Ila cholo anaubaguz mbn babaake hamnyenyekei namna ii Kam afanyavyo kw mamaake....kila nkiiskiliza Ile kaswda ya milango Saba " cmama pekee atesekae jamn na Baba nyie mbn haonekani..."najsskia hudhun mana mama cholo na babacholo wote Wana makosa Ila cholo kwny kutfta ukarb anabagua vbyvby
Mama Ana thamani kubwa alafu ni Bora aanze na mama maana amesha athirika na mipombe huenda akaweza kumbadilisha sio huyo baba mwenye mizimu ya uongo alafu hakuna kitu Cha thamani duniani Kama mama asikwambie mtu
Mchezo mzuri huu haijawahi tokea bongo
Mbona haendelee ukitoka sehemu hii
Mama njooni nachiku😂😂😂😂😂😂😂
Uwiii kimeumana mashavu😂
Dah kombolela mnanipa raha sana
Siwa nakupenda bure hahaaaaa unanifurahisha bureeee mwaaaa,!!!!
𝑛𝑎𝑝𝑒𝑛𝑑𝑎 𝑠𝑖𝑤𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑣𝑜𝑐ℎ𝑒𝑧𝑎😁😁😁😁😁
Hii muv ilitisha sana
Mama mamaa wee njoeni na chiku 😂😂😂😂😂 jamn siwa umezd khaa.😂😂😂😂 Ety mizmu ya kobisi inataka nyama ya shughuli
😂😂😂siwa nkupenda bure 🥰💋
Siwa mitano tenaaa🤣🤣🤣🤣😍😍😍😍
Irudiwe hii kombolela jamani maana haijawi tokea tamthilia kama hii
Siwa siwa jamani mama njooni na chiku😂😂
😂😂😂😂😂eti mizimu
Siwa na mwanay
Jamani siwa jeuri!!!
Ila nyie siwa jamn Nampenda ♥️ bure et "Mama na chiku njoeni tucheze"🤣🤣🤣😂😂😆🖐️
makubwa jamani
Ila huyu Siwa😂😂😂
Alipenda sn chips na kuku akubar na mjukuu hyoo aibu yke hyoo?
Siwa bwana 😄
Ila Siwa. Jamani khan😂😂
Ilkuw nassbria nisskie tabia za wapemba kwny ilo Ngoma jmn katucfu vp wapemba...🤣🤣🤣
😂😂😂Siwaa Ni hatari 😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Siwa atar
Yaan siwa hatarrr
Wakwanza mimi
Siwa mjukuu huyoo anakuja
Ila cholo anaubaguz mbn babaake hamnyenyekei namna ii Kam afanyavyo kw mamaake....kila nkiiskiliza Ile kaswda ya milango Saba " cmama pekee atesekae jamn na Baba nyie mbn haonekani..."najsskia hudhun mana mama cholo na babacholo wote Wana makosa Ila cholo kwny kutfta ukarb anabagua vbyvby
Mama Ana thamani kubwa alafu ni Bora aanze na mama maana amesha athirika na mipombe huenda akaweza kumbadilisha sio huyo baba mwenye mizimu ya uongo alafu hakuna kitu Cha thamani duniani Kama mama asikwambie mtu
Asa baba .mwenyew kobis uoni mamb yake
Sasa s an igiza jmn mbn am elewagi
@@bernardzuhura4187 twayyib
@@shadyarajab842 na mama pia ana mambo meuc
Kobosi jaman mizimu yatk nyama🤣🤣
😂😂😂😂😂 na irudiw ty jmn
2
🤣🤣🤣Siwa jipange kupokea mjukuu
Au nimesikia vibaya na mashavu nae tayari duhhh
Tayar mama wee
Siwa jaman mama ako uyo kuwa na adabu alafu mwanao ile dawa mliyo iweka😂😂😂
Hiyo vimbo imeimbwa na siwa
Kakaake siwa ndio kaimba dulla makabila
Weee bikikala unayaona mengi
Mashavu kazima data😂😂
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Chiku nae anamimba jmn
Ila huyu Siwa😂😂😂