loyalty test hehe u get straight to the point,,,,hawaerewi huku Kenya lazima usuke watu
Naeza kukueka kofi hadi urudi reseting,,,nkt😂😂
😂😂😂😂😂
Yaan ninge mnyonga uyo mwanaume Kwa kwer
Huyu mzabe Kofi machoni kwake😂😂😂😂😂😂😂
In Kenya a smart phone is a basic need😂😂😂😂wakenya si mnajipenda😂😂😂tz na kadude same what's up group
Ivi uyu mwanaume zimo.kwel
Team strong kujeni hapa 🙄🙄🙄🙄ati amekuwa gulf na anatumia kabambe🤔🤔🤔🤔🥴🥴🥴
Uyoo bro jau sana😂 mbn hatuwapati sisi hao wanawake😢
Yaani hawa wanakaa ni kama wanasema shairi kama ni wakenya violence ingekuwa more fire😂😂😂😂😂
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wallah kila nikimwangalia huyu mume ayekua anatumiwa pesa za uarabuni mbavu sina😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Pluto una kazi ngumu kweli..😂🤣 dah ila sawa
Napenda tz san❤
This tanzanians are too calm for our liking...we need Kenyan dramatic loyalty test
😅daah ila kuna watu wanachezea bahati sana
😂😂😂😂😂 not me watching this while rolling on the floor
Huyu kaka nilimuona kitunda mnadani kalewa chakari mbwa huyo
Pluto inafaa uende uganda sasa tunataka kuskia wakiteta na ngoso😂😂😂😂😂😂
😂😂😂theya😅😅😅banange😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂uwiiiiiiiy tim strong mpoooooooooo mwenzenu keshalizwa
😂😂😂😂 lkn pluto surely ulikuwa unaangalia huyo msee aje ???
😂😂😂😂 atari
😂😂aki pluto uko serious ati" mmefika"😂😂
Yaani mtu akule pesa yangu na hii mateso Iko hapa kingdom
Huku hawajui loyalty test😂😂😂hata simu hazichukuliwi mapema
Najitambua mama yangu
Usijali mamah ludi gulf tutafute pesa haka kajamaa navile kako na sura gumu kanaropokwa 2..igekuwa ni mimi nigekuwa nimemekeleya teke ya kisogo na magumi kama 50....😡😡😡😡😡
Kama movie
Pluto, 😂😂😂😂😂 eti mke wako anasema m mefika.
Sasa pluto si umrudishie pesa za huyo demu umefanya kitu cha maana Reed more......
Pesa ya ugaibuni inavyouma naanzaje mtumie mwanaume laki tano ya siwahi na sitawahi Bora akule nduguyangu
Jamani watanzania😂❤❤
Nipitieni wakuu.. just 300🙏
Yaani meanaume anatumiwa pesa na bado sura ina kaa personal 😅😅😅 i come in peace🙌
Huyu jamaa nkama Ukoo iliitish mkutano, wakaamua asiwe na akili😂😂😂😂😂
Hhhaaa Yani umeweza kunichekesha
😅😅😅😅
Huyu makofi nngemziba acha tu😢
Pluto my brother Maokoto ni hela yani pesa😅
Kama ingekua kenya ingekua story ingine,,,,kama n mm uyo naua 😢😢😢
Ww mjinga ww mwanamke chizi huyo nae mwanau
Tebu tutaftane Pluto...I need loyalty test
Pluto why, why between my marriage you are passing around?? sasa pluto kaenda nini kuvunja ndoa Tz?🤣🤣
Wa tz niwa pole
Uyu Jamaa anaongea nini😮😮
Mwanamke Kaenda kudate na Kichaa😅
Sanitizing the whole world
Unafanya kazi ya kuosha mtaro na upewe 5k nitaamia tz soon
Maybe ni 500 ya kenya
Umeetaabika huko omani unamtumia hela mwanaume mshamba Kama huyo