Kichuna afika na vurugu zake - Huba | Maisha Magic Bongo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 січ 2021
  • Tima na Devi waalikwa na Jude kwenda kwenye retreat ya Kibibi. Kichuna apata muda wa kuongea na Devi, wakati Hanki na Kichuna wakosana. Kila mtu amlaumu Jude kwa kumleta Kichuna.
    ---
    Endelea kutizama DStv chaneli 160
    Official Website: bit.ly/3lXtAFc
    Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax:
    bit.ly/2KnGqyv
    Pakua App ya DStv: bit.ly/36ZGjkz
    Instagram: / maishamagicbongo
    Twitter: / maishamagictz
    Facebook: / maishamagicbongo
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 50

  • @bentabaraza8688
    @bentabaraza8688 Рік тому

    So wonderful

  • @hommie4976
    @hommie4976 3 роки тому +1

    That thing is heavy, Dave can't handle it....

  • @zainabushaban8610
    @zainabushaban8610 3 роки тому

    Motooooo👌👌👌

  • @ashasam767
    @ashasam767 2 роки тому

    Love u tesa

  • @lindabalibuno6699
    @lindabalibuno6699 3 роки тому

    Bien

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 3 роки тому +4

    Huyo Nicole mbona kituko hakuna aliye ona hilo kalio lilivyokaa vibaya huko nyuma Jamani na hiyo nguo looo!!

    • @irennkwita9874
      @irennkwita9874 3 роки тому +1

      Mitako nayo ikizid Sana bwana inakeraaa mitako mikubwaaa rooh

    • @fatmafatom3034
      @fatmafatom3034 3 роки тому +1

      Kicuna hana mapaja iko na tako😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 3 роки тому

      @@fatmafatom3034 😂😂😂

    • @mariammasud3257
      @mariammasud3257 3 роки тому

      Yani anajiaibisha ht hajapendeza loo

  • @elinecosmas8841
    @elinecosmas8841 3 роки тому

    😍😍

  • @jasmine.mayala7597
    @jasmine.mayala7597 3 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kichuna loooh umezud

  • @hildegaldamushi4725
    @hildegaldamushi4725 3 роки тому +3

    Duuh ila tima anampandishia Devi kinoma alafu kadev ni kapolee kenyewe

  • @nashamohammed8668
    @nashamohammed8668 3 роки тому +1

    Kichuna kaleta kero kwenye shuhuli🤣🤣🤣

  • @idahgloriaidayaidaya4271
    @idahgloriaidayaidaya4271 3 роки тому

    Wow nice

  • @ramlaabdullah7271
    @ramlaabdullah7271 3 роки тому

    Duh huu mzigo noma

  • @yohanasparrow1266
    @yohanasparrow1266 3 роки тому

    Naomba..kujiunga...na..tamthilia...yenu..nami... please..

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 3 роки тому +1

    Kichuna anazua tafran jaman 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @salmasimzizi69
    @salmasimzizi69 3 роки тому

    Napenda kufatilia huba

  • @daynessmapunda5931
    @daynessmapunda5931 3 роки тому +2

    tima anagubu kha devi ebu mchukue kichuna upumue kidogo kama kashaulo. angalia mtt kichuna anavyongea. tima kelele tu

  • @mamysiagerld1385
    @mamysiagerld1385 3 роки тому

    The scene of Jude jamani anhaaah

  • @khadijakheir9323
    @khadijakheir9323 3 роки тому

    Huba 🤣🤣

  • @saumubai593
    @saumubai593 3 роки тому

    😃😃😃😃

  • @mageemwakyusa4581
    @mageemwakyusa4581 2 роки тому

    Ilove nyie wote wawili

  • @maingufamily3092
    @maingufamily3092 3 роки тому

    Tima mama upo vizuri ata uyo nicole amkutii ata robo

  • @johncyner4862
    @johncyner4862 3 роки тому

    Ou

  • @jordanilunga7218
    @jordanilunga7218 3 роки тому +1

    1:59

  • @ramlaabdullah7271
    @ramlaabdullah7271 3 роки тому

    Hahahaaaa

  • @Qwertqwert-ww5yj
    @Qwertqwert-ww5yj 3 роки тому +1

    Kichuna hana mapaja

  • @johnjohn5680
    @johnjohn5680 3 роки тому

    Mm huyo tima anakera ningekua dev ningempiga

  • @murithiswalee174
    @murithiswalee174 3 роки тому

    🤟🤟🇰🇪😅😅

  • @cruizk8183
    @cruizk8183 3 роки тому

    Jude🤣🤣🤣🤣🤣

  • @agaiadam5099
    @agaiadam5099 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @linatikitoktikitok7357
    @linatikitoktikitok7357 3 роки тому

    Wakwanza

  • @ladymuna4945
    @ladymuna4945 3 роки тому

    Tima kua mpole kwa mwenzio

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 роки тому +3

    😂😂Jamani kichuna nyuma panachekesha🤣🤣

  • @sophiapeter1390
    @sophiapeter1390 3 роки тому

    Tima mda mwingine anaudhi,anampandishia Devi mpk unamuonea huruma devi

    • @mohamedadammsisi3873
      @mohamedadammsisi3873 3 роки тому

      Na wanaumewalivy hat akupendek ukimpandishia tuu ushamfukuza kam alikuwa han mchepuk basi ata tafuta tuu

    • @sophiapeter1390
      @sophiapeter1390 3 роки тому

      @@mohamedadammsisi3873 mchepuko ndo huko kichuna ss Mbn Tima mdomo utamuisha

    • @aminajumaa9876
      @aminajumaa9876 3 роки тому

      Tena akhera kweli huyo tima si muelewa ata kidongo

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 3 роки тому

      @@sophiapeter1390 atashkana na Jude

  • @aniseththomsoni6889
    @aniseththomsoni6889 2 роки тому

    Mbon dkik kidong

  • @zukrabuethi5068
    @zukrabuethi5068 3 роки тому

    Je unatamani kupata fursa ya biashara ya karne ya 21?
    .
    Karne ya 21 tuliopo ipo katika uchumi wa Connected economy, Je unatamani nawe kufanikiwa au kutengeneza kipato endelevu?
    .
    Tengeneza tabia mpya na kipato endelevu WhatsApp number 0683138300 . Nikupe elimu, tuma neno 'kipato endelevu' WhatsApp number 0683138300 nikuonyeshe.
    .
    Tumetoka uchumi wa viwada tupo uchumi wa Connected economy.

  • @zukrabuethi5068
    @zukrabuethi5068 3 роки тому

    Je unatamani kupata fursa ya biashara ya karne ya 21?
    .
    Karne ya 21 tuliopo ipo katika uchumi wa Connected economy, Je unatamani nawe kufanikiwa au kutengeneza kipato endelevu?
    .
    Tengeneza tabia mpya na kipato endelevu WhatsApp number 0683138300 . Nikupe elimu, tuma neno 'kipato endelevu' WhatsApp number 0683138300 nikuonyeshe.
    .
    Tumetoka uchumi wa viwada tupo uchumi wa Connected economy.