MTOTO WA SHEIKHE (Ep 16)
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- #Bhailam#Naomy#comedyplus#2024#
⭐⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
Subscribe hapa : www.youtube.co...
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz
Wangp walikua wanategea 😂bhaillam vynye atafika kwa baba hailat jmn 😢km wafuatilia izi movie za bhailam like apa🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nikk Riyadh apa
Nipo Oman hapa 🇴🇲
Nipo damam🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Hata kama ni movie ila baba Naomi ni mpekupeku sana heeee😮😮 mkwe muda wote kwamwanao
Mashahlaaah mko vzur Mimi binafsi nimeanza kumuelewa mganga huyu Hana makuu ila ni moto wa hatariii❤❤❤❤❤
@@FikraNjoroge Shukrani nitaendelea kuwapa burudanii🙏🙏🙏
Kwahiyo mariam ameamua kuokoka kabisa hadi mavazi 😂
Chezea kutekwa vee😂😂😂,we huogopi 😊
@@aishaomar2287 naogopa vibaya mnoo 😂
Number 5 naomba ata like mbili
Wa2 wamaana kabisa nyie huu mzigo ni mzuri sana naiv mnavyo achia nfululizo mnazidi kutufuraisha🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mbona Bhailam kanyanyuka haraka😂😂
😂😂😂😂Bhailam unamambo mara kikoho mara kigugumizi😂😂😂😂
Da maryam ,,ushingi unakupendeza saaaaan mashaallah ❤❤❤
Kweli kabisaaaa❤
Jamani mganga anakaa wapi? Nimeibiwa simu yangu na mashuka yangu na mimi
Waadhaa salaam😂😂😂😂😂😂
Mariamu kawa isilamu ghafla2 abaya yuu na mtandio famasiala nnini 😂😂😂😂😂😂😂eeeeeeh kwa ww kueza 😅😅😅jmni mbavu zangu
😏😏😏😏
Mm wa 1😢😢😢
Mwanakulifind mwanakuliget,,kiranga komwe kiherehere mariamu utakoma uzinzi...😂😂😂
😅😅😅😅
Bailamu😂😂😂😂😂
Congrats ❤❤❤❤
Wa kwanza kazi iendelee Amna BAYA team nzima ya bailam
Nawapenda sana tim bailam. I from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Leo nimewai jamn nawapenda❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mariam jamani umenichekesha sana 😂😂😂😂😂😂
WA mwishoo jamani napenda Sanaa naomi🥰🥰🥰🥰
Nimewahi na mm leo naombeni like hata 10❤❤❤😂😂
Nimependa hiyo cover ya sim ya mariam na amependeza Mashaallah
🔥 📛 👨🚒 🚒 🧯 🎆 🔥 📛 👨🚒 🚒 🧯 mwendo mdundo mtoto wa sheikh❤❤🎉🎉🎉
Wewe ni noma Sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nani ameona kama mme wa grace anafanana kayumba wa bss
Hahaaha uyu mshikaj kafunga ndoa majuzi tu ci kaletewa mtoto na mwanamke mwingne nouma sana
Bhailam kidume anapanapana tu mimba 😅😅😅na haogopi 😅😅
Kaka nakubali nilikuwa nasubili Toka Sasa 4. Oyaaaa shosho
Nzuri sana hongereni
Baba wa mchongo is typing....
Baba mtu leo amejitokesha😂😂😂🎉❤
Kama shi shi shi ngapi😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
@@maylucson001 😂😂😂😂
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri bro bhailam Naomi mariam kheirat mzee simba Big up sana guys
siombi like langu kuwapongeza kwa kutuangushia mapema much❤❤❤❤ from kenya
Bhailam unanifurahisha kwa vituko vyako..... Halafu grace kila movie we ni mtu wa kulia tuu saa zote nakuhurumia sana
Itakuwa ndio mwenye machozi ya karibu kuliko wote😂😂
@@user-bn2zt8cz7uumesema
❤❤❤❤❤❤
Pisod 15 na pisod16 zimenoga bila chenga adi raha jaman mariam aingize akili alingangana ya memkuta atakwisha kwa kukonda kukonda. Kwanini asidange na mwanaume mwengine achie wenye ndoa zao wale maisha yaman djaman. Af tunaitaji full movie bailam uwe umeniskia uko. Salut kwa mze simba mze mwenye busara zake na sheikh masudi. Adi raha. Pongez kwa Mganga kijan
Grace mjinga kweli Kama ulikuwa unataka amani c ungetulia na mume wako
😂😂😂😂😂anatafuta aman mwenzio
Mpo harAKA SANA KWENYE KAZI ZENU❤❤❤
Hadi rahaaa kz kzzz ❤❤❤❤❤
hamboeshi kabisa epi to ❤epi
Hahaha bhailam kipengele cha mwanzo hapo nimerudia kama mara mbili daa jamaa unajua sanaa
Bhailam yupo vzr nampenda sana ❤❤❤
Inapedez San🎉🎉🎉😂😂😂❤❤
Bailamu unatukosga saan sik izi yaani ukiendelea ivi sikutupi kabs kila mda mimi ni wako❤❤❤❤🎉🎉🎉😂
Duuuh😢
❤❤❤❤❤🎉
One love ❤❤❤💯💯
🙏🙏🙏🙏🙏💯💯
By Leonard silungwe from sumbawanga kijiji cha tunko
Team oman team furus taal😂😂
❤❤❤🎉😂🎉🎉
Courage ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Bailam macho hayo na huo mdomo 😂😂😂
Hongereni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
ILA HAWA COMEDY PLUS NI NOMA SANA AISEEE SERIES TAMU SANA KWA NAMVYOMJUA HUYU MWANDISHI HUKO MBELE NI KALI ZAIDI UNAJIULIZA KHAIRATY AKIJUA BHAILAM NDIO BABA YAKE ITAKUAJE HII TAMTHILIA NI NZURI SANA
❤❤❤
Alishaga juwa inabaki tu asibitishiwe
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊
Ila bhailam ananipunga🤣🤣🤣🤣
Mashaallah 🥰 mumejua kutufutahisha sana mashabiki zenu❤❤❤
Bhailam subiri sheikh masoud atokee na silaha ndo utajua uyo binti c wako😂😂😂
Hao jamaa waliweza miriamu mume wa mtu ni sumu
Wakwanza jamani🎉🎉❤
Good blues my brother bhailam
Marim na bailam pia mbajua sana 🎉🎉🎉🎉
Hiii move bailam utatuwaaa. Mbavuuuuu
Kazinzuri sana kabisa.
Nice
Heeeee chezea mguu wakuku bnzawatuu utaachaa tuuuuu mariam 😂😂😂 mariam
Ila Bailam acha kufanya hivyo hayo macho namdomo😂
Nimecheka sanaaa pale aliposema Waadhaa Asalaam😂😂😂😂😂😂😂
Jamani bhailam utakuja kunivunja mbavu aki❤❤😂😂😂
𝙄𝙮𝙞 𝙙𝙪𝙖 𝙠𝙖𝙡𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙨𝙝𝙚𝙝𝙠 𝙬𝙜 𝙬𝙚𝙬𝙚 𝙣𝙤𝙢❤😊
Hongeren Sana mpo vizuri wote❤❤
Kabailam kanaonekana ni kamalaya Malaya tu at nje ya move😂😂😂😂❤❤
Nimewahi pia kutokea Zanzibar- Pemba.
Kama unamkubl bhailam mwaga ❤❤❤❤
Sijachelewa bado kutokeya Namibia🇳🇦
Asante Kwa kutuwaishia movie yetu❤🎉
Nmechelewa lkn nmefika ya like kwa bailam
Wakwanza mozambique upo mume lala sana
Nzuri sana tunawapenda sana ❤🇹🇿
Naomi kanikomeshea mariamu Safi sana 😅😅
Kazi nzuli
Bhairam anajua kunifurahisha saana mambo yake.
Hamchelewi team bhailam
Nyie mkumbusheni Mariam ile dawa aliyoweka kwenye chakula ili amvute huyo mume wamtu
Family umeacha
Mganga unajua sana yaan ulivyokua unaongea kama umenyongwa kwel daaah sijawahi kukomet ila hii upande ya mganga imenikosha masuud na mganga xijui Nini kitaendelea.!??
Mashahlaaah shukrani 😢
Kwani my family ndio imeshaisha ivyo
watu wariyadh tujuwane bhailam kweli ananiuwa na comedie zake😂😂😂😂
❤❤❤ kazi nzuri sana 👍
Kazi nzuri
Za mwizi 40
Bhailam na babake mkwe viboko sana maua yenu
Bhailam ana kikohoz furan ivi ananiachaga hoi😂😂😂❤
Ndio ukome Mariam" dawa ya mchepuko" kumbe ndio hiyo apo sawa
😂😂😂
@@rosemarenga832 🤣🤣🤣
Big up sana
I like this movie ❤
It’s a Series or more of a Soapy; not a movie. However your enthusiasm is appreciated 😊
Naomi nifundixhe namna ya kuwa mkimya
Kazi nzuri sana
Ukijalibu kugusa comment yangu nakutongoza
😂😂😂
Sawa babaa