Ushindi John umeonaee mara bifu na diamond!! sa ndo nn, kwanya nyimbo za wasafi ndo zinabamba town, sio hao kila musa kutuchezea nyimbo za kina mario sijui nandi , chefuuuu
Wabongo bhana msichojua sio kila mtu unae ongea nae au kufanya nae kazi ni mshikaji wako Mnaweza zaliwa tumbo moja na msiwe washikaji pia kwani nini hakijaeleweka hapo?
Nyie jamaa wa shilawadu wajanja sana aisee. Nimewaelewa kwamba kwisa hutaki watu wamjue soud live ukiwa nae huko when u hang out together. Kwamba watu wamemuhisi yule jamaa unayekuaga nae manytimes ni soud, coz soud brown brand is the mask he put on, no facial to be expressed. Gud tricky
Uyu wa ajabu kweli unafanyakaz namwenzio adi usiku kunyapia watu asaiv unakata hauna ukaribu na, sud we unajibu kwakujikanyaga hautak kuweka mambo wazi, kukwazana kupo but weken tofautzanu pembeni mambo yaende mnaonyesha picha mbaya kwa mashabiki wenu jaman
Awwwwwww vido vidox umerud jaamn dah tulikumis sana I can't wait for more interview s
Msigombane bana nyie VIP bn kama watt wa kike watoto wakiume nyinyi 😔
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika msisha yake jamaa mstarabu sana
Nawapenda sana😍😂 na sipendi Kwisa na Soudy mgombane mnapendeza kuwa wawili bila mmoja wenu Shilawadu itapwaya pigeni kazi!
.
Nipende mm
Asha Ally absolutely that
Hongera sana brother kwa kujiajiri
tangu mkosane na CHIBU na WCB kiujumla shilawadu hakuna kitu👏😂😂😂😂😂
I real love what you are doing shilawadu
Jamaa akili yake imekomaa sana, bravo!
kwa kazi yenu ya kunyapia nyapia watu nilijua tu lazima siku moja mngekuja kunyapiana wenyewe kwa wenyewe
😂 😂 😂
sudi yupo juu hy jamaa kamuacha sudh hy ndio basa
Official Kamdudu hahahaaaa du we mpana
😂😂😂😁
Safi umejibu vizuri sana kazi kwanza
Duuuh!!! Kwel #Tz bila ya #KIKI hotoboi,,,,,,, Hzo Kiki tu hamna jpya cku hz
Kumhoji mbea kazi sana mzee😂😂😂
Mbona crose mmeitoa strtaims!? Jmn
Clouds wanaendelea kupoteza mvuto kwa kuwa na bifu na watu wengi kwenye kituo chao
Ushindi John umeonaee mara bifu na diamond!! sa ndo nn, kwanya nyimbo za wasafi ndo zinabamba town, sio hao kila musa kutuchezea nyimbo za kina mario sijui nandi , chefuuuu
kweli kabisa
Nani amegundua kuwa hii ni njama ya kuifufua shilawadu maana tulikiwa tushaanza kuisahau.....
BMP channel TZ Kumbe naww umeona
Yawezekana..
Kiki hakuna lolote
Kwel kabsaaa
😁😁😁😁
Nimeona picha ya boss ruge apo dah pumzika kwa aman baba 😭😭
Linah Goodluck 😭😭😭
Naomba kwa heshima yenu mwendelee na kipindi kwisa na soudy tafazali
Hapo utakuta soudy brown alimnyapia mwenzake kwa mkewe
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Mikidadi Chande 🤣🤣🤣❤️
Mikidadi Chande hahahahahaha eti soud alinyapia inawezekana lakini 😰
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Umejibu vzr saanaaaaa
"Aaaaah, no no no noooo cdhani.. kwan amewah??"
##very tactical question
Wabongo bhana msichojua sio kila mtu unae ongea nae au kufanya nae kazi ni mshikaji wako
Mnaweza zaliwa tumbo moja na msiwe washikaji pia kwani nini hakijaeleweka hapo?
Hapo sawa sasa. Msiharibu shilawadu bhn wazee.
Nyie jamaa wa shilawadu wajanja sana aisee. Nimewaelewa kwamba kwisa hutaki watu wamjue soud live ukiwa nae huko when u hang out together. Kwamba watu wamemuhisi yule jamaa unayekuaga nae manytimes ni soud, coz soud brown brand is the mask he put on, no facial to be expressed. Gud tricky
Nimekuelewa
Inshu iko iv sudy alivyo sikia mwenzake Hana marinda akamuomba mkundu iko ndo chanzo
Mwijaku
Kazi nzuri kwisa komaaa👍
Aah no, no kwani aliwahi! Majibu yenye wadhifa wa kishilawadu drop comment and like
Uyu wa ajabu kweli unafanyakaz namwenzio adi usiku kunyapia watu asaiv unakata hauna ukaribu na, sud we unajibu kwakujikanyaga hautak kuweka mambo wazi, kukwazana kupo but weken tofautzanu pembeni mambo yaende mnaonyesha picha mbaya kwa mashabiki wenu jaman
Anna Masale Hawa wanna ushkaj Wa Kazi tu ila soudy marafiki zake wale walio unda Kundi la East Coast na yey alikuepo
@@dismasbedda5835 ok
Km umemwelewa mti mkavu twende kazi🔙
Niwe miss shilawadu basi 😋
Msidanganyike hawa niwashikaji na walipanga watuambie hivi
5:27 ndo anaeleza kwanin soudy sio mshikaji
BahatiBOY una akili sana
Ahsante inakera kusikilizana interview nzima
BahatiBOY asante sana 😂😂😂
😂😂😂
Boraa
Creativity..big Up kwisa.
Kwisa kamnyapia demu wa Jamaa
watangazaji kaeni level moja na mhojiwa... mna haribu show!! Kuonyesha pua za mhojiwa is a NO NO NO
Mwarabu Fighter alisema wanaishi kifamilia na WASAFI CLASSIC. Siku chache mbele akala "kibuti!" Alikuwa kikaangoni.
Nimecheka sana aisee
Ah nilijua kipindi hakitakuwepo tunawaelewa sanaa mnachokifanya
Top fan
Ekesha shilawadu huwa hampendi kuhojiwa nyinyi mbona mnaependa kuwahoji mambo ya watu
RUKIA Mshihiri haaaaaa
Nakukubali bro saanaa
Hahahahaha km mmekosana safi sana dunia duara hii na mtaisha tu
Jamaniii
Naona umekuwa mweupe uso unang'ara halafu sikioni ndo ivo daah wanaume wa dar hao bhnaa
mohammed abdallah mhh😁😁😁😁
😂😂😂😂😂
@@wahidashabaz5982 ndo ndgu yngu Mungu atuhifadhi na vizazi vyetu
mohammed abdallah hela hizo
Wanaume wa Dar!!??
Bongo bila kiki sikuizi hatuendi
Nauliza hiv umeacha kuliwa? Kwa mujibu wa konk master
miss moona wew wew,,kausha😂😂😂
Alikua. Kundi moja na kaka ujue🤒
Kiki tu izo za kuifufua shilawadu binafsi tangu wagombane na simba wakakosa kbs mvuto
Mkono Luhinda bola na ww umeliona hilo👏👏👏
Me nawapenda bhana
Oya msizinguane bwana @soudybrown
Shilawadu iliisha baada ya jamaa kusemekana ni Shoga ... Sudi tuonyeshe sura sasa daadeq
Duuuh
Bonny Sure Olkokola Boy seems so bwai
Mwijaku uyo
Kama unamuwelewa #Vido_vidox gonga like zako hapo
aisee.. hio ni handbag ama!!... kutafuta fedha kusije .... ohoo!!
Yeah ni handbag
@@jacklinewilfred274iyo chacha ni hatari.. keh!
Mwanaume na mwanaume mnapigana sio kununiana....ila kwa sabb mlikuwa Kama wakike ndo madhala yake ayo
Tatzo ndy linaanzia apo awaaa wakike
Kweli kabisa
Daaah mkuu cjui kama ninachoona mm na wenzangu wanakiona ivyo ivyo
Umeona nn Hija?
@@aloycemasele7236 mwana kama vile jumalokole fulan
@@hijaabdalah2201 😀😀 jamani sio vidhuriiii, not true am sure.
@@aloycemasele7236 ahahahahah labda
Hata mimi ila naangalia kwa umakin
Duuu jamaa leo zamu yake kuhojiwa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
sule seif 😂😂😂😂😂
Malizeni bifu mtuletee ubuyu nyie acheni zaovyo
Ila Kwisa haueleweki 🤣Baba .... yani mara sio mshkaji mara .. hivi inaanza kazi ndio ushkaji au ushkaji alafu ndio kazi.. 🤣🤣
jamani hamisa ana mambo nae kavujisha ya kwake angalia alicho fanya kwenye link hii @t
HUYU kweli dudu alimchungulia mbali
Chacha mwita
Patananei...
Kwisa nimbea sana
Kiki tu, mabwege
Sure man
Unanuiliz au unaniambia
Gonga like km Una mkubali Vide vidox👊
CHANZO ETI KWASABABU #SOUD ALITAKA KUMNYAPIA UMBEA MKE WA #KWISA 😂😂
nlichoelewa hapo kaz inawafanya kuwa karibu ila mapenz yamewatenga
Jamaa haeleweki
Hawa wanalao jambo kisa wameona shilawadu haiskiki ndo wanajaribu kuirudisha upya 😀
Munira Ahmed embu nipe no yako munira kuna kitu nikwambie
Kweli munira
Munira Ahmed b munira nakupenda bure
Yaani. Munira nakuona Kila siku yotube
We dada una bando duuuu kila comment upo free wifi nini
KWISA AME KWISHA, KUCHUNGUZA MAISHA YA WA2 WAKATI MWENZIO KAFICHA SURA KWENYE MASK! USENGE MTUPU!!!!!
😂😂😂😂
Shilawadu shilawadu nawaona nawaona Mnatupima tu akili
Alieona poch kama mim like hapa
Good
Hivi shilawadu ilikufa ee🙄🙄🙄
Wamepotea, wanaanza kutafuta kiki za kiboya.
Naww tafuta kiki make wee hujapotea Bali hata hujulikan
Kwisa bana unakwepa kumalizia sentensi ya mwisho kuwa sio washikaji
nakubal sana mzee baba
Shilawadu mmeAnza ln kiki nyie 😂
Kwisa nakuona
Etii unaniuliza unanmbia??
Mjombaaaa rudiiiiiii sura yako tunaiiitaji kwa sudi
Hawa nao kama wanawake
Ok
Mhhhhh!!!!
Hahahahahahahahahahahahahahahahahah aiseee nawakubali sana lakini
✌️
Mbn we hautaki kusema ukwel wakat we uaga unalazimisha
Makuma nyie na kweli mlishapoa kati hapa tafuteni kiki maboya nyie
Tunawapenda jmn
kila kitu wanafanya kama watoto wa kike kuanzia umbea na mabifu ya kikyumah
Kama Kweli mmekosana emu yamalizeni Jamani mbona hvo
Sasa mbona anajikanyaga kanyaga huyu 😁😁
Tupambane tu na state of Art.
Pata kwa urahisi namba ya NIDA kwa kubofya HACS POiNTS channel na kutazama video iYo!
😂😂😂😂😂😂Unaniuliza unaniambia
Jamaa mbn haelewek?
Anatoroka
Mzee mkavu muajiri huyu, anajua kupekua
😂😂 mnatuinjoy sio
Uyu aliombwa mzigo na sudi konk 3 c.alisema uyu sio poa
ndo mshapotea
😁😁
Mnavyochunguzaga wenzenu nyie yenu mnayaficha
Hahahha.. halafu wanajisahau
Kweli kabisaa huku mwengine anachunguza maisha ya wenzie wakati yeye ameficha sura ndani ya mask,!! Bure kabisah
@@shahamtindo hawajui muosha huoshwa
@@aquarianknight mtihani sana kazi zingine hizi zaitaji moyo kuzifanya
Ok ok