MTOTO WA SHEIKHE (Ep 17)
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- #Bhailam#Naomy#comedyplus#2024#
⭐⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
Subscribe hapa : www.youtube.co...
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz
😢naasikitika natokeya namibia ila sijapewa ata like mija🇳🇦
@@Astro-586 😂
Anaemtaka jojo agonge like hapa
Nadhani hii tamthilia haimuhitaji jojo, hivo tutamwona huko mbele
Mbaye uwambere kuva iburundi
Nipeni likes zangu
Mtu wa burundi
Wakwetuuuu
abarundi tumenyane😂😂❤
Niho twibereye
Léo nimekuwa wa 21naombeni likes zangu from Mozambique
Ka chizi
Bora mmewai kutoa Hadi Raha team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi nawapenda mno aya tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Sasa huyo ndio maryam nilienzowea masha Allah 😂🎉ulivaa jezi la recho (fatuma)ila uhalisia wako ndio unakupendeza da maryam like you❤
Ndoto ya kusisimka 😂😂jmn mtoto wa nyoka n nyoka jmn kuacha ngumu love from 🇰🇪🇸🇦♥️♥️
😅
Baillam unakera basi kwani kuongea vizuri nabila kufanya hivyo macho huwezi😂😂
Anakera kweli
😂😂😂
Amekuwa kama cizi😂😂😂
@@RizikiZiki uyu anamuiga kanumba hamjagundua hilo
@@m.mmarckus6298 🤣🤣🤣🤣🤣
Yaan hiyo sehem ya mwisho nmeirudia sana 😂😂😂😂
Bhailam unajitaidi sana kiukwel kabsaa maan unatowa kaz kwamda mwafaka daaah 🙏🙏🙏❣️
Kazi mzuri sana wakuuuu hongereni wote mambo ni Moto.🎉🎉🎉🎉
From oman like za kuwahi wanazengo 😂
😅
Bairam anajua kukatika 😂😂😂uchizi umekujia vizur unamkatikia mkewako❤❤😂😂😂like zenu mambo mazuri.
Jamn kila mtu nimempa like n mm nipeni zenu jamn haki ya mungu 😢😢😢😢
Naomba tuwe maste
Mabeshte cuty
Wakwanza naomben like zangu
Jamani namimi leo nimewahi naomb like kutoka🇧🇮🇧🇮
Leo nimekuwa wa 853,,,,nipeni na mm like zangu
Hhhhhh❤❤❤ kali sanaa
Ila naomi tunaomb asje kutembea n yle mwnmme itkuwa mchez umetok laza sna bali apambane na ashinde vikwaz vyote hhhhh
😂😂😂😂wachezea mauno ya bhaylam w aky umenivunja mbavu🎉🎉🎉🎉🎉 hooofwiii
After 8 min,da naomy naomba like Yako 🥰🥰
❤❤❤❤😂😂😂😂
Wakwanza kutoka Zambia 🇿🇲 naitaji likes zangu
Leo wa kwanza jmn nimewahi
Wa kwanza Jaman machi love
No1
Mimi Wa naija hata likes sipewi !
Wow Leo tena1🎉
Nimewahi na mie leooo
Haya wapenda like zinawafikishaga wapi?
Mtoage maoni ya kazi kipi kipungue kipi kiongezwe na wapi tuwakosoe
Anyway i like unavyo cheza na macho yako😅
hata mariam ana jicho lake flan hivi🤗
Hiyo ndo sanaa
From Kenya
Wa Kwanza Leo 😂😂😂😂
😅
Waaah Kuna watu wanarauka huku😂😂haya twendeni nalo
😂😂😂😂bhaillah mwanakulifind mwanakuligatee😂🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙊huyuu jamaaa anataka nn etiiii😥😥😥😥kulala namkewako huku wamemrogaaa
Bhailam ww achana na wake za wtu shauri yko😂😂😂
Mm wa kwanza leo
Nipe like zangu🎉🎉🎉🎉
Woyoooooo woyoooooo🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kachizi polepole 😂😂😂😂😂
asant kwa muendelez nawapend san🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongerani sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera team bhailam❤❤🎉🎉
Xijapenda Bhailam kwann unixhinde kukatika😅😅😅😅
Jaman ninaushaur tuunge group Kwa hii movie naomba like zenu natokea pemba ❤❤❤❤ please naomba like zenu
mmmh miuno ya Bhailam imetoka moyoni sio kawaida 😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾
😂😂😂😂😂😂😂anacheza bhailam majanga
Ukipata baba mkwe kam mzee Simba na mke kama Mariam dunia ya sasa shukuru😂🎉🎉
mauno ya bailamu yamekichekesha had nikatoa machozi😂😂😂😂😂
Bahilam unaudhi na huu ujinga wako wakujichekea ovyo ovyo na hiyo mi macho yako
Yaani anachefuwa sana
@@bintimropeanamuiga kanumba huyu
😂😂😂😂😂😂
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Ubaya ubwela
Kazi nzuri
Bailam anakera hapo kwenye kukonyeza macho frequently..afu mariamu watia huruma ukilia😂😂😂 si wew mtoto kautaka🇰🇪
Kumbe amuchi waume wawenzio mbka ntekwe sio
Hio ndio dawa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 Bhailam umeweza umenixhinda ht mie 😂
Leo nmewahiwahi kidogo Kuna Raha ya kuwahi kumbe
Ukigusa comment yangu nakutongoza
Haya njoo unitongoze
Bhailam matokea ya kutembea na wake za wa2 😂😂😂
Mariam umekomeshwa na hicho kiherehere chako 😂😂😂😂 nicheke mie 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣Mama agalia mauno ya mwanao 😂😂😂
Jamani bhailam unakatika mauno kweli na vile ulivyo amuka etii twendeee 😅😅😅😅😅😅😅😅
Jamani namuhurumia sana Naomi
Bhailam 😂😂😂ety mama angalia mauno ya mwanao nacheka kama mazuri wallahy
♥️♥️♥️
Mama anagalia mauno ya mwanao😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Bhailam jamani 😹😹😹 mauno ya sogojo nimecheka hadi baasi...
😂😂😂😂bailamu Kawa kichaa jamani
😂😂😂😂 mauno kweli yapo 😂😂😂😂
Na wakubal sna hamtukawizii
Bhailam ww kiboko
Mashallah mama bhailam wavaa vizuri 🎉🎉🎉
Bhailam😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤Leo nipewe likes
Nasubiri kuona maryam akitembea na huyo mwanamme mwingine😂😂😂
🎉
Wakwanza kutoka Congo 🇨🇩 naomba zakwangu ❤❤
Mariam ukilia unapendeza😊
Nimewahi pia nikiwa Zanzibar
😂😂😂😂wachaa weee bhailam miuno feni🎉🎉🎉
Mmmm pole bailam moto ushakuwakia
So lovely Channel. ❤❤❤🎉🎉🎉😊😊😊😊😊❤❤❤
Hongereni sana Kwa kuwahisha🎉🎉🎉🎉
Unakera bhailam baana si useme vzr baana maco yenyewe apana baana
Ilove you Naomi ❤❤❤❤ na bhailam macho
Kazinzuri sana
Bailam ukizungumza lazima hayo macho na mdomo ufanye km chizi haipendezi 😮😮
Bhaillam kiburi mwishoo utajutia .....mariam anajutia sio poa😢😢
Jamani basi baba naomi afanyie tiba bailam jamani .hadi nimeishiwa nguvu jamani
Kazi nzurii 🎉🎉🎉🎉🎉
Ila bhailam😍😍😍
Ni dakika 8 sasa
Bhailam kazi nzuri sana
❤❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂 bhailam kawakichaa kutrmbea na wake za wa2 jmn umalay2 kuoga haaa!
Leo sitaki like ata mkinipa sitaki😂😂
Bailam haaa we noma
Mhhh haya waganga mungu anawaon kumfanya mtu chizi na anafamilia kwani nyie Huwa hamukocheii
Bhailam kiboko weww
😂😂😂😂 bhailam kanichekesha walah
Na mm naombeni like na mm jaman mbn mnanitenga japo 5 tu
Big up Sana bro kaza unaweza
Wah mumeweza😂😂😂😂
Hailati akaach wizi mansh allah